Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Zitto wewe ni jembe...unauzika popote...karibu sana CCM zitto.....Tunakuhitaji huku......hatuna watu wenye uwezo kama wa kwako

KUMBE HII mimburula YA LUMUMBA INAYOKESHA HUMU JF HAINA KITU MPAKA MTAFUTE MAMLUKI ?
 
Huwa sinywi bia lakini leo ngoja nikajenge Taifa kwa kunywa laga 5 baridiiiiiiiii ili nilale vizuri! Huyu Zitto msaliti alikuwa ananikera sana, alikuwa anapigia debe NSSF na PPF wachukue pesa zetu WATINGAJI kwa KUFUTA FAO LA KUJITOA! Alikuwa anavuta milungula ili asaliti watanzania kwa manufaa ya CCm! Aende sasa kama watampa hata chapaa, njia nyeupe kwake aende akaungane na A. Kabouru msaliti mwenzake!

"Chadema Chadema...Peoples Power, Tanzania Tanzania Peoples Power...!"

Huu wimbo leo ndo utachukua namba moja kwenye CD player yangu kwa muda wa siku 14!
 
One thing is for sure.

CHADEMA wamejipunguzia imani ya kuongoza nchi.

Kama hivi hawajapewa nchi migogoro kibao, wakipewa nchi je?

Not that the incumbents are any better, but I expected to see something new in CHADEMA.

Instead tunaona yaleyale tu.

Jiulize chanzo cha migogoro ni nini? Mimi siyo mwanaCDM, lakini migogoro inayotengezwa na chama au wanachama wa chama kingine siiafiki kabisa. Ni bora kuangalia nini kinahitajika kwa ajili ya kujenga chama.
 
Maneno ya mkosaji hayo,bs aje kwenu ahoji pembe za ndovu uone kama atasalimika,ictoshe mwigulu ni swahiba wake bs ampishe hyo nafasi ili zitto aendelee n shughuli zake.

swala la ukabila liko ccm na sio chadema,mimi sio mchaga ila cdm damu.

Mkuu mnakosea sana kihubiri ukabila ndani ya nchi iliyo na kabili zaidi ya 184

waambie mbona walifukuzwa madiwani wa arusha hawakuongelea la ukabila, kwa vile walikuwa wachaga?
 
Mimi sio mwanasiasa ila comment yako imenishtua kidogo! Kwanini Mwampamba na Shonza wapokelewe kwa mbwembwe na ccm lakini zitto mwenye ushawishi mkubwa hawataki kumpokea wanataka apiganie haki yake?

CCM wanajua Zito ni mtu muhimu kwao akiwa CDM lakini akiwa nje ni boya tu
 
Zitto wewe ni jembe...unauzika popote...karibu sana CCM zitto.....Tunakuhitaji huku......hatuna watu wenye uwezo kama wa kwako

Tutahakikisha wanafiki na mamluki wote hawasalimiki kwenye chama chetu!Zitto ana uwezo gani zaidi ya unafiki na undumilakuwili!?
 
Hivi ile trailer ya Lema, ilikuwa ilisaidia au imeharibu uamuzi huu wa leo? Naona kama kwa move ya Lema , ZZK amepata uwanja mpana sana wa ku-justify ukabaila na ukandamizaji ndani ya CHADEMA. kama hili swala la kufukuzwa lilijulikana, Lema asingesubiri uamuzi utoke ili kutilia uzito hoja?
 
Sijui unazungumzia nchi ya wapi hio, Tanzania haiwezi kuongozwa na chama ambacho hakina hata makao makuu! Kitakufa kifo cha paka!
Pole sana unajidanganya......Uongozi sio majengo...uongozi ni fikra na vision sahihi...pole sana
 
Naona leo mashabiki w dkt slaa watashinda baa kula kitimoto na bia
 
One thing is for sure.

CHADEMA wamejipunguzia imani ya kuongoza nchi.

Kama hivi hawajapewa nchi migogoro kibao, wakipewa nchi je?

Not that the incumbents are any better, but I expected to see something new in CHADEMA.

Instead tunaona yaleyale tu.

Mkuu kwa mujibu wa mwananchi kikao kilikua cha kukamiana na cha kimakundi.
Idadi sahihi ya wajumbe ni 32
waliohudhuria ni 23 tu.

chanzo kingine cha habari kinadokea kuwa................
Inasemekana kuwa ni kura ndio iliyoamua, na kuna taarifa kwamba kati ya wajumbe 2-4 waliamua kuwa neutral (i mean kutokupiga kura)

so waliopiga kura walikuwa ni takriban watu 19
kati ya hao ni kiasi cha wajumbe 10 au 11 ndio waliounga mkono

ukichukua ha wajumbe 10 kati ya 32 wanakamati inamaana ni kama 31% ya wajumbe wote ndio waliofanya maamuzi haya ..............................
 
Ni ukweli ulio wazi kwamba chama pekee kwa sasa nchini chenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu kwa mustakabali wa chama na Taifa ni chadema pekee. Hii inawezekana kutokana na ukweli kwamba viongozi wake hawana mawaa yatakayowafanya kushindwa kutekeleza maamuzi. Hakika dunia itatushangaa sana kama tutashindwa kuona huu ukweli na kuufanyia kazi wakati ukifika. Sina haja ya kueleza mengi bali tunajua ni jinsi gani ccm wameshindwa kwa kishindo kutosana pale baadhi wanapoharibu, wakijua kuwa kila mmoja wao ana maboriti yake. Watanzania tusiyumbishwe wala kutishwa na waoga wanaosena maamuzi ya cdm si sawa. Ni nguvu ya wananchi hii. Ni sauti ya umma. Ni hatua kuelekea machweo. Ni wengi wanaona haya ila wanachelea kuamini wakionacho na wakisikiacho. Aminini tu maana ndio ukweli wenyewe. Power to the People...!

Chadema hongereni kwa kufanya maamuzi magumu,heshima kwenu wote viongozi wangu,nafurahi kusikia kuwa watuhumiwa wamekiri kuhusika na huo mpango kiasi cha kufikia hatua ya kuomba msamaha.
 
Mkuu Ruttashobolwa hamna dhambi mbaya duniani kama unafiki na uoga tunaamini kuwa ''IT IS ONLY TRUETH WILL SET US FREE. Ngoja wanafki waondoke.

Ya huo waraka tunajua chadema wame utengeneza wenyewe hili kuhakisha zitto na kitila wana fukuzwa.

Chadema amuoni aibu?
Chadema hii dhambi itawatafuna sana.
 
Last edited by a moderator:
One thing is for sure.

CHADEMA wamejipunguzia imani ya kuongoza nchi.

Kama hivi hawajapewa nchi migogoro kibao, wakipewa nchi je?

Not that the incumbents are any better, but I expected to see something new in CHADEMA.

Instead tunaona yaleyale tu.
Duuu, Kiranga, ulitegemea CHADEMA ichukue maamuzi ya kutangazia UMA kwamba chama hakina migogoro ili kukidhi vigezo vya kuchukua nchi?

Kama tumewezwa kuongozwa na ccm dhaifu namna hii, sioni ni nini kitaishinda CHADEMA.
 
Hivi ile trailer ya Lema, ilikuwa ilisaidia au imeharibu uamuzi huu wa leo? Naona kama kwa move ya Lema , ZZK amepata uwanja mpana sana wa ku-justify ukabaila na ukandamizaji ndani ya CHADEMA. kama hili swala la kufukuzwa lilijulikana, Lema asingesubiri uamuzi utoke ili kutilia uzito hoja?

Hakuna kitu kinajulikana kabla...CDM inaamini katika maamuzi ya vikao...wewe unaweza kujua kikao kitaamua nini..acha upoyoyo
 
Kila mtu alikua anajua chadema watakuja na story zile zile za waraka.


Zitto na kitila wameponzwa na misimamo yao ya kutaka maendeleo ndani ya chama hasa kuhusu matumizi ya ruzuku.


Zitto kaponzwa na uenyekiti+posho.

Zitto na kitila wameponzwa kwa kudai taarifa za fedha ndani ya chama.

Zitto na kitila wameponzwa na kutokuwa tayari kuburuzwa na baadhi ya viongozi wa chadema.

kwa zzk sioni kama kuna kuonewa. N. Katibu mkuu Asie kaa hata vikao halali vya chama hafai.

Ila nimesikitishwa na dr. Mkumbo kuhusika kama kweli. Kama kashiriki usaliti huu ni fedheha sana kwa wasomi wetu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom