Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Simuelewi Tundu Antipas mngway lissu. Anasema wamenasa taarifa za kutaka kukipasua chadema vipande, aseme ni taarif zipi, toe ushahidi ndio tutamuelewa...otherwise nybody cn sy that..

Ni sawa na chdem wkitaka kuaandmna polisi husema tumepokea taarifa za kiitilijensia..lakini hawaasemi wmezipataje, reliability ya taarifa zenyewe, pia source credibility.

Saasa chadema waanawategemea Yericko nyerere... Are this kids credible source of info or hawa si wpiga umbea, majungu??

Mkuu,
Anazungumzia ile taarifa iliyovuja. Ilikuwa inaandaliwa kwa tukio hili.
 
wewe uwajui chadema walivyo wazushi. zitto na kitila waliomba kujiuzulu baada ya kuhusishwa kwenye mambo ya kijinga na chama kika kaa kimya alaf baadae ndio kika kanusha. zitto na kitila wasingeweza kuvumiliwa kwa kuwa wao hawako kumbembeleza mbowe au slaa. hivi ni vita vya posho, uvunjaji katiba na ruzuku.

Dr slaa endelea kutumbua sasa hakuna wa kukuuliza.
Godbless J Lema endelea kurushia watu matofali mpaka uhakikishe ambo hamwataki wameondoka.

Ninapotafakali na kujiuliza lile swali langu la msingi "kwa nini wanaokwazika na uamuzi wa kamati kuu wengi ni wanachama wa ccm"?

badae tena napata jibu lisilo rasimi kuwa mtu aliekuwa amewapa uhakika wa kuimaliza chadema kaondolewa,sasa mda uliobakia wataweza pandikiza mtu mwingine tena?

maswali ni mengi ila maelezo ya wanaccm pamoja na utetezi wao yanamashaka zaidi kuliko mashauri
 
Last edited by a moderator:
Ina maana mkakati wa Wasira wa kuiua CHADEMA ndo umekwama tena. Duuh, sasa sijui kama ingetokea wanafanya uchaguzi mwingine angewaambia wamchague kuwa mjumbe wa mkutano mkuu ili afanye nini....!!!!

Ubashiri wake sasa umetimia hapa mlipo hamuwezi kusimama hata iweje.
 
cdm leo.jpg
Kikosi cha kutoa maamuzi hicho
 
Simuelewi Tundu Antipas mngway lissu. Anasema wamenasa taarifa za kutaka kukipasua chadema vipande, aseme ni taarif zipi, toe ushahidi ndio tutamuelewa...otherwise nybody cn sy that..

Ni sawa na chdem wkitaka kuaandmna polisi husema tumepokea taarifa za kiitilijensia..lakini hawaasemi wmezipataje, reliability ya taarifa zenyewe, pia source credibility.

Saasa chadema waanawategemea Yericko nyerere... Are this kids credible source of info or hawa si wpiga umbea, majungu??

Wote ni ndungu na watoto wa baba mmoja . Pepleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Semeni ukweli, Kilichowaponza Kitila na Zitto ni;

1. Elimu zao. Kitila na Zito ni kati ya wasomi wachache ndani ya chadema wanaojitambua. Waliokataa kuburuzwa na vihio- Mbowe na Slaa.

2. Makabila na kanda zao. Zitto na Kitila hawatoki na ile kanda ya wamiliki wa chama, na pia hawatoki ktk lile kabila la wamiliki wa chama.

3.

Why you're so desperate brother..
 
Kamati imemteua Lissu kuwa mwanasheria wa chama.......This is rubbish ............... na kumdanganya tu Lissu. Ina maana siku zote na makesi yote yale lissu anayoyasimamia kwenye chama hawajawahi kutambua kuwa ndiye mwanasheria wa chama? Loh

Pole sana mkuu...mbona una stress sana na unaonekana kuumia sana...si ufurahi kwamba CDM inakufa??? hahahahahahaha...Lumumba buku 7 wananchekeshaaaaaaaaaa......lol FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Kamati imemteua Lissu kuwa mwanasheria wa chama.......This is rubbish ............... na kumdanganya tu Lissu. Ina maana siku zote na makesi yote yale lissu anayoyasimamia kwenye chama hawajawahi kutambua kuwa ndiye mwanasheria wa chama? Loh

Mwanasheria wa chama alikuwa ni marando.
 
Kila mtu alikua anajua chadema watakuja na story zile zile za waraka.

Zitto na kitila wameponzwa na misimamo yao ya kutaka maendeleo ndani ya chama hasa kuhusu matumizi ya ruzuku.

Zitto kaponzwa na uenyekiti+posho.

Zitto na kitila wameponzwa kwa kudai taarifa za fedha ndani ya chama.

Zitto na kitila wameponzwa na kutokuwa tayari kuburuzwa na baadhi ya viongozi wa chadema.

Mkuu Ruttashobolwa mtani wangu kwa staili hii nadhani pressure imeshapanda hata kufikia 1000.

Mkuu hauna hata familia inayokutegemea walau ukaifikiria badala ya kufikiria mambo ambayo hayakuhusu?

Dkt Kitila na Zitto wao ndio walitakiwa pengine kuwa na jazba kiasi hiki lakini sasa wewe mpambe unakuwa na jazba kuliko wahusika sasa tukueleweje kamanda?

Relax mkuu maisha yenyewe haya yako wapi hadi kujiongezea BP zisizokuwa za lazima.
 
Last edited by a moderator:
Simuelewi Tundu Antipas mngway lissu. Anasema wamenasa taarifa za kutaka kukipasua chadema vipande, aseme ni taarif zipi, toe ushahidi ndio tutamuelewa...otherwise nybody cn sy that..

Ni sawa na chdem wkitaka kuaandmna polisi husema tumepokea taarifa za kiitilijensia..lakini hawaasemi wmezipataje, reliability ya taarifa zenyewe, pia source credibility.

Saasa chadema waanawategemea Yericko nyerere... Are this kids credible source of info or hawa si wpiga umbea, majungu??

Si umeshahama wewe? Mbona unakuwa kama mke wa Ruth, aliyegeuka nguzo ya chumvi?
 
Semeni ukweli, Kilichowaponza Kitila na Zitto ni;

1. Elimu zao. Kitila na Zito ni kati ya wasomi wachache ndani ya chadema wanaojitambua. Waliokataa kuburuzwa na vihio- Mbowe na Slaa.

2. Makabila na kanda zao. Zitto na Kitila hawatoki na ile kanda ya wamiliki wa chama, na pia hawatoki ktk lile kabila la wamiliki wa chama.

3.
Hizi ni kauli za wapumbavu walioishiwa hoja. Unataka kusema hao kitila na zito ndiyo wasomi peke yao walioko CDM? Huna habari kwamba kuna maprof wengi tu? Acheni ujinga wa kuhusisha usaliti na elimu na ukabila.
 
kila chama kina taratibu na kanuni zake kiuendeshaji,sina wa kumlaumu wala kunyoshea kidole kwa hiki kilichowatokea zito na dr kitila.

Chadema ni taasisi na sio kikundi cha watu fulani,unapoona speed yako iko low na huwezi kwenda sawa na wenzako kwa nini usisimamishe gari lako na kugeuza ukarudi ulikotoka? Ya nini uanze kuwatolea upepo wenzako kwenye matairi yao? Kwani wamekwambia kuwa safari imewashinda?

Ni vizuri kutojiona ww ni bora zaidi kuliko wengine.

"milizu mingi humpoteza mbwa"

na kuhakishia kuwa chadema ni kikundi cha watu na ndio maaana hawa walivyo tuhumiwa walikaa kimya kumbe wao ndio wali watuma.

Chadema waliogopa kuikubali hile report ya siri maana ilikuja vibaya na kumbe walikua wana andaa njia za kuwafukuza watu wanao hoji yafuatayo.

.matumizi ya ruzuku.
.uongozi ndani ya chama.
.kukopeshana ndani ya chama.
.kuvunjwa kwa katiba ya chama.
.chama kuendelea kupangisha ofisi wakati dr slaa alikopa ndani ya chama na akajenga.

Chama hichi cha kina lema na akina kilewo+joshua nassary.
 
Simuelewi Tundu Antipas mngway lissu. Anasema wamenasa taarifa za kutaka kukipasua chadema vipande, aseme ni taarif zipi, toe ushahidi ndio tutamuelewa...otherwise nybody cn sy that..

Ni sawa na chdem wkitaka kuaandmna polisi husema tumepokea taarifa za kiitilijensia..lakini hawaasemi wmezipataje, reliability ya taarifa zenyewe, pia source credibility.

Saasa chadema waanawategemea Yericko nyerere... Are this kids credible source of info or hawa si wpiga umbea, majungu??

Sixgates, kuna mahala wamesena wataweka hapa Waraka wanaou - refer kwa wewe na wengine kujiridhisha. Vema kuwa na Subira kama ulivyosubiri kujua hasa sababu iliyopelekea haya yote muda huu mpaka Sasa unavyoweza kuchangia
 
Simuelewi Tundu Antipas mngway lissu. Anasema wamenasa taarifa za kutaka kukipasua chadema vipande, aseme ni taarif zipi, toe ushahidi ndio tutamuelewa...otherwise nybody cn sy that..

Ni sawa na chdem wkitaka kuaandmna polisi husema tumepokea taarifa za kiitilijensia..lakini hawaasemi wmezipataje, reliability ya taarifa zenyewe, pia source credibility.

Saasa chadema waanawategemea Yericko nyerere... Are this kids credible source of info or hawa si wpiga umbea, majungu??

Subiri wewe waraka utasambazwa. Afu mbona kiherehere na chama kisichokuhusu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom