Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

Mkuu, umeuliza maswali ya maana sana. Nina hakika Yeriko au Ben hakuna hata mmoja atajakayekuja kuyajibu

wenyewe ni mazuzu wa kilakitu lakini hawajajijua kama ni mazuzu.
eti makini. makini mtakuwa nyie bwana?
embu waambie warudini kidogo tuendelee kuwachukuwa maelezo kwa ajili ya akiba ya 2015.
 
Njoo na ID yako kama kweli unajiamini.Kuna Thread ilikua huku MODS wameifunga.Na hii haitaachwa hivi hivi.Lengo lako hatutaliacha litimie kupitia thread hii

wapi MODS_ thread hii ni mwiba kwa cdm mmeombwa muifunge jaman
 
Hivi yariko Nyerere unajitambua kweli? mwanzo ulituaminisha kuwa waraka umetoka makao makuu ua chadema,sasa tusaidie hapa.baada ya makao makuu kukanusha kuwa haukutoka huko.
1.Je wewe uliutoa wapi kama si CCM waliokutuma ili ukivuruge chama?

2.Unajisikiaje kukanwa na viongozi ambao mwanzo ulituaminisha wamekutuma?

3.Je Kama ni kweli waraka umetoka makao makuu kwamini viongozi wamekanusha? Je wslikuwa ma nia gani?

hayo maswali yakijibiwa ipasavyo, CDM itakuwa imekomaa
 
Katika sakata hili ben na yericko nawaona ni vijana wabaya kabisa ambao wapo tayari kutoa uhai wa mtu kwa ujila mdogo sana walimtukana sana zito kwa tuhuma kibao kumbe wanatumika hawana lolote la maana.

mara kibao nimekuwa niwaeleza hawa madogo wanatumika kibwege kwasababu ya UOGA WA MAISHA hali wakijua wanaliangamiza Taifa kwa propaganda za kijinga na kuwajengea vijana fikra potofu zitakazowapotezea vijana mfumo sahihi wa maisha yao_vijana wanajengwa ktk misingi potofu na itawachukua muda mrefu kutambua na wakat wakijitambua watakuwa wameharibikiwa_sijui ndugu hawa wanajisikiaje?
 
kwanini mkibanwa mnakimbilia kwa mods embu tulieni dawa iingie

unaweweseka bure we gamba.tulishasema sisi kama wanachama wa kawaida kwamba,wasaliti wote lazima wang'olewe na wasahau kujipenyeza hadi ktk uongozi wa juu kabisa katika chama.
 
hata mje na propaganda nyekundu ukweli ni kuwa,wanachama wa cdm huku kanda ya ziwa hawamwamini zitto kutokana na tabia zake na uswahiba wake na magamba.kama anatumwa basi ajue ameshafeli kitambo.cdm itakuwepo daima.
 
Aibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu kwa watu wazima kudanganya, ulojo waliouanzisha badala ya kumpolomosha Zitto, umezidi kumpandisha chati. Akili za kuibiwa mitihani haziwezi kufanana analiyejifanyiaa mwenyewe mitihani yake. Ama kweli nimeamini akili kubwa haiwezi kushindana na akili ndogo. Keep up Zitto wewe ni kamanda wa ukweli kuliko hao vibaraka.
 
kwa hiyo ndiyo tuseme wassira aliposema chadema itakufa kabla ya 2015 ndiyo mkakati umeanza au?CCm wanachotakiwa kufahamu ni kuwa watu wenye akili wote hawakai ccm kwa hiyo hata TISS(ccm)wajitahidi vipi hawatafanikiwa kwa sababu wengi ni mburula.uzuri mmoja kamtandao ka zito kote kame vurugwa labda ccm wamsaidie tena pesa aunde upya.jamani wanachadema na wasio chadema ukiitiwa pesa kula ni kodi zetu ni tembo na madini yetu mwisho wa siku unajua unachokifanya kwani laana ya kutopeleka dawa mahospitalini watoto wetu kukaa chini ,wakinamama kulala kitanda kimoja watatu na tembo wetu kuuwawa walimu wa watoto wetu kutolipwa vizuri LAANA zote hizi na nyingine zitakuwa juu ya wote wanaoandaa mkakati wa kiharibu chadema.
 
wamkomalie huyo jamaa aondoke
Majibu ya viongozi hao yanajitosheleza sana. Hakuna tatizo katika chama bali wachonganishi ni watu wabaya kuliko wachawi. Nawalaaniwe watu wote wenye hila za kuwachonganisha watanzania kwa kubuni mambo yasiyo ya kweli dhidi ya wenzao. Na watu wote waseme amina.
 
This is just another rubbish....Ni lini nilishawahi kutunga uongo?Thibitisha upuuzi huu ulioandika hapa.Grow up!

nikiambiwa nitaje ng'ombe watatu sitakuacha wewe. Kibaraka mtembea na sumu mchumia tumbo
 
Majibu ya viongozi hao yanajitosheleza sana. Hakuna tatizo katika chama bali wachonganishi ni watu wabaya kuliko wachawi. Nawalaaniwe watu wote wenye hila za kuwachonganisha watanzania kwa kubuni mambo yasiyo ya kweli dhidi ya wenzao. Na watu wote waseme amina.

mmeshikwa sehemu nyeti mnaanza kuweweseka.
 
huyu zito ni mwanachama wa chama gani?? namaanisha kuwa ni mwaminifu kwa chama gani?? maana nilimusikia mwaka 2010 kipindi cha uchaguzi kuwa atagombea urais 2015 huku akijua KAtibu wake Mkuu alikuwa kwenye kampeni za urais 2010!!!!
 
hata mje na propaganda nyekundu ukweli ni kuwa,wanachama wa cdm huku kanda ya ziwa hawamwamini zitto kutokana na tabia zake na uswahiba wake na magamba.kama anatumwa basi ajue ameshafeli kitambo.cdm itakuwepo daima.

tatizo lako wewe hujitambui,ni kawaida kwa misukuma ya dizaini yako kutumika kuendeleza uchaga ndani ya cdm,sikulaum sana
 
HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA ZITTO KABWE KUHUSU KAULI YA DR. SLAA DHIDI YAKE...








Hii inatoka kwenye page ya facebook ya Mbunge huyu wa Kigoma Kaskazini na pia Naibu katibu mkuu wa Chadema…
zitto+%281%29.jpg
Zitto-Kabwe-on-waraka-mzito-maoni-ya-Dr-slaa-no-beef-Nov-15-2013.png


 
Back
Top Bottom