Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Watoe huo WARAKA kama wao sio waoga! UOGA ni dhambi, watupe wananchi tuone na pia tujue kuwa hawajaonewa.

Dr Kitila na Zitto ni watu wasomi wazuri kulinganisha na hao waliowafukuza.
 
Wewe ni Mkabila kama jina lako lilivyo. Angalia sababu sio utengeneze za kwako
Hapo unakosea..unapoingiza propaganda za kikabila...Tanzania yenye umoja haiwezi kujengwa kwa misingi ya propaganda zenu za Kikabila ama udini....maana huyo Rutta(ingawa na yeye kaumizwa na maamuzi ya Kamati kuu ya CDM) kwenye bandiko lake na hasa ulilonukuu ajasema habari za ukabila...Tafadhali usiendelee kutuvurugia Tanzania yetu.

Wewe jadili Live update ya Kurugenzi ya Habari Chadema.
 
Anasema hakuna taasis yoyote inayoweza kupuuza wala kuvumilia mambo haya yaliyopo kwenye waraka huo kwani umewatukana sana viongozi wa Chama chetu.

Anasema matusi hayo ni ya muda mrefu na viongozi wakuu wamekuwa wakiyavumilia kwa muda mrefu lakini yalivumiliwa kw a lengo la kuwapa nafasi wanamtandao hao kujirekebisha

Kuna vitu vitatu haviwez kujificha milele,lazima vitajidhihirisha tuh,

1.JUA,
2.MWEZI,
3.UKWELI,
HATA MKITUMIA HILA NA UZANDIKI MWSHO WA SIKU UKWELI UTAFAHAMIKA TUH....
 
Kamati imemteua Lissu kuwa mwanasheria wa chama.......This is rubbish ............... na kumdanganya tu Lissu. Ina maana siku zote na makesi yote yale lissu anayoyasimamia kwenye chama hawajawahi kutambua kuwa ndiye mwanasheria wa chama? Loh
bora wewe unisaidie kushangaa.chadema huu uongo wamepitiza.

KIFUPI KIKAO KILIKUWA KWAAJILI YA KUHAKISHA KITILA NA ZITTO HAWABAKI CHADEMA MAANA WAO HAWAKO TAYARIKUBURUZWA.

CHADEMA WANATAKIWA KUJUA KUWA WANACHAMA WAO WATAENDWLEA KUHOJI YAFUATAYO.

.MATUMIZI YA RUZUKU.
.KWANINI CHADEMA HAWANA OFISI
.KWANINI CHADEMA WANAVUNJA KATIBA YAO WENYEWE.

.KWANINI CHADEMA HAWANA OFISI ZA MIKOA.

.KWANINI PESA ZA KUMKOPESHA DR SLAA ZILIKUWEPO LAKINI ZA KUJENGA OFISI HADI SASA HAZIPO.
 
Watu vugu vugu kwenye chama ni marufuku. Tena mnawapa uongozi.. Kiongozi lazima apimwe kwanza!
 
na kuhakishia kuwa chadema ni kikundi cha watu na ndio maaana hawa walivyo tuhumiwa walikaa kimya kumbe wao ndio wali watuma.

Chadema waliogopa kuikubali hile report ya siri maana ilikuja vibaya na kumbe walikua wana andaa njia za kuwafukuza watu wanao hoji yafuatayo.

.matumizi ya ruzuku.
.uongozi ndani ya chama.
.kukopeshana ndani ya chama.
.kuvunjwa kwa katiba ya chama.
.chama kuendelea kupangisha ofisi wakati dr slaa alikopa ndani ya chama na akajenga.

Chama hichi cha kina lema na akina kilewo+joshua nassary.

Maneno ya mkosaji hayo,bs aje kwenu ahoji pembe za ndovu uone kama atasalimika,ictoshe mwigulu ni swahiba wake bs ampishe hyo nafasi ili zitto aendelee n shughuli zake.

swala la ukabila liko ccm na sio chadema,mimi sio mchaga ila cdm damu.

Mkuu mnakosea sana kihubiri ukabila ndani ya nchi iliyo na kabili zaidi ya 184
 
Huo wanaosema haukutoka Chadema ni ule uliovuma humu siku chache zilizopita,huu unaozungumzwa leo haukuwa umevuja humu ndio tunausikia leo mkuu.

naelewa
swali langu ni kwamba
kama waraka zote zilizowekwa humu bado zinatiliwa shaka,je huo waraka wanaosema ni wakuvunja chama vipande vipande wanauhakika gani kuwa unawahusu hao waliovuliwa nafasi zao?
 
Tetesi zinadokeza kwamba bedera za lumumba kupepea nusu mlingoti kwa siku 7 .
jf kuna watu wanamawazo
alafu ninalo jiuliza kama zitto ni mtu safi iweje watu waiponde chadema badala wafuraiye zitto kkuondoka na wao wafurai kumpokea ......lakin hapamambo ni tofauti kabisa
 
sasa kama waraka wa siri wa zitto haukutengezwa wala haukutoka makao makuu ,je nini kinawapa imani kuwa huo waraka wa siri wa kukivunja chama vipande vipande utakuwa unawahusu kina kitila mkumbo?
Ndio maana wamepewa siku 14 za kujitetea. Kwa sasa wao ni watuhumiwa tu.

Guilty until proven innocent.
 
Mkuu kwanini aumize roho yake huko CHADEMA? Hata kama amejenga yeye, awaachie wengine huo ndo uungwana kabisa.
Hawezi kujenga nyumba yake halafu uje mjelajela na kumdhulumu simply ngoja apiganie haki yake na ikishindikana aende anakopendwa.
 
Nilikuwa msomaji Tu tangu asubuhi,

LAKINI sina budi kusema kazi imetimia,

Jasho la watanzania haliwezi kuliwa na mjanja mmoja au wawili,

Ndoto ya UKOMBOZI haiwezi kuzimwa namamluki WA ccm,

Asante Jah kwa kipawa ulichonipa, asante Jah kwakujua hitaji la Watanzania milioni 45.5

Mkuu yeriko , MUNGU AKULINDE SANA KAMANDA .
 
Ni ukweli ulio wazi kwamba chama pekee kwa sasa nchini chenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu kwa mustakabali wa chama na Taifa ni chadema pekee. Hii inawezekana kutokana na ukweli kwamba viongozi wake hawana mawaa yatakayowafanya kushindwa kutekeleza maamuzi. Hakika dunia itatushangaa sana kama tutashindwa kuona huu ukweli na kuufanyia kazi wakati ukifika. Sina haja ya kueleza mengi bali tunajua ni jinsi gani ccm wameshindwa kwa kishindo kutosana pale baadhi wanapoharibu, wakijua kuwa kila mmoja wao ana maboriti yake. Watanzania tusiyumbishwe wala kutishwa na waoga wanaosena maamuzi ya cdm si sawa. Ni nguvu ya wananchi hii. Ni sauti ya umma. Ni hatua kuelekea machweo. Ni wengi wanaona haya ila wanachelea kuamini wakionacho na wakisikiacho. Aminini tu maana ndio ukweli wenyewe. Power to the People...!
 
DSC_7800.JPGDSC_7821.JPG
 
..,Tulia bwana mdogo waliofanya maamuzi wamechunguza wakajiridhisha kabisa wewe sisimizi na akili zako za kimagamba kaa pembeni wanaume waendeleze harakati za kuikomboa nchi yetu.

nakubaliana nawewe ktk hili
lakini ni vyema kuwa makini na hizi waraka,kwani leo zimekubalika na kutumika kufanya maamuzi,kesho zitawalenga wakuu wengine na zitaleta sintofahamu.
 
Idadi ya wajumbe wa kamati ni 32
Wajumbe waliohudhuria kikao ni 23

Waliokataa kuunga amba kupinga uamuzi wa kumfukuza zitto ni 4
waliopiga kura 19
waliounga mkono zzk atoke ni 10

Mathematically 10/32*100%= 31% ya wajumbe wote

Kweli kamati kuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom