Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,234
Kurugenzi ya habari ingetuwekea waraka moja kwa moja kwani naamini tayari inao. Hii habarii ya kusema utasambazwa kwenye vyombo vya habari inaleta mashaka. After all, vyombo vya habari vilikuwepo wakati haya maazimio ya kamati kuu yakitolewa kwa hiyo kusingekuwa na sababu ya kusema waraka utasambazwa kwenye vyombo vya habar. Vipi, lini, nk
Vyombo vya habari waliokuwa kwenye press conference wamepewa...wewe shida yako nini? uwe na subira bhanaaaa...alaaaaaa