Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

Leta ushahidi hapa au peleka mahakamani juu ya tuhuma hizi za kipuuzi

Uongo dhidi ya Zitto ulipanda kwa Lifti ukawahi kufika juu, Ukweli kuhusu Zitto umepanda kwa Ngazi na sasa uko Juu umekutana na Uongo, ule uongo unatafuta Emergence Door.Kikao kijacho cha Chadema wajumbe wanataka kujadili kama Kanuni na tratibu zilifuatwa kuwapa Ajira Mtandaoni ya kuwa wasemaji wa Chama maana imeanza kuonekana Mpo kumtetea Mtu badala ya Chama kwa kuandama wote wasiopendwa na mtu huyo bila ya kujali athari kwa chama chenu,
 
josephine mshumbusi ameiharibu akili ya dr slaa. Yan ule waaraka baada ya kuwekwa tuliona Dr Slaa akilike na comment za kumponda zitto anazilike alafu anasemaje?

Kama sio slaa ni mshumbusi. Na mshumbusi ni rafiki sana na yerico.
Acha kufuatilia maisha ya watu wewe gamba jipya
 
Uongo dhidi ya Zitto ulipanda kwa Lifti ukawahi kufika juu, Ukweli kuhusu Zitto umepanda kwa Ngazi na sasa uko Juu umekutana na Uongo, ule uongo unatafuta Emergence Door.Kikao kijacho cha Chadema wajumbe wanataka kujadili kama Kanuni na tratibu zilifuatwa kuwapa Ajira Mtandaoni ya kuwa wasemaji wa Chama maana imeanza kuonekana Mpo kumtetea Mtu badala ya Chama kwa kuandama wote wasiopendwa na mtu huyo bila ya kujali athari kwa chama chenu,

Degree za india ni mbaya sana sijui kwa nin watu hualibikiwa wakienda kusoma huko hakuna degree nayoiona ya ajabu kama ya india
 
Kiongozi mzuri hawezi kuhojiwa na vyombo vya wahuni wahuni. Kiongozi wa kweli anapeleka shida kwenye vikao, siyo mara mi....k..si mara mi...l..d. hayo. Huyu ana walakini. Kwani amekoma ubunge wake kama hataki kufika ofisini kama kiongozi na kuzungumza na wenzake wakawajibishwa anaogopa nini hata kwa spika aende. Wote mnaomshabikia hamnazo. Anzisheni chama kipya
 
Sikukuliza kama 'whoever' ana sababu au la za kulike chochote. Swali langu liko very clear, na nakuuliza tena, ukitaka kumshukuru mtu kwa kutoa taarifa kwenye hili jukwaa unabonyeza kitufe gani, ZeMarcopolo?

Kwahiyo unamaanisha Slaa alikuwa anashukuru kwa Zitto kuchafuliwa?
 
Slaa katika historia ya maisha yake ya kisiasa hajawahi kuomba radhi.

Hili jambo limeshakuwa serious, ni bora aombe radhi mapema Zitto amsamehe ili mambo yasifike mbali.
[Mahakama inaogopwa na wasiojua sheria.]
 
Hivi mnataka dr Slaa aombe radhi katika lipi. Kweli mliandaa mkakati mkubwa lakini mshashindwa njama zikijulikana kwishinei
 
Hivi mnataka dr Slaa aombe radhi katika lipi. Kweli mliandaa mkakati mkubwa lakini mshashindwa njama zikijulikana kwishinei

Mtu anapofanya kosa ni uungwana kuomba radhi.

Slaa kuacha jambo hili lipite bila kumuomba radhi Zitto ni kukosa uungwana.

Jaribio la kumchafua mtu kwa kutunga hekaya kama hii iliyowekwa kuhusu Zitto ni kosa kubwa. Slaa akiomba radhi Zitto atamsamehe, yataisha. Asipoomba radhi jambo hili litafika mbali sana.
 
Wakuu kumekuwa na nyaraka kadhaa zinatolewa hapa jukwaani zingine zikibainisha eti zimetolewa na ccm na zingine zikibanisha kuwa zinatolewa na vyombo vya dola ili kuichafua chadema .

Napata ugumu wa kuziamini tarifa hizo kwa kuwa na mapungufu makubwa sana ambayo kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida atajua kabisa kuwa zinatengenezwa na baadhi ya watu kwa malengo wanayotaka.

Nyaraka zilizonyingi hapa jukwaani zinataka kutufanya tuamini kuwa ndani ya chadema hakuna mgogoro ila ccm na vyombo vya serikali eti zinaandaa mgogoro ili kuichonganisha chadema na zitto kwa kipi cha mno?

maswala haya ya kudai kuwa chadema inahujumiwa na vyombo vya dola siyo mapya hapa jukwaani hata anayetunga huo uongo ndani ya chadema wote tunamjua tena ni mkongwe wa uongo kweli hupenda kugeuza kitu kionekane tofauti na uhalisia tena huongea kwa ubabe na nguvu sana kana kwamba yupo sahihi kweli kumbe ni uongo.

umejengeka utaratibu ndani ya chadema likitokea tatizo viongozi wake badala ya kujisahihisha wanaanza kuandaa visa vya uongo kupindisha ukweli jambo ambalo ni baya kweli kwenye ujenzi wa jamii mpya.

kwa matatizo na migogoro iliyopo ndani ya chadema kwa sasa tutashuhudia mambo mengi sana ya kupika na kutengeneza ili kuficha udhaifu na mapungufu ya chama chao kwa kuanzisha hoja nyepesi za kilaghai.

Viongozi wasioweza kukubali kukosolewa na kushaulika kwa mapungufu yao hawafai kuwepo kwenye jamii ya leo ambayo imetawaliwa na demokrasia miongoni mwa jamii.

CC.sixgates
 
'Like' inaweza ikatumiwa kama ishara kwamba habari hiyo imekuwa 'noted', is not necessarily kwamba unaipenda
 
tuliwaambia...hili litawageukia CCM mkabisha...mpaka tukatolea mfano wa us goverment shutdown ya juzi..ilivyowageuka republican ..lakini hamtaki kuelewa....sasa jinsi mlivyoshabikia zito na ule mgogoro..utanza kuingeukia cccm taratibu
 
Simiyu,
Thread za aina hii haziwezi kupata attention kutoka kwa Wanachadema makini maana wanajua zina lengo la kututoa kwenye hoja za msingi na thread nyibgine zilizopo humu.Narudi kule
 
Thread za aina hii haziwezi kupata attention kutoka kwa Wanachadema makini maana wanajua zina lengo la kututoa kwenye hoja za msingi na thread nyibgine zilizopo humu.Narudi kule
Mkuu ben attention za aina gani unataka watu wapigane matofari?
 
Back
Top Bottom