BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,511
- 11,917
mkuu Yaani umekosa hoja umebaki na nani kagonga like na nani haja commentSlaa hakuw na sababu ya kulike, angeweza kuandika kuwa taarifa hiyo haijatolewa na Chadema.
Picha za Lema akilawitiwa ziliposambazwa Mzee Mtei alikuja mtandaoni mara moja kumtetea, lakini kwenye hili la Zitto wameishia kubonyeza like.
Ujumbe walioutoa umefika...