Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Natumaini baada ya muda mfupi ujao,watatangaza kujiunga ccm.Nawatakia kila la kheri.
Ninamsikitikia sana Wasira kila mpango wa kuisambaratisha Chadema anaopanga unafeli.
Ninaamini pia kwamba saa ya ukombozi imeshafika,mawimbi yaliyokuwa yanatokea katika safari ya ukombozi yamezimwa na bahari itakuwa shwari.
 
Jamani kwanini tunamtetea sana tunasahau kuna na wengine akina Kitila na Mwigamba? Kwani wewe Tume ya Katiba, kwanini tusimpokee Zitto atusaidie kukijenga CCM yetu?
Idadi ya wajumbe wa kamati ni 32
Wajumbe waliohudhuria kikao ni 23

Waliokataa kuunga amba kupinga uamuzi wa kumfukuza zitto ni 4
waliopiga kura 19
waliounga mkono zzk atoke ni 10

Mathematically 10/32*100%= 31% ya wajumbe wote

Kweli kamati kuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Slaa kakopa pesa za chama kajenga jumba la kifahari. Lakini ofisi imeshindikana kujenga!

hizo pesa alizokopa slaa kisharejesha zaidi ya %98 ya mkopo wake ila wanazi wa ccm bado kwenu ni issue?

swala la ofisi huwezi jua bila kutangaziwa ila chadema inajua inafanya nini na huwezi kuwapangi vya kufanya kama mlivyokuwa mkiipangia remote yenu!

Ukitaka kujua mikakati yote ya chama join us
 
Duuu, Kiranga, ulitegemea CHADEMA ichukue maamuzi ya kutangazia UMA kwamba chama hakina migogoro ili kukidhi vigezo vya kuchukua nchi?

Kama tumewezwa kuongozwa na ccm dhaifu namna hii, sioni ni nini kitaishinda CHADEMA.
Sangarara.....CDM ni chama makini na madhubuti.....Waambie leo CCM wamtimue hata Lowassa kama wataweza...misingi ya chama lazima izingatiwe
 
Last edited by a moderator:
Huwa sinywi bia lakini leo ngoja nikajenge Taifa kwa kunywa laga 5 baridiiiiiiiii ili nilale vizuri! Huyu Zitto msaliti alikuwa ananikera sana, alikuwa anapigia debe NSSF na PPF wachukue pesa zetu WATINGAJI kwa KUFUTA FAO LA KUJITOA! Alikuwa anavuta milungula ili asaliti watanzania kwa manufaa ya CCm! Aende sasa kama watampa hata chapaa, njia nyeupe kwake aende akaungane na A. Kabouru msaliti mwenzake!

"Chadema Chadema...Peoples Power, Tanzania Tanzania Peoples Power...!"

Huu wimbo leo ndo utachukua namba moja kwenye CD player yangu kwa muda wa siku 14!


Yani Mtingaji nakwambia nipo kwenye dose ya malaria lakini kwa habari hii nakwambia naungana nawe yani wee acha tu!
Angevuliwa na Ubunge kabisa hana adabu msaliti mkubwa huyo.
 
Last edited by a moderator:
Hapana mkuu;

CHADEMA wamejiongezea chance ya kupewa madaraka kwa sababu;

  • Wameweza kuchukua maamuzi sahihi kadri ya katiba kwa watu wanaokiuka misingi ya taasis....kitu kilichowashinda CCM
  • CHADEMA inapitia wakati mgumu wa kusambaratishwa ili isichukue dola,.....wasaliti wameshagunduliwa na kufukuzwa.
  • Sio kazi rahisi kuwaondoa watawala CCM waliopo madarakani...this was expected...lazima mhakikishe nyumba yenu iko safi kwanza.

KWANGU MIMI hii YAKO NDIYO POST BORA KABISA KWENYE UZI HUU .
 
hizo pesa alizokopa slaa kisharejesha zaidi ya %98 ya mkopo wake ila wanazi wa ccm bado kwenu ni issue?

swala la ofisi huwezi jua bila kutangaziwa ila chadema inajua inafanya nini na huwezi kuwapangi vya kufanya kama mlivyokuwa mkiipangia remote yenu!

Ukitaka kujua mikakati yote ya chama join us

Mkuu...hawa hawajui kuwa CHADEMA ni Chama makini....sasa tumeshamtoa kubwa la wasaliti.,...its almost done.......
 
CHAMVIGA Zitto wewe ni jembe...unakubalika popote...karibu CCM zitto.....Tunakupenda ...tunakuamini...CDM walikupenda lakini sisi tumekupenda zaidi

Kwakuwa hujui unachoshabikia sawa endelea. Siku ukisikia zito ccm utajuta sana.
 
Last edited by a moderator:
Kitila Mkumbo anahongwa laki mbili kama mfagizi wa ofisini kwangu! Ptuuuuu hata mm naweza mfanya house boy wangu nikamlipa laki nne.....iinaonekana huyu jamaa kusoma kote haikumsaidia kitu
rushwa haina mjanja mkuu rais alihongwa suti hukushangaa, mimi nikipewa hata rushwa ya msimbazi napokea
 
..,Tulia bwana mdogo waliofanya maamuzi wamechunguza wakajiridhisha kabisa wewe sisimizi na akili zako za kimagamba kaa pembeni wanaume waendeleze harakati za kuikomboa nchi yetu.

update zinachelewa na ndio maana tunauliza maswali ambayo yameshajibiwa ktk update
 
bora wewe unisaidie kushangaa.chadema huu uongo wamepitiza.

KIFUPI KIKAO KILIKUWA KWAAJILI YA KUHAKISHA KITILA NA ZITTO HAWABAKI CHADEMA MAANA WAO HAWAKO TAYARIKUBURUZWA.

CHADEMA WANATAKIWA KUJUA KUWA WANACHAMA WAO WATAENDWLEA KUHOJI YAFUATAYO.

.MATUMIZI YA RUZUKU.
.KWANINI CHADEMA HAWANA OFISI
.KWANINI CHADEMA WANAVUNJA KATIBA YAO WENYEWE.

.KWANINI CHADEMA HAWANA OFISI ZA MIKOA.

.KWANINI PESA ZA KUMKOPESHA DR SLAA ZILIKUWEPO LAKINI ZA KUJENGA OFISI HADI SASA HAZIPO.

Mbona unaongea kama M2????????? Husisahau kuwa unatafutwa.
 
Hili ni tamko lakini walishampiga Zitto chini muda mrefu.

Ni muda mrefu sasa Zitto hashirikishwi katika shughuli za chama. Hadhaminiwi kama naibu katibu mkuu.

.
 
KWANGU MIMI hii YAKO NDIYO POST BORA KABISA KWENYE UZI HUU .

Asante sana mkuu........leo kuna sherehe mitaa flani.....Naipenda sana CHADEMA.............Love u chadema...I LOVE U CHADEMA.....Loooooooohhhhhhhh.....CHADEMA
 
Vipi kuhusu pesa alizokopa sl kamati kuu imesemanaje?
 
Kwakuwa hujui unachoshabikia sawa endelea. Siku ukisikia zito ccm utajuta sana.

Mlimchukua Dr Kabourou na CHADEMA ikazidi kuimarika sembuse huyu?

1246.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom