Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

Zitto hajawahi kupambana akashindwa,sasa naikubali kauli ya Habibu mchange,pia Zitto aliwahi kusema kuwa uongo hutumia lift kupanda ghorofa,ukweli hutumia ngazi kupanda ghorofa, Uongo huwahi kufika na ukweli huchelewa kufika,lkn pindi ukweli unapofika unaweka wazi kila kitu na wale waliokuwa wanajiona mashujaa sasa kibao huwageukia na kuwa watuhumiwa,watu wasioheshimika na wanapuuzwa kila walikokuwa wakiheshimika kwa sababu ya uongo wao
Hatimae kuku amewaruka vifaranga wake pamoja na kuwa ali upenda sana uongo wao. Zitto ni makini sana kwa kila hatua anayopiga.hongera sana mh.Zitto.
Yariko Nyerere na Ben Saanane ndio wabunilizi wa ile hekaya,wakiwa na lengo la kuficha udhaifu wao kwa kufanya defence mechanism iitwayo Projection type of defence mechanism. kimsingi hawa vijana ni vibaraka wa CCM na usalama wa taifa hii ni kwa mujibu wa maneno ya Slaa,Marando na Mtei .hivyi wanatumiwa kukivuruga chama huku wakijionyesha mbele ya wanachadema kuwa wao ni makamanda kumbe wanatumika. sasa mwisho wa ubaya ni aibu.yale ya Bi kilembwe nayaona yakiwakuta. mmesalitiwa mpaka na viungo vyenu vya mwili. Kamwe uongo hauwezi kuushinda ukweli,mahuto ni mjukuu,asiesikia la mkuu guu huota tende.
Watanzania tunapaswa kuendelea kumpa moyo Mh.Zitto ili aendelee kusukuma agenda za kitaifa ili atuletee neema sote kwa umoja wetu wakiwemo hao wasaliti.
 
Njoo na ID yako kama kweli unajiamini.Kuna Thread ilikua huku MODS wameifunga.Na hii haitaachwa hivi hivi.Lengo lako hatutaliacha litimie kupitia thread hii

Ben ,nilikuwa nakuona kamanda kumbe ni kondoo ulievaa ngozi ya kondoo,ulituaminisha uongo juu ya Mh.Zitto ukitegemea nini? kama chama kinaweza kuendeshwa na genge lenu la makada watiifu wa CCM mnategemea nini iwe hatma ya mabadiliko tunayoyatafuta kwa jasho na damu? unajisikiaje kutumika kukihujumu chama kwa kutumia kigezo cha ukaribu na viongozi?
Ukiona kazini kuna mtu hapendwi na mkuu tambua kuwa inawezekana huyo mtu anambana huyo mkuu ktk mipango yake ya hujma ya taasisi.hivyo wakubwa wengi hupenda kuwahamisha kwa zengwe ili wapige mafungu. Sasa haya ndio yanayoendelea chadema,wazalendo wanapigwa vita kwa maslahi ya wahujumu chama. Sasa leo tumeujua ukweli sasa saanane na Yariko mnaweweseka. hivi mnajisikiaje?
 
Kama ni kweli Zitto ameandika kwenye facebook yake na akafanya hiyo conclusion KUANZIA LEO NA MIMI NINAUNGANA NA WATU WANAOMTILIA MASHAKA KATIKA HARAKATI ZA VYAMA VINGI...

Unatapatapa tu ndugu wewe unasumbuliwa na mahaba flani mengine mbwembwe tu.
 
Njoo na ID yako kama kweli unajiamini.Kuna Thread ilikua huku MODS wameifunga.Na hii haitaachwa hivi hivi.Lengo lako hatutaliacha litimie kupitia thread hii

kwanini mkibanwa mnakimbilia kwa mods embu tulieni dawa iingie
 
I love/hate you ZITO?...NILIJUA WEWE NI MTETEZI WANGU KUMBE UNAPULIZA NA KUUMA,,NILIJUA IKO SIKU UTANITOA KIFUNGONI,,KUMBE WEWE NI MMOJA WA MAWAKILI WA UPANDE WA MASHITAKA YANGU,,,,NILIJUA UKO TAYARI KUANZA SAFARI ILI NAMI NIKUFUATE,,,KUMBE UMERUDI HATUA KADHAA NYUMA,,,,,NILIDHANI WEWE NI KIJANA MSOMI UNAEJUA MAANA YA UKOMBOZI....KUMBE UMEISHIA KUSOMA VITABU VYA KIZUNGU VILIVYOJAA CONCEPTUAL FRAMEWORK AMBAYO HAIJAFAFANULIWA...KEBEHI KWAKO BAADA YA KUMBE 4 ZA MDARASA LA 7b,,je ni kweli kwamba bora kuwapotezea simba 100 walioizunguka nyumba yako kutaka kukumaliza kuliko muacha nyoka 1 uvunguni mwa kitanda???......
......tafakari ya leo "wasomi acheni kuringia videgree vyeni...mbona hata themometer ana degree kibaaao lakini haringi na anafanya kazi kwapani???"

Kakosea nini mtetezi wako? Au unataka awe mchaga, mkristo, mkaskazini ndio utampenda? Soma alama za nyakati.
 
wanafiki wote hao ujaskazin umewajaa. Walikuwa wapi kusema hizi kauli wakat report inaanza kusambaa? Mpaka zito aandike barua ya kutaka maelezo kutoka kwa silaha ndo waje na kauli za kibabaishaji.
Yaani hiki chama hata waliokuwa na akili kubwa zimefifia na kuwa ndogo nashangaa sana. Poor cdm

hilo jina la SILAHA umekosea yule anaitwa SI RAHA
 
Dr. Slaa vs Zitto Kabwe, bora aondoke huyu zitto kabwe a.k.a kibaraka wa Lowasa kwanza madhara yake ni madogo pili hana mawazo ya mabadiliko zaidi ya kukibomoa chama, tatu hamfikii dr.slaa ktk siasa, nne ni corrupt na tano jimbo lake linamshinda ndio ataweza kuiongoza chadema iliyojaa watu wenye akili na wasomi. Mnafiki mkubwa Zitto Kabwe.

Chadema kuna msomi aliyemzidi zito? Kuna mbunge aliyefanya vizuri jimboni kwake mithili ya zito? Mlarushwa kwa ushahidi gani? Unataka awe mkristo ndio utamkubali?
 
Naona umeibuka, nakutaka utangulie mahakamani sio kuniletea vitisho vya kipuuzi ndugu,
Mkuu uliwasha moto sijui kama utauzima unaanza matusi mapema kiasi hiki hakika nakwambie uongo ulioleta uko wazi sana ni sawa na tembo kujificha kwenye matembele.
 
katka wa2 wasumbufu we jamaa pia upo kwenye list ........
 
Ben ,nilikuwa nakuona kamanda kumbe ni kondoo ulievaa ngozi ya kondoo,ulituaminisha uongo juu ya Mh.Zitto ukitegemea nini? kama chama kinaweza kuendeshwa na genge lenu la makada watiifu wa CCM mnategemea nini iwe hatma ya mabadiliko tunayoyatafuta kwa jasho na damu? unajisikiaje kutumika kukihujumu chama kwa kutumia kigezo cha ukaribu na viongozi?
Ukiona kazini kuna mtu hapendwi na mkuu tambua kuwa inawezekana huyo mtu anambana huyo mkuu ktk mipango yake ya hujma ya taasisi.hivyo wakubwa wengi hupenda kuwahamisha kwa zengwe ili wapige mafungu. Sasa haya ndio yanayoendelea chadema,wazalendo wanapigwa vita kwa maslahi ya wahujumu chama. Sasa leo tumeujua ukweli sasa saanane na Yariko mnaweweseka. hivi mnajisikiaje?

This is just another rubbish....Ni lini nilishawahi kutunga uongo?Thibitisha upuuzi huu ulioandika hapa.Grow up!
 
Kama vijana tunakuwa kikwazo cha mabadiliko kwa kutumiwa na Mafisadi walioficha pesa uswis,badala ya kuwatia moyo walioamua kujitolea kuwashughulika mafisadi. basi tusahau mabadiliko maana kote duniani mbadiliko yameletwa na vijana.lkn kwa hawa aki na Yariko Nyerere na aki na saanane tusahau mabadiliko.
 
Katika sakata hili ben na yericko nawaona ni vijana wabaya kabisa ambao wapo tayari kutoa uhai wa mtu kwa ujila mdogo sana walimtukana sana zito kwa tuhuma kibao kumbe wanatumika hawana lolote la maana.
 
Naona umeibuka, nakutaka utangulie mahakamani sio kuniletea vitisho vya kipuuzi ndugu,

jibu swali.
1.kwanini viongozi wako wali like?.
2.kwanini walifuta ushahidi kwenye hiyo blog ya kleo?
3.kitu gani wanacho jiosha mbele yetu dhidi ya zzk?

cdm ni mambumbu wa kilakitu.
 
This is just another rubbish....Ni lini nilishawahi kutunga uongo?Thibitisha upuuzi huu ulioandika hapa.Grow up!

Umesahau namna ulivyo leta ule waraka kuhusu Zitto na ukawa unaisambaza kila kona huku ukishirikiana na Yariko nyerere? Mbona sasa we na yariko mnakimbia kivuli chenu? ulijua uongo unadumu? jitambue dogo unatumiwa na ccm? and then unajiita kamanda?
 
This is just another
rubbish....Ni lini nilishawahi kutunga uongo?Thibitisha upuuzi huu
ulioandika hapa.Grow up!

We ndo usiseme kabisaaaaa. Ben ndo mmoja wa watu walioandaa Ule upuuzi unaoitwa Ripoti ya Siri. mmestukiwa na sasa mnageuza chanzo cha ripoti ile
 
Hivi yariko Nyerere unajitambua kweli? mwanzo ulituaminisha kuwa waraka umetoka makao makuu ua chadema,sasa tusaidie hapa.baada ya makao makuu kukanusha kuwa haukutoka huko.
1.Je wewe uliutoa wapi kama si CCM waliokutuma ili ukivuruge chama?

2.Unajisikiaje kukanwa na viongozi ambao mwanzo ulituaminisha wamekutuma?

3.Je Kama ni kweli waraka umetoka makao makuu kwamini viongozi wamekanusha? Je wslikuwa ma nia gani?
 
Hivi yariko Nyerere
unajitambua kweli? mwanzo ulituaminisha kuwa waraka umetoka makao makuu
ua chadema,sasa tusaidie hapa.baada ya makao makuu kukanusha kuwa
haukutoka huko.
1.Je wewe uliutoa wapi kama si CCM waliokutuma ili ukivuruge chama?

2.Unajisikiaje kukanwa na viongozi ambao mwanzo ulituaminisha
wamekutuma?

3.Je Kama ni kweli waraka umetoka makao makuu kwamini viongozi
wamekanusha? Je wslikuwa ma nia gani?

Mkuu, umeuliza maswali ya maana sana. Nina hakika Yeriko au Ben hakuna hata mmoja atajakayekuja kuyajibu
 
Back
Top Bottom