Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Lissu anasema Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo waliomba kujiuzulu nyadhifa zao zote baada ya waraka wao kukamatwa lakini Kamati Kuu iliwakatilia baada ya kuona kuwa kukubaliana na maombi yao hayo ilikuwa ni kama kuwaacha wajiuzulu kwa heshima ambayo hawaistahili hata kidogo.

Hapa najisikia kutoa machozi,
Kitila Mkumbo umepatwa na nini, akumbuka ile siku ambayo tulikuwa tunazindua CHASO pale mabibo hosteli na Dr. Slaa akihutubia kwa mara ya kwanza tangu kipindi cha uchaguzi, ni siku ambayo nilikuwa mwanachama rasmi wa CHADEMA.
 
Hapa ndo penye pont, kumbe walikuwa wameshajua kinachotokea..

wewe uwajui chadema walivyo wazushi. zitto na kitila waliomba kujiuzulu baada ya kuhusishwa kwenye mambo ya kijinga na chama kika kaa kimya alaf baadae ndio kika kanusha. zitto na kitila wasingeweza kuvumiliwa kwa kuwa wao hawako kumbembeleza mbowe au slaa. hivi ni vita vya posho, uvunjaji katiba na ruzuku.

Dr slaa endelea kutumbua sasa hakuna wa kukuuliza.
Godbless J Lema endelea kurushia watu matofali mpaka uhakikishe ambo hamwataki wameondoka.
 
Last edited by a moderator:
eh... sasa waende wapi?ndio mbwembwe chali kule.....
 
nyie kurugenzi habari acheni utoto yani mnadiliki kusema mwingine hajajulikana, ina maana mme mhukumu mtu msiye mjua?

hili tulilijua toka mwanzo na hii dhambi itawatafuna na tunajua kosa la zitto na kitila ni kuhoji matumizi ya ruzuku na posho na uchaguzi ndani ya chama.

Tunaomba mmpe lema au kilewo huo unaibu katibu mkuu.
Utakufa na Bp wewe,imeundwa tume dogo kumtafuta M2 ili nae achukuliwe hatua elewa kiswahili hatua inachukuliwa akishajulikana,huwezi kipangia chama...
 
Last edited by a moderator:
Raha niliyonayo haina kifani, dogo zito pumbaf kabisa. Nilishaanza kumchukia kitambo kwa matendo yake. Lakini hakuna siku aliyonibore kama ile aliyosema tusiwaamini wanasiasa hata wa upizani. Go ZZK hapa ndo mwisho wa reli - Kigoma! I mean mwisho wako wa siasa
 
Vipi taarifa za fedha zilijadiriwa this time? Make hili sijalisikia likisemwa.
 
Ni kwasababu hujawahi kumjua Kitila ndio maana unaamini uzushi huo.kitila ni level nyingine hata huyo Slaa haingii kabisa hapo.Huu uwongo wa siasa chafu utawashuka soon

Mwigulu hajawahi kukosa hata usingizi kwa sababu yake sasa sijui level nyingine ndio nini.Binafsi namshauri aendelee kufundisha siasa ni habari nyingine.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom