Wenye akili tumemuelewa.
Lengo ni wa kuwachafua Zito na Kitila.
Twahitaji kusikia upande wa pili wa stori hii, baada ya kusikia kutoka kambi ya kaskazini!
Ni kwasababu hujawahi kumjua Kitila ndio maana unaamini uzushi huo.kitila ni level nyingine hata huyo Slaa haingii kabisa hapo.Huu uwongo wa siasa chafu utawashuka soon
chadema inakufa kifo cha mende!
![]()
Mh. Mbowe anasema waraka wa siri za Zitto haukutengenezwa wala haukutoka Makao Makuu. Alikuwa akijibu swali la Mayage kuhusu zitakapopatikana fedha za kutekeleza mpango huo
Hili hapa nafikiri ni propaganda tena kama zile za Wakomunisti.
Hapa uongozi wote ulitakiwa kujiuzulu na kuitisha upya uchaguzi mara moja ili wanachama waamue wanatakanani awe kiongozi.
CHAMVIGANataka nijua zito anatumiwaje na Ccm?
CCM wangekua wanafanya maamuzi kama hayo Tanzania ingekua na tembo wengi mpaka wangetumika kubebea mzigo
Kila mtu alikua anajua chadema watakuja na story zile zile za waraka.
Zitto na kitila wameponzwa na misimamo yao ya kutaka maendeleo ndani ya chama hasa kuhusu matumizi ya ruzuku.
Zitto kaponzwa na uenyekiti+posho.
Zitto na kitila wameponzwa kwa kudai taarifa za fedha ndani ya chama.
Zitto na kitila wameponzwa na kutokuwa tayari kuburuzwa na baadhi ya viongozi wa chadema.
Vipi kuna radio au TV inayorusha LIVE?
Mbowe sasa una uhakika wa kutawala hata miaka 1000 ijayo mbele. Hakuna wa kukuuliza.
Wote wanaojaribu kuhoji piga chini.