Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,034
- 74,732
CHAMVIGA uko sawa hapo mwanzo ila umemaliza ndivyo sivyo. Hilo battle ya kisiasa kati yao iko wapi? Unanao ushahidi kuonyesha kuwa Slaa na Zito wana battle? Tafuta uzi mmoja kaandika Dr Kitila Mkumbo asubuhi ya leo ndio hitimisho la hizi hekaheka.Dr.W.Slaa ashawahi kulike coment yangu ambayo nilimdhahaki kwahiyo hapa namtetea kuwa yawezekana alikasirishwa na lile tusi alilotukanwa zito. Kinachofanya tumtilie mashaka ni kwakuwa anabattle ya kisiasa na zito.
Good morning!
Last edited by a moderator: