masanjasb
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 2,364
- 869
Nilikuwa msomaji Tu tangu asubuhi,
LAKINI sina budi kusema kazi imetimia,
Jasho la watanzania haliwezi kuliwa na mjanja mmoja au wawili,
Ndoto ya UKOMBOZI haiwezi kuzimwa namamluki WA ccm,
Asante Jah kwa kipawa ulichonipa, asante Jah kwakujua hitaji la Watanzania milioni 45.5
Mkuu Yericko andiko lako lina siri ndani yake,linaonyesha ushiriki wako wa moja kwa moja katika kazi ya unasaji wa mkakati wa zitto? kama ilikuwa kwa nia njema goti langu litapigwa kwa ajiri yako ila kama si kwa nia njema,hukumu yako anayo mwenyezi Mungu.Amen