ngoja kwanza,hebu twende polepole hapa.
Slaa anadai ile report ya kumsiliba zito imetengenezwa na usalama wa taifa ili kuivuruga chadema,siyo?.
Then anaeonekana kuisupport na kuisambaza ni ofisa mwandamizi wa chadema na fundimwashi maarufu jijini dar mr yerico j.k.nyerere.SAWA?.
Then how come report ya usalama wa taifa yenye lengo la kuivuruga chadema iwe supported na ofisa wa chadema au righthandman wa slaa?.
Dr Kitila kwa hizi sentensi mbili tuu nimekupenda sana. Huo ndio ukomavu na sifa za kiongozi bora. Kama kuna mtu ataendeleza majungu yake acha acha ajipigie gitaa na kucheza mwenyewe.Mnachukia mkiona amani inarudi CDM? Na wiki ijayo tunayamaliza yote haya na kuibuka timu imara zaidi. Wenye majungu na uzushi watafute lingine, hili linaenda kwisha.
mnaenda kuyamaliza na nani,TISS?.
Sababu kama report ilikua cooked by TISS,it means slaa hawahusiki,then hakuna maana ya kwenda kuyamaliza kwa dr.
Then how come slaa akalike report ambayo imetengenezwa na TISS na ccm?jibu ni kuwa upo mgogoro kati yenu na ndio unaosema mnaenda KUYAMALIZA.
Hizi comedy za Chadema huwa zinanichekesha sana, kila kitu eti CCM, haya sasa hata andiko la Lema, Nassary, Yericko Nyerere na akina Ben Saanane mtakuja na kutuambia limeandikwa na CCM kwa kushirikiana na idara nyeti ya serikali.
Edwin Mtei : Haya mambo hayatubabaishi tunajua ni uongo uliotungwa ili kutugombanisha. Kesho unaweza kusikia Zitto amehongwa hiki au kile. Keshokutwa ukasikia Slaa amehongwa hiki baadaye Mbowe amefanya hivi lengo kutuvuruga
Dr. Willbrod Slaa : Hatuna tatizo hata kidogo na Zitto Kabwe. Huyu ni Naibu Katibu Mkuu wetu kama kuna tatizo jambo ambalo ameleta tutamaliza kwa mujibu wa taratibu na tutaendelea na kazi na umoja wetu
Waraka huo mchafu umeandikwa na viongozi wa CCM na kutoka idara nyeti ya serikali chama kitapata taarifa zao na kuanika majina yao na nafasi zao
Mabere Marando: Andishi hili ni feki nimeliangalia andishi lote. Nimejiridhisha kwamba limetengenezwa na watu wasiotakia mema Chadema
Tukisemea tu udini au mnafikiri ndio ataacha!!!!, no way hawezi, na huo si ufumbuzi wa suala zima. Tuseme kuhusu QUALIY ili siku zijazo JK awe makini ktk teuzi zake. kuna mtu kama mapuri anajulikana ni mropokaji na anaplekwa nchi ambayo tunahitaji mtu very smart kwenye mambo ya kiuchumi pia, etc etc
Huu ni unafiki nanan alimtuma ben satisa na ile sumu
'like' ni mbadala wa neno 'noted' au ishara ya kujulisha kuwa umesoma, umeona, umejiunga wala si lazima upende kilichoandikwa, hizi ni lugha za mitandao wala zisikuchanganye.Duh kauli kuntu juu y msimeno. Baravo zitto its punch after punch.
Yan izo kauli zina maana gan wakati viongozi wanalike post za zito kitukanwa? Haina maana kiongozi wa chadema kaweka ile hekaya kwenye blogu yake.
Wenye akili wameelewa andiko la zitto
WEWE dogo mbona povu linakutoka akitajwa DK SLAAMods unganisheni hizi thread
Halafu kuna nyingine mmehamishia jukwaa lingine.Sijui kwanini!
Slaa ngoma imemshinda?
Huyu ni mtendaji mkuuchadema
Katibumkuu wa chadema dk slaa amesema kuwa chadema hawana tatizo na zitto nawanamtambua kama naibu katibu mkuu wao,na suala la waraka ni njama za wabayawao ccm na serikali kupitia idara nyeti yani tiss kasema wapo vigogo wenyemajina mengi wamehusika watawataja hivi karibuni
HUYU NI NAIBU MTENDAJI MKUU
Dr. Willbrod Slaa " hatuna tatizo hata kidogo naZitto Kabwe. Huyu ni Naibu Katibu Mkuu wetu, kama kuna tatizo jambo ambalo ameleta tutamalizakwa mujibu wa taratibu na tutaendelea na kazi na umoja wetu"
" warakahuo mchafu umeandikwa na viongozi wa CCM na kutoka idara nyeti yaserikali" chama kitapata taarifa zao na kuanika majina yao na nafasi zao
Edwin Mtei" haya mambo hayatubabaishi, tunajua ni uongo uliotungwa ilikutugombanisha" ..."kesho unaweza kusikia Zitto amehongwa hiki aukile. Keshokutwa ukasikia Slaa amehongwa hiki baadaye Mbowe amefanya hivi.Lengo kutuvuruga"
Mabere Marando " andishi hili ni feki. Nimeliangalia andishi lote.Nimejiridhisha kwamba limetengenezwa na watu wasiotakia mema chadema"
Maneno mazuri sana yenye ukweli mtupu. Hata hivyo hekaya hii imesambazwa nawanachama wa CHADEMA na mmoja ni kiongozi wa mkoa na akaweka kwenye blogu yake.Viongozi wengine waka 'like' kwenye jamii forums. Hawa wametumwa na usalama naCCM?
MY TAKE
NI KWANN MHZITO AMEKATAA KUKUBALIANA NA DK SLAA??? JE NI KWANN DK SLAA ALIWEKA LIKE KWENYE STORY YA MH ZITO???
Mnachukia mkiona amani inarudi CDM? Na wiki ijayo tunayamaliza yote haya na kuibuka timu imara zaidi. Wenye majungu na uzushi watafute lingine, hili linaenda kwisha.
Sasa mi napata shida sana Lema na Yericko pia waajiriwa wa TISS Kama msemavyo?
Hivi Lema na Yericko kwa kauli hizi na ushabiki wao watapata adhabu gani? Maana kila Mwana CDM alisupport huu Uzi bila hata ya ushahidi!
Leo mnakula matapishi yenu wenyewe! Duu akili ni nywele kila mtu Ana zake