Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

Ili mtu uwe mdini basi mawazo yako lazima yawe ya kidini dini. Chakushangaza waislamu wote chadema mnawachukia na kuwatengenezea skendo ili mradi tu.
Huwa najiuliza sana sababu ya kitabu cha mungu kusomwa ukianzia kulia kuja kushoto!
 
Ni kweli mkuu kwa mfano mimi huwa nina-Like hata wale wanaonitukana!

Acha Uongo wewe kijana, Slaa ali like ku support Matusi na Uongo dhidi ya Zitto ili vijana wake Muingie kuitetea sasa yamegeuka mnajidai eti inawezekana ali like kukerwa na Matusi dhidi ya Zitto, Tangu lini Slaa akakerwa Zitto akitukanwa?. Hata mimi nikianzisha Thread ya Kumponda Zitto hata kwa mambo ya kumzushia lazima mtakuja kuunga mkono. Huu ni wakati wa ku defend Reseach yenu dhidi ya Zitto sio kuikana na kuisingizia CCM, wewe na WENZIO TUNAJUA ni Vijana wa Chadema iweje mzushiwe na Slaa kuwa mlioileta ile habari kuwa ni CCM na Usalama wa Taifa?
 
Bi dada vp mbona povu linakutoka kwani alie i like hajulikani anajulikana babu slaa aka padri mpenda madem na huyu jamaa anamchukia zito na wanaojituma cdm rudisha kumbukumbu yako kwenye saga la barua iliovo vuja kutoka ofisi ya slaa

Wewe unashabikia mtu, ilihali mimi ninatetea Chama, Hujaulizwa useme ni nani aliipenda ile ripoti, Unaropoka tu kama kina Juliana Shonza
 
Last edited by a moderator:
Ukoloni wa mweupe dhidi ya mweusi ulishakwisha hivyohivyo na yeye atakwisha. No more psychological games slaa.
 
hahahaha,ameruka tena,kumbe tena ni kweli kuwa ile report ilikua inatoka cdm na sio TISS...ngoja tuone mtasemaje tena hapa.

Tunasema kuwa CCM ni chama cha wabakaji na walawiti!

Kinana toka amfukuze huyu under age yatima aliye bakwa na kunajisiwa na kuambukizwa HIV na Kapuya nimeidharau sana CCM
 
Huwa najiuliza sana sababu ya kitabu cha mungu kusomwa ukianzia kulia kuja kushoto!

Inategemea Lugha iliyoandikiwa, Koran na Bible za Kiarabu zote hutoka kulia kwenda kushoto,Koran na Bible za Kiingereza,Spain,France na Kiswahili hutoka kushoto kwenda kulia!
 
Mnaendelea kujifanya wapiga ramli, lakini matatizo ndani ya CDM yanaanzia kwa hawa wanaopongezana:- @ LE MUTUZSTRAIGHT TALK!!:
Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamuakujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS isworking kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now onemore to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili ourbest interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!

- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015, SO SASA WALE WOTETUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMAILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMUMMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWAKUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJENA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANAMHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAAAJIPIME!!

KIDUMU CCM!

KIDUMU CHAMA TAWALA!!

HA! HA! HA! HA!

- LE MUTUZ!!


Kwanini unang'ang'ania mbowe na dr. slaa wajitoe abakizito kama sio unauthibitishia uma kwamba zito ni pandikizi lenu?
 
Swali zuri...na hapa ndio panapomuongezea tofauti kati yake na wanachadema wengi....maana anaonekana sasa kama yeye ndio anakuza hili jambo kwa kutumia social media badala ya vikao halali vya chama.....kama kuna kosa la kisheria limefanyika hatua zichukuliwe lakini vita dhidi ya wenzako kwa kutumia social media huku inaonekana maadui wao ndio wanampamba zaidi inaleta walakini

Hakuzushiwa wala kudhalilishwa kwenye Vikao vya Chama,lazima ajibu shutuma na Uongo kwa kutumia njia waliyotumia wazushi, Sie ambao sio wajumbe wa hivo vikao tutajuaje ukweli au uongo wa hizo tuhuma kama Mkimzushia awe ana kaa Kimya kusubiri Vikao, tunahitaji Defenders wa ile Research dhidi ya Zitto mbona wote WENYE Verified user Names mmekimbia ku defend?
 
mnaenda kuyamaliza na nani,TISS?.

Sababu kama report ilikua cooked by TISS,it means slaa hawahusiki,then hakuna maana ya kwenda kuyamaliza kwa dr.
Then how come slaa akalike report ambayo imetengenezwa na TISS na ccm?jibu ni kuwa upo mgogoro kati yenu na ndio unaosema mnaenda KUYAMALIZA.

wewe dogo nasikia kapuya mbakaji na yule mama mbunge alokaweka kinyumba kale kavulana, ccm mkisaidiwa na s. kova mmekubaliana kuwakingia vifua kuakisha hawakomi kwa unyama wao?
 
Hii single ishachuja. Sasa hivi zinauza single za Kapuya na Mvungi...
 
Back
Top Bottom