Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

Nashangaa CCM wanavyofurahia yanayotokea chadema sasa hivi, wanajifanya hawajui mpasuko utakao tokea kwao kabla ya uchaguzi ambao utapelekea kushindwa uchaguzi. Subirini tu mtaona!!
 
Kiongozi mzuri anapima impact ya kile atakachokisema/jibu kabla ya kusema. Kwa maoni yangu viongozi hawa wametumia busara kusema kuwa hakuna tatizo kwani kungekuwa na madhara makubwa kukubali kama kuna tatizo ndani ya chama na kumekuwa na madhara kidogo kwa kukanusha kwao hata kama tatizo lipo. Cha msingi wanafanya jitihada gani ilikuondoa dosari hizo.
 
udini mkuu jiulize ni kwa nini hao hao wanamtukana nyerere ........sijui atakapokuwa lowasa itakuwaje kwa hawa vilaza

Nawashangaa kuuchukia ukirstu na kuhusisha na cdm
Ss ngoja uone kitakachofuata watu watapiga kura bila kuanfalia chama bt dini endeleeni tu mtaona makib yake
 
Hapo Zitto ange_like ungesikia anatumika,na kama angeiweka kwenye blog yake kama kamanda Kileo angeambiwa ni msaliti lakini kwa kuwa Mbowe,Slaa,JJ Mnyika,Lema,Nassari,Ben8 na wengineo ni kawaida. Ila huo ni unafiki wa wazi na chuki juu ya Zitto
 
CCM hawana jipya kwani chadema ni wamoja na watabaki kuwa wamoja
 
Kwikwikwi! Bora CHADEMA ife,CCM ife ibaki TANU na ASP maana CHADEMA ni tawi la CCM.Viongozi wakuu wa CHADEMA wote walikua CCM wakahamia CHADEMA.Bora ZZK hajahama chama kuliko waganga njaa km wavuta bangi wenu,
Siipendi CCM,naichukia CUF na siiamini CHADEMA
 
Ukweli daima husimama na palipo na uwongo, ukweli hujitokeza.

Ukweli unapokitokeza lazima uwongo uweweseke.

Heli msema ukweli daima maana minyororo ya unafiki haitamfunga.

Hizi chini ndizo baadhi ya kauli za viongozi wa CHADEMA



Maneno mazuri sana yenye ukweli mtupu. Hata hivyo hekaya hii imesambazwa na wanachama wa CHADEMA na mmoja ni kiongozi wa mkoa na akaweka kwenye blogu yake anayoenda kwa jina la Kilewo 2015 na Viongozi wengine waka ‘like’ kwenye jamii forums. Hawa wametumwa na usalama na CCM?

Njoo na ID yako kama kweli unajiamini.Kuna Thread ilikua huku MODS wameifunga.Na hii haitaachwa hivi hivi.Lengo lako hatutaliacha litimie kupitia thread hii
 
Ukweli daima husimama na palipo na uwongo, ukweli hujitokeza.

Ukweli unapokitokeza lazima uwongo uweweseke.

Heli msema ukweli daima maana minyororo ya unafiki haitamfunga.

Hizi chini ndizo baadhi ya kauli za viongozi wa CHADEMA



Maneno mazuri sana yenye ukweli mtupu. Hata hivyo hekaya hii imesambazwa na wanachama wa CHADEMA na mmoja ni kiongozi wa mkoa na akaweka kwenye blogu yake anayoenda kwa jina la Kilewo 2015 na Viongozi wengine waka ‘like’ kwenye jamii forums. Hawa wametumwa na usalama na CCM?

wanafiki wote hao ujaskazin umewajaa. Walikuwa wapi kusema hizi kauli wakat report inaanza kusambaa? Mpaka zito aandike barua ya kutaka maelezo kutoka kwa silaha ndo waje na kauli za kibabaishaji.
Yaani hiki chama hata waliokuwa na akili kubwa zimefifia na kuwa ndogo nashangaa sana. Poor cdm
 
mmmh kwan n mara ya kwanza kwa zitto kuwa kwny hzi mishe....kitajolkana mwisho wa ck
 
Mwenyezi Mungu hamfichi mnafiki, atawaumbua tu.
Hawawezi kuficha yaliyomo ndani ya vifua vyao, vitadhihiri tu.
Wanajaribu kuudanganya umma wa watz lakini wanaumbuka tu.

CHADEMA NI moja.nyie na propaganda zenu za kihuni endeleeni kupoteza muda.
 
Kinachohitajika ni busara za hali ya juu katika utatuzi wa mambo Kama haya na kwenye kutumia busara chadema nawasifu sana. Hongereni kwa kulitatua jambo hili kwa hekima
 
Back
Top Bottom