Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
idadi ya wajumbe wa kamati ni 32
wajumbe waliohudhuria kikao ni 23

waliokataa kuunga amba kupinga uamuzi wa kumfukuza zitto ni 4
waliopiga kura 19
waliounga mkono zzk atoke ni 10

mathematically 10/32*100%= 31% ya wajumbe wote

kweli kamati kuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
hahahahaha
na hao kumi watakuwa ni wale kundi la lema.

Hakuna mtu mwenye utimamu anaweza kukubaliana na huu uzushi wa chadema. Cha kushangaza zaidi sijaona sehemu ambapo walisema waliwapa nafasi ya kuwa sikiliza.

Cc
THE BIG SHOW, Mamndenyi, sixgates, CHAMVIGA.
 
Last edited by a moderator:
sisi hatujui ata kama kura imepigwa na watu wawili kwani kama kusoma ujui ata picha uioni? Zito must go and i wonder why its too late this element to be fired.

Mkuu kwa mujibu wa mwananchi kikao kilikua cha kukamiana na cha kimakundi.
Idadi sahihi ya wajumbe ni 32
waliohudhuria ni 23 tu.
inasemekana kuwa ni kura ndio iliyoamua, na kuna taarifa kwamba kati ya wajumbe 2-4 waliamua kuwa neutral (i mean kutokupiga kura)

so waliopiga kura walikuwa ni takriban watu 19
kati ya hao ni kiasi cha wajumbe 10 au 11 ndio waliounga mkono

ukichukua ha wajumbe 10 kati ya 32 wanakamati inamaana ni kama 31% ya wajumbe wote ndio waliofanya maamuzi haya ..............................
 
Mimi sio mwanasiasa ila comment yako imenishtua kidogo! Kwanini Mwampamba na Shonza wapokelewe kwa mbwembwe na ccm lakini zitto mwenye ushawishi mkubwa hawataki kumpokea wanataka apiganie haki yake?

Swali la msingi sana hili mkuu Jakubumba, tuwasubiri wanaccm watupatie majibu.
CHAMVIGA kwanini mnamshauri Zitto apiganie haki yake badala ya kumkaribisha Lumumba?
 
Last edited by a moderator:
Hili ni tamko lakini walishampiga Zitto chini muda mrefu.

Ni muda mrefu sasa Zitto hashirikishwi katika shughuli za chama. Hadhaminiwi kama naibu katibu mkuu.

.

Pole sana Mzee....Zitto alikua naibu katibu mkuu mwenye office zake Twitter na Facebook.........Dah...CCM mnatia huruma.....mbona mnasononeka hivo?
 
Last edited by a moderator:
Hawezi kujenga nyumba yake halafu uje mjelajela na kumdhulumu simply ngoja apiganie haki yake na ikishindikana aende anakopendwa.

James Mapalala ni Miongoni mwa waanzilishi wa CUF,Aliwahi kuwa mpaka Mwenyekiti wa Chama.Alipojisahau alipigwa Chini na CUF imesonga mbele mpaka sasa ni Mshirika wa Ikulu ya Zanzibar sembuse Zitto ambaye hajawahi kuwa hata Katibu Mkuu wa Chama.
 
idadi ya wajumbe wa kamati ni 32
wajumbe waliohudhuria kikao ni 23

waliokataa kuunga amba kupinga uamuzi wa kumfukuza zitto ni 4
waliopiga kura 19
waliounga mkono zzk atoke ni 10

mathematically 10/32*100%= 31% ya wajumbe wote

kweli kamati kuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
hahahahaha
na hao kumi watakuwa ni wale kundi la lema.

Hakuna mtu mwenye utimamu anaweza kukubaliana na huu uzushi wa chadema. Cha kushangaza zaidi sijaona sehemu ambapo walisema waliwapa nafasi ya kuwa sikiliza.

Cc
THE BIG SHOW, Mamndenyi, sixgates, CHAMVIGA.
 
Last edited by a moderator:
Waraka njoo tumuumbue huyu arap Sang wa Bongo.popo huyu hajulikani chama gani
THE BIG SHOW =TbS ~ Arap Sang wa Bongo....

Kweli kabisa matendo yake kama ya Arap Sang (Mwandishi na Mtangazaji wa Kenya aliyechochea mauji huko Kenya kwa kutumia redio iliyokuwa inatumia lugha ya Kikalenjini)

TbS wa kuogopwa kama ukoma kwenye maendeleo ya siasa za kistaarabu.
 
Last edited by a moderator:
Zitto alisema, “nimeingia katika siasa kwa bahati mbaya,” na kwamba kazi anayoipenda zaidi ni ualimu. Anajiandaa kwa kazi hiyo.
Alitoa kauli hiyo katika mahojiano aliyofanya na kituo cha televisheni cha TBC1 tarehe 4 Januari 2010.
 
kama zitto na dr kitila mkumbo waliomba kujiuzulu baada ya waraka huo kudakwa,that literaly means walikua wanahusika moja kwa moja kwenye waraka huo,and if thats the case wanastahili adhabu hawajaonewa kabisa.
 
Swali la msingi sana hili mkuu Jakubumba, tuwasubiri wanaccm watupatie majibu.
CHAMVIGA kwanini mnamshauri Zitto apiganie haki yake badala ya kumkaribisha Lumumba?


Mkuu Mwita Maranya Bwana CHAMVIGA ameshasema zitto ni jembe...anakubalika kote......na mimi kama mwana CCM mtiifu namkaribisha zitto huku CCM...Tunampenda na tunamwamini...Zitto for CCM Presidency 2015
 
Last edited by a moderator:
Hahaha....mimi sio kambi ya yeyote ila napenda kuona haki na demokrasia vinafuatwa kama vile tunavyohubiri.aliye nje anaweza kushabikia huu upepo unavyokwenda ila mwanachama yeyote wa chadema mwenye mapenzi mema na chama hiki na ambaye anakijua chama vizuri toka kilipotoka mpaka sasa hawezi kushabikia uozo unaoendelea maana atakuwa anayajua mengi sana.
Ila huu mchezo lazima tu tutafika mwisho siku si nyingi na ukweli utakuwa wazi
Bytheway mimi nipo sana tu hapa hapa ninapokuwaga siku zote.
heh!......wewe ni kambi ya kitila eeh?!

za masiku mama?
 
kumbe ndio maaaana mara sitaki posho mara nataka nistaafu siasa kumbe nikweli ameuza mechi timua mamluki huyo halafu kuna mtu anaitwa shibuda ana damu ya kijani kabisa kama vipi na yeye mnamuachaje?
 
waambie mbona walifukuzwa madiwani wa arusha hawakuongelea la ukabila, kwa vile walikuwa wachaga?

Mtu akikosa hoja matokeo yake hupuyanga puyanga(msemo wa john cheyo)tu bila kujua anachongea kina adhari gani kwenye jamii,acha wafu wazikane
 
Jiulize chanzo cha migogoro ni nini? Mimi siyo mwanaCDM, lakini migogoro inayotengezwa na chama au wanachama wa chama kingine siiafiki kabisa. Ni bora kuangalia nini kinahitajika kwa ajili ya kujenga chama.
Watanzania kila siku tunajenga vyama vya siasa sijui tutakumbuka lini kuijenga nchi yetu. CCM chama cha mwaka 1977 bado kinajengwa, tena na katibu mkuu ambae alikuwa ni kanali wa jeshi, Mungu wangu, watz akili zetu sijui tulilaaniwa na Mungu? Tunauchukia sana Ukweli, hatupendi kuelezwa ukweli, maslahi ya Chama mbele kuliko Taifa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom