Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Nilikuwa msomaji Tu tangu asubuhi,

LAKINI sina budi kusema kazi imetimia,

Jasho la watanzania haliwezi kuliwa na mjanja mmoja au wawili,

Ndoto ya UKOMBOZI haiwezi kuzimwa namamluki WA ccm,

Asante Jah kwa kipawa ulichonipa, asante Jah kwakujua hitaji la Watanzania milioni 45.5


Naona unafurahia kazi uliyoitumwa kumdhoofisha Zitto .

Hekaya zako zimeuzika.
 
Kurugenzi ya Habari:
Lissu anasema Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo waliomba kujiuzulu nyadhifa zao zote baada ya waraka wao kukamatwa lakini Kamati Kuu iliwakatilia baada ya kuona kuwa kukubaliana na maombi yao hayo ilikuwa ni kama kuwaacha wajiuzulu kwa heshima ambayo hawaistahili hata kidogo

mhuu!!!!!!
kichwa kinauma waungwana.!!
 
jf kuna watu wanamawazo
alafu ninalo jiuliza kama zitto ni mtu safi iweje watu waiponde chadema badala wafuraiye zitto kkuondoka na wao wafurai kumpokea ......lakin hapamambo ni tofauti kabisa

Mkuu...Zitto ni jembe anauzika popote CHAMVIGA.....huku CCM tunampenda na tunamhitaji...hatuna mtu mwenye uwezo kama wake
 
Last edited by a moderator:
Press release ndio imeisha? Mbona majanga sasa. Yaani haya yaliosemwa ndio kilichomsimamisha uongozi zito na kitila kupitia agent wa Mbowe mwigamba?
 
One thing is for sure.

CHADEMA wamejipunguzia imani ya kuongoza nchi.

Kama hivi hawajapewa nchi migogoro kibao, wakipewa nchi je?

Not that the incumbents are any better, but I expected to see something new in CHADEMA.

Instead tunaona yaleyale tu.
 
Kamati Kuu pia imeazimia kuusambaza waraka huo kwenye vyombo mbalimbali vya habari ili watanzania waone na kujua ukweli.

Lissu anamalizia kwa kuwaomba watanzania na Wanachama wote wa CHADEMA nchi nzima wasife moyo na waendelee kukijenga Chama na nchi yao.
Na chama kitakuwa imara zaidi kuliko matarajio ya wasaliti.

Come 2015, dola ileee.
 
Kamati imemteua Lissu kuwa mwanasheria wa chama.......This is rubbish ............... na kumdanganya tu Lissu. Ina maana siku zote na makesi yote yale lissu anayoyasimamia kwenye chama hawajawahi kutambua kuwa ndiye mwanasheria wa chama? Loh

Chama kimekuwa, na mambo yamekuwa mengi, hivyo wameona inafaa kuwa na mwanasheria (rasmi). Kule ADC mnafanyaje?
 
safi sana hayo ndo maamuzi tuliyokuwa tunayataka muda mrefu,,,,,,,,,,,,
 
jf kuna watu wanamawazo
alafu ninalo jiuliza kama zitto ni mtu safi iweje watu waiponde chadema badala wafuraiye zitto kkuondoka na wao wafurai kumpokea ......lakin hapamambo ni tofauti kabisa
Mimi sio mwanasiasa ila comment yako imenishtua kidogo! Kwanini Mwampamba na Shonza wapokelewe kwa mbwembwe na ccm lakini zitto mwenye ushawishi mkubwa hawataki kumpokea wanataka apiganie haki yake?
 
Simuelewi Tundu Antipas mngway lissu. Anasema wamenasa taarifa za kutaka kukipasua chadema vipande, aseme ni taarif zipi, toe ushahidi ndio tutamuelewa...otherwise nybody cn sy that..

Ni sawa na chdem wkitaka kuaandmna polisi husema tumepokea taarifa za kiitilijensia..lakini hawaasemi wmezipataje, reliability ya taarifa zenyewe, pia source credibility.

Saasa chadema waanawategemea Yericko nyerere... Are this kids credible source of info or hawa si wpiga umbea, majungu??

Wewe ni miongoni mwa form four failure wa mwaka huu?
 
naelewa
swali langu ni kwamba
kama waraka zote zilizowekwa humu bado zinatiliwa shaka,je huo waraka wanaosema ni wakuvunja chama vipande vipande wanauhakika gani kuwa unawahusu hao waliovuliwa nafasi zao?

Busara ni kusubiri uwekwe hapa then ndio tuujadili! lakini ukisoma maelezo yaliyowekwa hapa Kitila amekana kumjua M2 maana yake atakuwa amekiri M1 ni yeye na MM ni Zitto! Tuvute subira!
 
Ya huo waraka tunajua chadema wame utengeneza wenyewe hili kuhakisha zitto na kitila wana fukuzwa.

Chadema amuoni aibu?
Chadema hii dhambi itawatafuna sana.
 
Nilikuwa msomaji Tu tangu asubuhi,

LAKINI sina budi kusema kazi imetimia,

Jasho la watanzania haliwezi kuliwa na mjanja mmoja au wawili,

Ndoto ya UKOMBOZI haiwezi kuzimwa namamluki WA ccm,

Asante Jah kwa kipawa ulichonipa, asante Jah kwakujua hitaji la Watanzania milioni 45.5

Hatutaki wahuni, watu vuguvugu au wazabazabina na zito ni mmoja wao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom