Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

Hizo ndio siasa zetu, inakera sana....Nchi nzima kama waimba taarabu....Mipasho kila kona. Wenzetu vyama vya upinzani vinatumika kukiamsha chama tawala toka usingizini ili kuleta maendeleo ktk nchi. Kisipostuka kinapigwa chini. Sisi upinzani ni full kununuliwa, kuhongwa vyeo, kufunguliwa kesi etc. Wako wapi wapinzani waliovuma 1995, 2000, 2005 na 2010? Wapo serikalini, na tunawajua kwa majina.Walikuwa wanatudanganya majukwaani sijui, waliuona ukweli gani tusiouona sijui... Wanasiasa waliopo upinzani wanaotumika na chama tawala ni zaidi ya wasaliti. Imani yangu ni kwamba WATANZANIA wanataka mabadiliko ila chama tawala kinacheza rafu sana ilikuendelea kuwepo madarakani. Rafu hizi ni pamoja na kununua viongozi wa upinzani, kutumia vyombo vya usalama kutishia wananchi wasiunge mkono au wasipigie kura upinzani. Ni heri mabadiliko ya kiuongozi na kimfumo wayatakayo WATANZANIA yakapatikana kwa njia ya kura kuliko kwa njia nyingine yoyote.Watu wamechoka na mfumo huu wanataka mabadiliko. Wanaona nchi ina kila kitu lakini bado walio wengi ni maskini na mali zikiporwa mchana kweupe na hakuna wa kuwajibika. Sinema hii ya Chadema binafsi niliitegemea, ningeshangaa hadi tunafika uchaguzi wa 2015 sijaiona, nilijua lazima itatokea tu. Lazima baadhi ya viongozi watumiwe kuvuruga chama ili chama kilichopo madarakani kisiwe na mpinzani thabiti come 2015. Nani anatumiwa na chama tawala itajulikana very soon. Ndio kwaanza 2013.....
 
Dr.Slaa amelishwa maneno

www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/554423-dr-slaa-nimelishwa-maneno-na-magazeti.html#post7832961
hahahaha,ameruka tena,kumbe tena ni kweli kuwa ile report ilikua inatoka cdm na sio TISS...ngoja tuone mtasemaje tena hapa.
 
nimesoma posts zako nyingi nimegundua either una chuki binafsi na dr slaa au uko kwenye kampeni against dr slaa

swala la msimamo wa chama lilishatolewa taarifa na mnyika kama msemaji wa chama....ni sawa na matamko ya ccm hutolewa taarifa rasmi na nape...hata obama sio kila mara anakwenda kwenye press conference....ni utaratibu mzuri kuondoa taarifa zinazokingana kwa kupata taarifa rasmi toka mhusika mmoja rasmi

swala la zitto mimi bado nalitafakari maana naona kana kwamba pamoja na ushirikiano wanaoonyesha kwa maneno...huyu bwana ni kama yuko against misimamo kadhaa ya viongozi wenzake...wao kama viongozi wanatakiwa wafanye vikao vyao vya chama na watoke na msimamo mmoja wa kumove forward agenda nzima ya chadema...wakianza kupingana hadharani sijui wakipewa nchi itakuwaje kama sio vurugu mechi
umeniquote vibaya mm sina chuki na dk ila tatizo anadouble standard je mkuu we hulioni??
 
Now it can be announced officially that the chadema's deputy secretary office is on facebook and twitter....!

By the way aliyeleta waraka hapa JF kwa mara ya kwanza na ID ya Jason Borne(kabla ya hapo alijulikana kama mzalendo kutoka usalama ambaye hutoa siri za huko kwa manufaa ya nchi,kumbuka ishu ya Mwakyembe na sumu) ambapo mods wakamtambua kuwa ID yake nyingine ni Yericko Nyerere!

Yeye ni CCM?Ni usalama?Ni agent wa either ccm and/or usalama?Ni nani haswa?Anatumika?Kwa maslahi ya nani?
 
Slaa hakuw na sababu ya kulike, angeweza kuandika kuwa taarifa hiyo haijatolewa na Chadema.

Picha za Lema akilawitiwa ziliposambazwa Mzee Mtei alikuja mtandaoni mara moja kumtetea, lakini kwenye hili la Zitto wameishia kubonyeza like.

Ujumbe walioutoa umefika...

Mbona unahangaika sana! Ya kina CDM yakuhusu nini wewe? Ki-front front chako kina siri au ajenga isiyo na mustakabadhi wa uwema kwa CDM
 
CHAMVIGA uko sawa hapo mwanzo ila umemaliza ndivyo sivyo. Hilo battle ya kisiasa kati yao iko wapi? Unanao ushahidi kuonyesha kuwa Slaa na Zito wana battle? Tafuta uzi mmoja kaandika Dr Kitila Mkumbo asubuhi ya leo ndio hitimisho la hizi hekaheka.
Good morning!

Sasa unataka kujifanya kipofu? Nani asiejua kuwa kuna msuguano wa kimadaraka chadema?
 
Last edited by a moderator:
Double standards zipi?..... Kwa mtu wa kawaida kuacha ushabiki hakuna watu makini na bright ndani ya chadema kama dr slaa...mnyika na lissu...huwa hawakurupuki kwenye kauli zao.....hawa ni kwa wale ambao ni maarufu....wanaweza kuwepo wengine ambao hawapati coverage kubwa......zitto angeweza kuwa kwenye hili kundi ila matendo yake na harakati zake za past 2010 ni tofauti na kipindi cha kabla ya hapo
 
Mimi siyo mfuga majini kwahiyo siwezi enda kwenye hizo mahakama...Lakini mkuu chonde chonde gaidi MS pamoja na nyinyi vilaza msiisingizie eti TEC imewanyima mahakama ya Kadhi....Pambana ndugu mpate haki yenu siyo kushinda tu huku mtandaoni na Chadema wakati CCM inawachinjilia mbali....Gaidi MS atabaki tu kuandika Hekaya zake..

Nimekuelewa.
 
Kamanda chamviga, kumbe kuna wakati una busara kidogo.umeandika vizuri mno..ila mwisho umeharibu!!! But good job anyways.

Sio lazima kila niandikacho upende ndio maana ya kuwepo forum ili kutofautiana kukubaliana.
 
ZeMarcopolo, FaizaFoxy, chama, njiwa, Mingoi, Ritz, Simiyu Yetu, Chabruma, Lizaboni, CHAMVIGA wanamtetea zitto kwa kuwa wao ni waislamu, na Zitto ni mwislamu.

Akina Chris Lukosi wanacheza ngoma wasioyoijua.

Mimi ni mwana CCM lakini naona wenzangu UDINI ndio umetangulia, hata Nyerere na Mkapa hawampendi, japo ni viongozi wa zamani wa CCM.

Connect the dots.
Pamoja na kuwa mjumbe UVCCM ngazi ya mkoa........kamwe siwezi kuwa na chuki za kidini,kiitikadi na kisasi kwa Mtanzania mwenzagu yoyote hata akinitukana. Wanawadhalilisha
waislam safi na uislam wa ukweli ninaoufaham mimi.
 
Last edited by a moderator:
Mnachukia mkiona amani inarudi CDM? Na wiki ijayo tunayamaliza yote haya na kuibuka timu imara zaidi. Wenye majungu na uzushi watafute lingine, hili linaenda kwisha.

Dr hongera kwa kujitokeza,inaonekana. CCM ni kama shetani kila kitu anatupiwa yeye.msifunike kombe mwanaharamu apite.hili tatizo ni kubwa kuliko mnavyojiaminisha.mnaweza tatuta kwa njia hiyo ila mtakua mmeahirisha matatizo na yatalipuka tena 2015.lazima CDM igaramike kutatua mgogoro huu kwani kunamaafisa CDM makao makuu na viongozi WA CDM mkoa WA DMS wameonyesha wazi wanachuki na zitto.hakuna asiyejua walikua wanampiga vita na kumtukana zzk.kwa maslai ya chama kileo,lema, saa nane,yericko,mtoi na nassary ni watu hatari should bear the cost.
 
Katibu mkuu wa chadema dk slaa amesema kuwa chadema hawana tatizo na zitto na wanamtambua kama naibu katibu mkuu wao,na suala la waraka ni njama za wabaya wao ccm na serikali kupitia idara nyeti yani tiss kasema wapo vigogo wenye majina mengi wamehusika watawataja hivi karibuni

Wapo vigogo..
Pia vipo vifimbo huku mtandaoni... visiachwe kutajwa
 
Double standards zipi?..... Kwa mtu wa kawaida kuacha ushabiki hakuna watu makini na bright ndani ya chadema kama dr slaa...mnyika na lissu...huwa hawakurupuki kwenye kauli zao.....hawa ni kwa wale ambao ni maarufu....wanaweza kuwepo wengine ambao hawapati coverage kubwa......zitto angeweza kuwa kwenye hili kundi ila matendo yake na harakati zake za past 2010 ni tofauti na kipindi cha kabla ya hapo

Una busara sana mkuu......!
 
double standards zipi?..... Kwa mtu wa kawaida kuacha ushabiki hakuna watu makini na bright ndani ya chadema kama dr slaa...mnyika na lissu...huwa hawakurupuki kwenye kauli zao.....hawa ni kwa wale ambao ni maarufu....wanaweza kuwepo wengine ambao hawapati coverage kubwa......zitto angeweza kuwa kwenye hili kundi ila matendo yake na harakati zake za past 2010 ni tofauti na kipindi cha kabla ya hapo
hivi sakata la kufukuzwa viongozi wa bavicha unajua injinia wake, unajua nguvu ya lema kuropoka anaitoa wapi,unajua anaewalipa posho wanamtandao ben satisa na nyerere wa uongo ila kwa hili la zito kakaa kimya kwa hana maslahi nalo ndio mana kwenye stori hiyo akapiga like
 
Back
Top Bottom