mnaendelea kujifanya wapiga ramli, lakini matatizo ndani ya cdm yanaanzia kwa hawa wanaopongezana:- @ le mutuzstraight talk!!:
Leo kuna habari njema sana kwetu ccm, kwamba mwenyekiti wa chadema ameamuakujitoa kugombea urais 2015, so i told you our operation chaos isworking kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now onemore to go, next on line ni dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili ourbest interest zitto ndiye awe mgombea wao 2015!
- niliwaambieni hawa hawana mgombea urais 2015, so sasa wale wotetunaoshirikiana kuwadhoofisha kwa kutumia mitandao tuzidishe mashambulizi kamailivyo sasa, ninalo bomu moja la kiongozi wao mmoja maarufu kutaka kumbaka demummoja majuu na kesi ipo mahakamani na documents zipo, ina maana huyu akipewakugombea chadema akapata urais hataruhusiwa kwenda hiyo nchi, sasa tutakuwajena rais ambaye ni limited kwenye internatinional community? Saafi sanamheshimiwa mbowe kwa kujipima na kuachia ngazi sasa mshauri na mwenzako slaaajipime!!
Kidumu ccm!
Kidumu chama tawala!!
Ha! Ha! Ha! Ha!
- le mutuz!!