Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

Nianze kwa kunukuu kauli za mwanafalsafa wetu nguli Aristotle alopenda kuitumia

"It is a mark of an educated mind to be able to intertain thought without accepting it"

Kwamba nyakati nyingi bongo Za watu wanaojidhania wana darasa hupenda sana kunasabisha mawazo flan ingawa Kwenye mioyo Yao wanajua fika wako Mbali nayo.

Zitto waraka huo wa siri umekuweka pabaya, mbaya zaidi ni pale viongozi waandamizi wa Chama chako wametoka nje hadharani wakanawa mikono Yao juu ya sakata hili Na umejikuta huna wa kumrukia. Kila unayemsaka umrukie kiulainii anakukwepa. Hali hii inakulazimisha ufunge mjadala kitu ambacho hakiwezekani kama kuna ukweli.

Niwazacho Na nionacho ni Kwamba story hii ina chumvi kidogo hasa mbwembwe Za Mwandishi alipowakilisha lakini matukio karibia yote yanasound Kweli.. Na Kama yanasound Kweli Basi hofu yako kubwa ni Kwa hao uliofanya nao hiyo siri Na Kumbe kuna baadhi usiowadhania possibly wametorosha taarifa zako. Kuwasakama hao waziwazi huwezi Na ni jambo lisilowezekana utaishia kuwapigia cm tu "jamani mbona mmenifanyia hivi?!?" nao wanakujibu " aisee wala hatujui nani kafichua mpango mzima"

Na Kwa mantiki hiyo silaha yako kubwa ni kupambana ili jamii ielewe story hiyo ni ya kupikwa Na ukiwalenga viongozi wako ndio wanazi wakuu Wa pishi hilo ukilibatizia Kama propaganda Za kuchafuana wakati Chama kinakaribia uchaguzi Wa Ndani. Ukazusha mikutano kwenye kanda ya magharibi ambayo kuna sintofahamu ya Fedha Za mikutano Na nani mfadhili Wa mikutano hiyo maana Chama hakina taarifa nayo, Kwenye mikutano ukatoa matamshi agharabu Kiongozi mkuu Kama wewe kuwatamkia viongozi wenzako hadharani. Hii yote unachokoza kutokee fukuto Kwenye Chama ili wananchi maskini Sie tuelewe ni kweli viongozi wako hawakupendi Na kweli labda wamekupikia inshu.

Mbaya zaidi ni pale viongozi hawa waandamizi wakitoa kauli Za kunawa mikono "komplitili (Kama alivyopenda Kusema idd amini)" . Ripoti wamepinga haijatoka chamani, wameonyesha hawana wala hawajawahi kuwa Na Ugomvi nawe Na wala hakuna aliyekutolea majibizano au munkari. Hali hii inakufanya upwaye, utapetape, unaruka huku Na Kule hakuna anayejali you are doing something to let them react but this pipo gain zero interest from your action. Ni Kama Mtu anayetupa ngumi hewani. Kila unayemshika udondoke naye anakukwepa kimya kiulainii..

Sikiliza Kisima nikushauri, usiendekeze hizi maneno, accept the reality. Hatakama your action 100% was true but Hakuna NASEMA tena hakuna popote Action hizi zimekiyumbisha Chama chako zaidi ya kukiimarisha zaidi. CHADEMA HAIJAATHIRIKA POPOTE..!! So if this is the case badili ukurasa, badili mtazamo, elekezea openly mashambulizi yako Kwa hao uliotengeneza nao dili Na wape makavu laivu kwamba hukumwomba Mtu Pesa, walikutafuta Na kukuletea wenyewe Kwa Ujinga Wa Akili zao. Ata Mimi Mtu akiniletea hela ntazikataa vipi.. Unaji-Obi okonkwo Kwa Kwenda Mbele Kama kauli yetu mbiu Kwamba "Kula CCM Na Kura CDM" kumbuka vya mlevi huliwa Na mgema. Wewe bi jembe, wewe ni mgema hao ni walevi wa madaraka, wanaamini CDM ikifa Basi Na ulevi Wao utaendelea.

Nakushauri wabomoe mapema Na wakiendelea Kutaka kukutumia usikatae hela, hata mie nirushie gawio mwanangumwenyewe.. Nani anaichukia fedha ya bure..!!. Hujaiba Cha Mtu, hujadhulumu Mtu.. Mjingaflan anakuletea hela utaikataaje. Nakumbuka zamani mjibaba unakuita Nyuma ya nyumba yenu hasa nyakati za jioni ,unakukatia mshiko (akikupa shilingi moja inatosha sana bajia Kama ishirini shuleni kesho yake) halafu unakutuma ukamuitie dadako. Unachukua mshiko Wa ----- unaendazako Ndani unaendelea Na hamsini zako.

Usipo wapa makavu laivu, ukaamua kukaa kimya utakuwa Na wakati mgumu sana sana. Wao wanajifanya vinara Wa kuua raia, kunyofoa kucha bila ganzi waache wafanye wawezalo, liwalo Na liwe.. Wewe ni Jembe muhimu la CDM, Achana Na wajingawajinga wamashakuchafua sana Mbele ya Jamii.., timu yote ya watoto wa vigogo Wauza madawa ya kulevya ya Lumumba wanakushabikia wewe unaona kitu hiyo iko Sawa!, mie si shabiki wa mpira ila kama inacheza Yanga na Simba, kisha washabiki wa Yanga kwa nguvu wanamshabikia mchezaji flan mmoja tu wa Simba ambaye hachezi kiwango chake lazima simba wajiulize sana kulikoni huyu mwenzetu anayeshabikiwa na mahasimu wetu?!!. Njoo tumalizie kupanda pamoja mount 2015.. Njoo tuandike historia pamoja ya kufuta kabisa NENO CCM ifikapo 2016 asiwepo hata Mtoto Mwenye ham nayo.. Kumbuka KANU..
 
Wako wapi waliokuwa wanamtetea Zitto na kumlaumu Lema kwa kujadili mambo yanayoweza kutatuliwa ndani ya chama mitandaoni? Naibu Katibu Mkuu wa chama analalamika mitandaoni kuhusu mambo yanayoweza kutatuliwa kwenye vikao vya chama?
 
Viongozi wa chadema wasipo kanyana kwenye vikao, na kuendelea hivi ni hatari. Hivi zitto ana kawaida hata ya kuongea na viongozi wenzake kwenye simu?
 
Chadema kuna msomi aliyemzidi zito? Kuna mbunge aliyefanya vizuri jimboni kwake mithili ya zito? Mlarushwa kwa ushahidi gani? Unataka awe mkristo ndio utamkubali?
mkuu ina maana prof. Safari, baregu, kitila, lissu wote hao ni bure? Je zitto amewazidi wote hao? Acha chuki za kidini mkuu!
 
Viongozi wa chadema acheni malumbano, nendeni mikoa ya kusini ambako ccm wana ngome kubwa hasa mikoa ya ruvuma,mtwara na lindi. Ukombozi hautapatikana kwa malumbano kwenye mitandao ya kijamii!
 
Dr.W.Slaa kiburi siyo maungwana muombe radhi Zitto ili swala liishie nje ya mahakama.

unachekesha aombe radhi kwa lipi message sent.slaa ndo wa kuogopa mahakaman,wa kuogopa ni zitto maana wakati wapinzani wa ukweli wanabambikwa kesi kila kona ya nchi zitto hana ata ya kwenda kutoa ushaidi,yeye ndo anaogopa mahakaman.watu walitungiwa za ugaid zikapanguliwa zitzkuwa izi zenye ushaidi shaili,poor ritz
 
Juzi nimesema kuwa viongozi wa chadema wameikana ile taarifa kwa sababu tu imevuja. ila wanakubali kuwa yale yaliyoandikwa ni mawazo ya CHADEMA. Nilishangaa sana kuona viongozi wanaikataa. Afadhali huyu kajisemea ya moyoni ingawa kasema mwandishi katia chumvi nyingi
 
Migogoro na malumbano hayajengi chama. Viongozi wa chadema nendeni kwenye m4c na sio malumbano,uzushi na fitna zisizo na msingi!
 
Daahh!!! USHAURI MZITO NA WA MAANA SANA!! TAFADHARI MH. ZITTO TAFAKARI MARA YA PILI NA UUFANYIE KAZI!!!!
 
Machapisho mazuri ya kimkakati yaliyoelekezwa kwa mhafidhina gede, akiuweka kando uhafidhina gede yatamfaa na kumuongoza siku za mbeleni katika ulingo siasa komavu
 
ivi nyie maccm siku mkakosa habari za zitto ajira yenu si itakuwa matatani,maana hamna jipya zaidi ya zitto, tembo wanaisha mnakalia kushupalia mbowe na slaa tu .pembe zilizokamatwa kwa wachina na zenji unaambiwa ni jumla ya tembo kama 700 kwishnei wewe unakomaa na uyo muha,anayefa nyayo za kaka yake mkaburu
 
Nianze kwa kunukuu kauli za mwanafalsafa wetu nguli Aristotle alopenda kuitumia

"It is a mark of an educated mind to be able to intertain thought without accepting it"

Kwamba nyakati nyingi bongo Za watu wanaojidhania wana darasa hupenda sana kunasabisha mawazo flan ingawa Kwenye mioyo Yao wanajua fika wako Mbali nayo.

Zitto waraka huo wa siri umekuweka pabaya, mbaya zaidi ni pale viongozi waandamizi wa Chama chako wametoka nje hadharani wakanawa mikono Yao juu ya sakata hili Na umejikuta huna wa kumrukia. Kila unayemsaka umrukie kiulainii anakukwepa. Hali hii inakulazimisha ufunge mjadala kitu ambacho hakiwezekani kama kuna ukweli.

Niwazacho Na nionacho ni Kwamba story hii ina chumvi kidogo hasa mbwembwe Za Mwandishi alipowakilisha lakini matukio karibia yote yanasound Kweli.. Na Kama yanasound Kweli Basi hofu yako kubwa ni Kwa hao uliofanya nao hiyo siri Na Kumbe kuna baadhi usiowadhania possibly wametorosha taarifa zako. Kuwasakama hao waziwazi huwezi Na ni jambo lisilowezekana utaishia kuwapigia cm tu "jamani mbona mmenifanyia hivi?!?" nao wanakujibu " aisee wala hatujui nani kafichua mpango mzima"

Na Kwa mantiki hiyo silaha yako kubwa ni kupambana ili jamii ielewe story hiyo ni ya kupikwa Na ukiwalenga viongozi wako ndio wanazi wakuu Wa pishi hilo ukilibatizia Kama propaganda Za kuchafuana wakati Chama kinakaribia uchaguzi Wa Ndani. Ukazusha mikutano kwenye kanda ya magharibi ambayo kuna sintofahamu ya Fedha Za mikutano Na nani mfadhili Wa mikutano hiyo maana Chama hakina taarifa nayo, Kwenye mikutano ukatoa matamshi agharabu Kiongozi mkuu Kama wewe kuwatamkia viongozi wenzako hadharani. Hii yote unachokoza kutokee fukuto Kwenye Chama ili wananchi maskini Sie tuelewe ni kweli viongozi wako hawakupendi Na kweli labda wamekupikia inshu.

Mbaya zaidi ni pale viongozi hawa waandamizi wakitoa kauli Za kunawa mikono "komplitili (Kama alivyopenda Kusema idd amini)" . Ripoti wamepinga haijatoka chamani, wameonyesha hawana wala hawajawahi kuwa Na Ugomvi nawe Na wala hakuna aliyekutolea majibizano au munkari. Hali hii inakufanya upwaye, utapetape, unaruka huku Na Kule hakuna anayejali you are doing something to let them react but this pipo gain zero interest from your action. Ni Kama Mtu anayetupa ngumi hewani. Kila unayemshika udondoke naye anakukwepa kimya kiulainii..

Sikiliza Kisima nikushauri, usiendekeze hizi maneno, accept the reality. Hatakama your action 100% was true but Hakuna NASEMA tena hakuna popote Action hizi zimekiyumbisha Chama chako zaidi ya kukiimarisha zaidi. CHADEMA HAIJAATHIRIKA POPOTE..!! So if this is the case badili ukurasa, badili mtazamo, elekezea openly mashambulizi yako Kwa hao uliotengeneza nao dili Na wape makavu laivu kwamba hukumwomba Mtu Pesa, walikutafuta Na kukuletea wenyewe Kwa Ujinga Wa Akili zao. Ata Mimi Mtu akiniletea hela ntazikataa vipi.. Unaji-Obi okonkwo Kwa Kwenda Mbele Kama kauli yetu mbiu Kwamba "Kula CCM Na Kura CDM" kumbuka vya mlevi huliwa Na mgema. Wewe bi jembe, wewe ni mgema hao ni walevi wa madaraka, wanaamini CDM ikifa Basi Na ulevi Wao utaendelea.

Nakushauri wabomoe mapema Na wakiendelea Kutaka kukutumia usikatae hela, hata mie nirushie gawio mwanangumwenyewe.. Nani anaichukia fedha ya bure..!!. Hujaiba Cha Mtu, hujadhulumu Mtu.. Mjingaflan anakuletea hela utaikataaje. Nakumbuka zamani mjibaba unakuita Nyuma ya nyumba yenu hasa nyakati za jioni ,unakukatia mshiko (akikupa shilingi moja inatosha sana bajia Kama ishirini shuleni kesho yake) halafu unakutuma ukamuitie dadako. Unachukua mshiko Wa ----- unaendazako Ndani unaendelea Na hamsini zako.

Usipo wapa makavu laivu, ukaamua kukaa kimya utakuwa Na wakati mgumu sana sana. Wao wanajifanya vinara Wa kuua raia, kunyofoa kucha bila ganzi waache wafanye wawezalo, liwalo Na liwe.. Wewe ni Jembe muhimu la CDM, Achana Na wajingawajinga wamashakuchafua sana Mbele ya Jamii.., timu yote ya watoto wa vigogo Wauza madawa ya kulevya ya Lumumba wanakushabikia wewe unaona kitu hiyo iko Sawa!, mie si shabiki wa mpira ila kama inacheza Yanga na Simba, kisha washabiki wa Yanga kwa nguvu wanamshabikia mchezaji flan mmoja tu wa Simba ambaye hachezi kiwango chake lazima simba wajiulize sana kulikoni huyu mwenzetu anayeshabikiwa na mahasimu wetu?!!. Njoo tumalizie kupanda pamoja mount 2015.. Njoo tuandike historia pamoja ya kufuta kabisa NENO CCM ifikapo 2016 asiwepo hata Mtoto Mwenye ham nayo.. Kumbuka KANU..

mkuu salute
 
Mwenye haiba na hekima plus busara atasoma ijumbe huu nakuufanyia kazi mara moja japo kupanga ni kuchagua ila kwa vile mwanadamu kaumbiwa kupuuza na kusahau sina budi kumpongeza mleta uzi kwa ushauri wake murua!

Nitaendelea kumkemea shetani na kimfurahia mungu kwa hekima na busara anazotupa kuelekea 2015 tukiwa imara pamoja na mawimbi ya hapa na pale baharini ila bado jahazi linakata maji kuelekea nchi ya ahadi,inshaaaaaallah tutafika salama japo makovu hayatakosekana mwilini
 
Njoo na ID yako kama kweli unajiamini.Kuna Thread ilikua huku MODS wameifunga.Na hii haitaachwa hivi hivi.Lengo lako hatutaliacha litimie kupitia thread hii
Acha unafki ww mbona bdo ipo na inadum unawagundsha mods kaz eeeee au n wafanyakaz wenu CDM kwamba thread inayowahusu inatolewa?ZZK ndo aliewapa umaarufu na ndo atakae washusha tuuu
 
maccm wamebakiza silaha moja nayo ni zzk.nakwambai wakishindwa hapo wanaweza kuondoka naye kwa hasila,ccm hawawezi kupokea zzk ccm,maana dhambi ya kutumika ni kama dhambi ya wachawi kula nyama za watu,kamwe hawaachi mwendo mdundo
 
Machapisho yanafundisha vizuri tu, sasa ni juu yake huyo mshauriwa kuyafuata au kuyaacha. I like this machapisho.
 
Haya. Zitto anasema ni uzushi. viongozi wake wa chama wanasema ni uzushi.

Je, zile fedha alizowatumia akina Mtela, Shonza, Ben, Mchange, Shibuda, Nyakarungu na Gwakisa zilikuwa za kusherekea birthday yake?

Je, Zitto hakuwa kiongozi wa PM7 na hakuwa anaitwa DUDE?
 
Back
Top Bottom