bluetooth
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 4,401
- 2,560
wewe uwajui chadema walivyo wazushi. zitto na kitila waliomba kujiuzulu baada ya kuhusishwa kwenye mambo ya kijinga na chama kika kaa kimya alaf baadae ndio kika kanusha. zitto na kitila wasingeweza kuvumiliwa kwa kuwa wao hawako kumbembeleza mbowe au slaa. hivi ni vita vya posho, uvunjaji katiba na ruzuku.
Dr slaa endelea kutumbua sasa hakuna wa kukuuliza.
Godbless J Lema endelea kurushia watu matofali mpaka uhakikishe ambo hamwataki wameondoka.
Mbowe sasa una uhakika wa kutawala hata miaka 1000 ijayo mbele. Hakuna wa kukuuliza.
Wote wanaojaribu kuhoji piga chini.
Tundu Lissu anaanza kwa kusema kuwa Kamati Kuu imenasa waraka wa mkakati wa siri wa kukipasua Chama vipande vipande unaohusisha watu wanne ambao ni Zitto Kabwe, Dr. Kitila Mkumbo, Samson Mwigamba na mtu mwingine ambaye hajajulikana.
Mh. Mbowe anasema waraka wa siri za Zitto haukutengenezwa wala haukutoka Makao Makuu. Alikuwa akijibu swali la Mayage kuhusu zitakapopatikana fedha za kutekeleza mpango huo
Kadai taarifa Ya Ruzuku ya CCM ...Wewe unaona ya CHADEMA tu....kibudu wewe
Hivi kwa nini hii habari imewasikitisha sana CCM??
Kila mtu alikua anajua chadema watakuja na story zile zile za waraka.
Zitto na kitila wameponzwa na misimamo yao ya kutaka maendeleo ndani ya chama hasa kuhusu matumizi ya ruzuku.
Zitto kaponzwa na uenyekiti+posho.
Zitto na kitila wameponzwa kwa kudai taarifa za fedha ndani ya chama.
Zitto na kitila wameponzwa na kutokuwa tayari kuburuzwa na baadhi ya viongozi wa chadema.
wewe obama utaanza kufa wewe na majangiri wenzako wa lumumba,,,,,haya ni maamuzi sahihi na mazuri pamoja na kwamba yamefanyika kwa kuchelewa.
Yes HE DESERVES THAT POSITION CONGRATS ADVOCATE KIBATARA.
Safi kabisa CC mefanya jambo la maana kwa kutowaruhusu wajiuzulu kiholela.
Huwezi fanya kazi na mtu asiekuamini.
Kitila Mkumbo anahongwa laki mbili kama mfagizi wa ofisini kwangu! Ptuuuuu hata mm naweza mfanya house boy wangu nikamlipa laki nne.....iinaonekana huyu jamaa kusoma kote haikumsaidia kitu