Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

Kwani huyo zitto anatakaje sasa.

Anataka ile Reort ya Siri mliyoitoa Makao Makuu dhidi yake muje kuitetea maana hata walowatuma wanaikana sasa anataka kujua Kati ya Yericko na Kina Slaa nani Mkweli maana Yericko na wenzie wanasema ile Report imetoka Mtaa Ufipa, Kina Mbowe na Slaa wanaikana na wanasema hawana Tatizo na Zitto!
 
Mkuu mambo mengi yanayoongelewa tanzania kuna ya kweli na kuna mengine ni porojo za vijiweni zenye nia ya kuchafua watu....na hili wimbi limeshika kask kuanzia 2004

Nikushauri tu kiongozi mzuri ni yule anayefuata utaratibu kuzungumzia mambo ambayo amejiridhisha ana uhakika nayo.....pia kiongozi mzuri ni yule anayejua wapi pa kuongea na wapi si lazima aongee....kukurupuka kutoa matamko kila mara utakua ni uropokaji usio na maana....ndio maana nikakwambia kabla chadema ina msemaji wao ambaye ni mnyika!

ya ofcoz, aipaswi kuwa lopolopo kama tahahira nape ati aliwapa magamba siku tisini wajiondoe, nyo nusura aondoke yeye
 
Nsichotaka ni kuwa linked kwamba mimi ni sehem ya upuuzi. Ila kuzungumzia jambo lililoletwa hapa nina haki nalo.
...kwa hiyo unapenda kuongelea upuuzi, halafu unakataa kuwa wewe ni mpuuzi? ...ama kweli kutumika kuna gharama!
 
We mjinga kweli kabisa labda utakuwa ni Mulugo product. Hivi kumpinga au kumkosoa nyerere ni udini? By the way Nyerere alikuwa Mungu mpaka tusimkosoe kwa maovu yake aliyofanya? Wewe sio ccm ila ni mkristo.
Mimi ni mwana CCM kiitikadi, kidini ni mkristo.

Sijaona hata siku moja wewe unakiri zuri lolote la kiongozi wa CCM mkristo, wa sasa wala wa zamani. Kama nimekosea nipe link ya pale ulipofanya hivyo.

Na sijaona hata siku moja Zitto akikosolewa na ninyi, bila shaka ni kama MALAIKA.

Nina wasiwasi akipatikana mgombea URAIS mkristo CCM 2015, mtahamia candidate yeyote muislamu wa chama chochote kile.

Mmefanikiwa kutumia udini kuimaliza CHADEMA lakini mmetugawa wana CCM!

UDINI una mapato ya muda mfupi sana.

cc. Chris Lukosi
 
Hii single ishachuja. Sasa hivi zinauza single za Kapuya na Mvungi...



Hata mi nimechoka kusikia habari za Zitto...he used to be my favourite politician but now am no longer interested!
 
Anataka ile Reort ya Siri mliyoitoa Makao Makuu dhidi yake muje kuitetea maana hata walowatuma wanaikana sasa anataka kujua Kati ya Yericko na Kina Slaa nani Mkweli maana Yericko na wenzie wanasema ile Report imetoka Mtaa Ufipa, Kina Mbowe na Slaa wanaikana na wanasema hawana Tatizo na Zitto!
Aende mahakamani tu. Mambo yote yatakwisha.
 
Hata mi nimechoka kusikia habari za Zitto...he used to be my favourite politician but now am no longer interested!

To me he is still... next to Mbowe and Slaa...
 
Dk slaa ni mnafiki unagonga like kwenye waraka halafu unaleta maelezo eti we r with u zitto shame on u hii conspiracy thery

Uwezo wako wa reasoning ni mdogo sana kama umeshindwa kufikia concl kuwa hakuna uwezekano wa mtu mwingine kutumia ID Fake ya Dr. Slaa kugonga like.

angalia id hizi
Dk. Slaa
Dr.Slaa
Dr.W.slaa
Dr W Slaa
Dk W Slaa
etc
Ki-IT hizo ni ID tofauti kbs!
 
Mimi ni mwana CCM. Sijaona hata siku moja unakiri zuri lolote la kiongozi wa CCM mkristo. Na sijaona hata siku moja Zitto akikosolewa na ninyi, bila shaka ni kama MALAIKA.Nina wasiwasi akipatikana mgombea URAIS mkristo CCM 2015, mtahamia kjwa LIPUMBA.Mmefanikiwa kutumia udini kuimaliza CHADEMA lakini mmetugawa wana CCM!UDINI una mapato ya muda mfupi sana

Nimekuelewa sana mwanaccm mkristo.
 
To an intellectual man it need.......... ukiona nungunungu juu ya kichugu uje chini kuna mama yake, walioandika habari yote ni UWT wakaituma makao makuu, sasa afisa wa chadema ni mtu safi sana katika jamii na chama, kazi aliyofanya ni kujulisha umma tu kuwa kijana mwenzake zitto sio msafi either kwakutumwa na UWT au makao makuu coz zitto wamemuchoka both UWT na MAKAO MAKUU,

kwani anapenda pessa sana na anashadidida mambo makubwa na ukitaka hapo lazima umpe pesa sasa wamechoka UWT na

kwa upande wa chadema ni kubeba hoja za chama na kujifanya zake plus kutoa siri za chama kwa UWT... inatosha bhanaaaa
ngoja kwanza,hebu twende polepole hapa.
Slaa anadai ile report ya kumsiliba zito imetengenezwa na usalama wa taifa ili kuivuruga chadema,siyo?.
Then anaeonekana kuisupport na kuisambaza ni ofisa mwandamizi wa chadema na fundimwashi maarufu jijini dar mr yerico j.k.nyerere.SAWA?.
Then how come report ya usalama wa taifa yenye lengo la kuivuruga chadema iwe supported na ofisa wa chadema au righthandman wa slaa?.
 
Hakuzushiwa wala kudhalilishwa kwenye Vikao vya Chama,lazima ajibu shutuma na Uongo kwa kutumia njia waliyotumia wazushi, Sie ambao sio wajumbe wa hivo vikao tutajuaje ukweli au uongo wa hizo tuhuma kama Mkimzushia awe ana kaa Kimya kusubiri Vikao, tunahitaji Defenders wa ile Research dhidi ya Zitto mbona wote WENYE Verified user Names mmekimbia ku defend?
...Kama wewe ni GT, utajua tu hii ngoma bado mbichi sana. wametuliza mizuka tu. ZITTO mwenyewe hana amani nawashangaa magamba mnavyofurahia - if U doubt me subiri. Watakaporudi hao wenye verified user names, LB7 wote watakimbia.
 
Kulikuwa kuna misukule humu ya @Yericko na BENSaanane walikuwa wanamtuhumu Zitto bila hata kumsikiliza sasa leo wanakula matapishi yao, mmetumika kumchafua na Siasa zenu za Maji taka leo hii mnataka yaishe. Wapuuzi wote mliokuwa mnawaSupport hao Vibaraka wa CCM
 
Last edited by a moderator:
Kama ni misukosuko tu CDM munaipitia,munavyopambana utadhani Nchi ipo utumwani na sasa munapigania uhuru,furaha iliyoje kwa CCM maana wanajua kuparanganyika kwa CDM ndio dini yao ya ufisadi itakavyozidi kukua,wanaamini uimara wa CDM unaiweka mashakani dini yao(ufisadi)maskini TANZANIA chini ya uongozi wa CCM.
 
Dr. slaa ni mnafiki. Mliamua kufanya mambo ya aibu ya kumpeleleza mwenzenu na kumtwika maovu mengi mmekosa ushahidi leo unajiuma uma hapa. tena ningekuwa ndo yule mthungu mngeshangaa. chama ona hapa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom