Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Semeni ukweli, Kilichowaponza Kitila na Zitto ni;

1. Elimu zao. Kitila na Zito ni kati ya wasomi wachache ndani ya chadema wanaojitambua. Waliokataa kuburuzwa na vihio- Mbowe na Slaa.

2. Makabila na kanda zao. Zitto na Kitila hawatoki na ile kanda ya wamiliki wa chama, na pia hawatoki ktk lile kabila la wamiliki wa chama.

3.

Siku ya kufa nyani miti yote huteleza.
 
mpk hapo nasri hujaona ni msaliti tuuh !! mpk akaomba mwnyewe ajiudhuru yaani
 
kwa kujenga chama imara wakati mwingine maamuzi magumu yanahitajika
 
Watanzania kila siku tunajenga vyama vya siasa sijui tutakumbuka lini kuijenga nchi yetu. CCM chama cha mwaka 1977 bado kinajengwa, tena na katibu mkuu ambae alikuwa ni kanali wa jeshi, Mungu wangu, watz akili zetu sijui tulilaaniwa na Mungu? Tunauchukia sana Ukweli, hatupendi kuelezwa ukweli, maslahi ya Chama mbele kuliko Taifa.

Siasa ni chama, chama kinajengwa kisha chama chenye serikali kinajenga nchi kwa kuwezesha utawala bora, uchumi mzuri, afya bora, ajira, elimu, miundo mbinu bora na mengine mengi. Kwa hiyo, kujenga chama ni sehemu ya kujenga nchi.
 
Hivi kwa nini hii habari imewasikitisha sana CCM??

CCM wamesikitika sana kwa sababu Zitto et al ndie alikuwa nguzo na risasi yao moja tu waliyokuwa wamebakiza ili kuibomoa CDM, sasa banda limebomoka kabla ya 2015 unafikiri CCM watafurahia hilo? angalia hapa jinsi wanavyotoa mapovu hao CCM na wapambe wake ndani ya CDM, nafikiri ni muhimu pia kuwashughulikia wapambe wote aliowaacha ndani ya chama ambao ni wengi kuliko tunavyowafikiria...kule chini ya chama cha CDM kuna movements za ajabu ajabu sana kama kukuta vijana ni rafiki wa Zitto halafu hao hao utawakuta wanakaa mara kwa mara vikao na watu wa TISS

TUNAOMBA NG'OENI MPAKA VISIKI VYOTE VIISHE NDANI YA CDM​
 
Maamuzi magumu hufanywa na vyama legelege, vyama imara vyenye nia thabiti ya kuikomboa nchi hii maamuzi ya kuwawajibisha viongozi wanafiki na walafi ni maamuzi ya kawaida kabisa. Hongera saana CHADEMA.
 
Mkuu ni bora usimjibu mtu kuliko kuandika utumbo kama huu, ninyi ndo mnakiharibu chama kwa matusi na kuwafanya wanachama wenu waonekane wehu. Ukikaa kimya kama huna hoja ni welevu pia.
utakuwa na mimba ama ya Lema, kileo au Nasary..
 
kwa taarifa tuu zitto na kitila waliomba kujiuzulu baada ya kuona chama kiko kimya baada ya hule uzushi na baadae chama kika kanusha kumbe walishajipanga kuhakikisha ZITO NA KITILA WANAONDOKA.

HIVI NI NANI ATAVUMILIA KUONA HELA YA KUMKOPESHA DR SLAA HIPO LAKINI YA KUJENGA OFISI ZA CHAMA HAIPO?

NI NANI ATAVUMILIA KUONA Godbless J Lema ANA WARUSHIA WATU MATOFARI?

NI NANI ATAVUMILIA KUONA KATIBA YA CHAMA INA KIUKWA NA VIONGOZI?

NI NANI ATAVUMILIA KUONA RUZUKU ZA WANANCHI ZINATUMIWA NDIVYO SIVYO.

Duh... wewe leo lazima uugue mkuu , angalia usijepata presha..
 
Last edited by a moderator:
Haah haaa nyie wehu sana.Zito mwenyewe kakubali mpaka kuomba ajiuzuru.Leo unataka nani mwingine.

kwa taarifa tuu zitto na kitila waliomba kujiuzulu baada ya kuona chama kiko kimya baada ya hule uzushi na baadae chama kika kanusha kumbe walishajipanga kuhakikisha ZITO NA KITILA WANAONDOKA.

HIVI NI NANI ATAVUMILIA KUONA HELA YA KUMKOPESHA DR SLAA HIPO LAKINI YA KUJENGA OFISI ZA CHAMA HAIPO?

NI NANI ATAVUMILIA KUONA Godbless J Lema ANA WARUSHIA WATU MATOFARI?

NI NANI ATAVUMILIA KUONA KATIBA YA CHAMA INA KIUKWA NA VIONGOZI?

NI NANI ATAVUMILIA KUONA RUZUKU ZA WANANCHI ZINATUMIWA NDIVYO SIVYO.
 
Last edited by a moderator:
kwa taarifa tuu zitto na kitila waliomba kujiuzulu baada ya kuona chama kiko kimya baada ya hule uzushi na baadae chama kika kanusha kumbe walishajipanga kuhakikisha ZITO NA KITILA WANAONDOKA.

HIVI NI NANI ATAVUMILIA KUONA HELA YA KUMKOPESHA DR SLAA HIPO LAKINI YA KUJENGA OFISI ZA CHAMA HAIPO?

NI NANI ATAVUMILIA KUONA Godbless J Lema ANA WARUSHIA WATU MATOFARI?

NI NANI ATAVUMILIA KUONA KATIBA YA CHAMA INA KIUKWA NA VIONGOZI?

NI NANI ATAVUMILIA KUONA RUZUKU ZA WANANCHI ZINATUMIWA NDIVYO SIVYO.

Duh... wewe leo lazima uugue mkuu , angalia usijepata stroke...
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu wanna JF nimefurahishwa sana na maamuzi MAGUMU Chadema walio ya chukua big up ushindi uko pale pale,zito na wenzake waende ccm ndiko kunawafaa

Wacha we ha ha haa kazi kweli kweli napita tu.
 
ukiwa pamoja na zitto lazima akili iwehuke

Naipongeza kamati kuu kwa maamuzi ya busara ambayo yalichelewa sana. Hata hivyo mwingereza alisema better late than never. Ndugu Zitto alilewa ulimbukeni akafikia kujiaminisha ama kudanganywa (na ma-CCM) kwamba uhai wa CHADEMA ni yeye, akitoka na chama kinakufa!
Kuhusu Dkt Mkumbo, kwa hadithi ambazo tumezisikia kutoka kwa waliosoma naye chuo kikuu kwamba ni ndumila kuwili haishangazi kusikia ni mshiriki katika skendeli hii.
 
Wale inaowauma waende ccm uko walikoshindwa kuvuana magamba,CDM hatuangalii MTU,chama kwanza.
PEOPLE OOOO!
 
KNCU wanapambana kutetea uozo wao. hizi nyaraka za siri KNCU sasa mmezidi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom