Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
hahahahaha
na hao kumi watakuwa ni wale kundi la lema.

Hakuna mtu mwenye utimamu anaweza kukubaliana na huu uzushi wa chadema. Cha kushangaza zaidi sijaona sehemu ambapo walisema waliwapa nafasi ya kuwa sikiliza.

Cc
THE BIG SHOW, Mamndenyi, sixgates, CHAMVIGA.

Haah haaa nyie wehu sana.Zito mwenyewe kakubali mpaka kuomba ajiuzuru.Leo unataka nani mwingine.
 
Last edited by a moderator:
Hivi hizi story za waraka na report za siri mtaziacha lini chadema?
 
THE BIG SHOW mdini namba moja Tanzania,.......anapaswa kupigwa vita kali....huko aliko Tabata........wananchi walitambue hilo...mtwara JK ameshamshughulikia.........
 
Last edited by a moderator:
Zitto wewe ni jembe...unauzika popote...karibu sana CCM zitto.....Tunakuhitaji huku......hatuna watu wenye uwezo kama wa kwako
Hahahaaaa Ikulu imeandaa tafrija kubwa ya kukupokea Mh.Zitto,mgeni rasmi atakuwa Rais wa JMT akisindikizwa na Juliana Shonza,Mtela Mwampamba...
 
Kurugenzi ya habari ingetuwekea waraka moja kwa moja kwani naamini tayari inao. Hii habarii ya kusema utasambazwa kwenye vyombo vya habari inaleta mashaka. After all, vyombo vya habari vilikuwepo wakati haya maazimio ya kamati kuu yakitolewa kwa hiyo kusingekuwa na sababu ya kusema waraka utasambazwa kwenye vyombo vya habar. Vipi, lini, nk
 
hahahahaha
na hao kumi watakuwa ni wale kundi la lema.

Hakuna mtu mwenye utimamu anaweza kukubaliana na huu uzushi wa chadema. Cha kushangaza zaidi sijaona sehemu ambapo walisema waliwapa nafasi ya kuwa sikiliza.

Cc
THE BIG SHOW, Mamndenyi, sixgates, CHAMVIGA.

Kwa taarifa tu ni kwamba zito alifika katika kikao hicho usiku wa manane akitokea Sudan ila hawajampa nafasi yeyote ya kujitetea.
 
Last edited by a moderator:
Hivi hizi story za waraka na report za siri mtaziacha lini chadema?

Dogo tulia. Acha kiherehere kama unataka kutaga. Umeumia?

Nyie ccm mchukueni huyo zitto mkanywe nae chai na kupata ushauri wake. Naamini jamaa ni kichwa sana kama dovutwa wa updp
 
Huko kwenye ualimu sidhani kama wanataka usaliti na kukosa msimamo....kule ni uweledi mtupu. Ila akitaka kuwa credible kule lazima atubu dhambi zote alizozifanya kwenye siasa...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom