Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
kwa taarifa tuu zitto na kitila waliomba kujiuzulu baada ya kuona chama kiko kimya baada yat hule uzushi na baadae chama kika kanusha kumbe walishajipanga kuhakikisha ZITO NA KITILA WANAONDOKA.

HIVI NI NANI ATAVUMILIA KUONA HELA YA KUMKOPESHA DR SLAA HIPO LAKINI YA KUJENGA OFISI ZA CHAMA HAIPO?

NI NANI ATAVUMILIA KUONA Godbless J Lema ANA WARUSHIA WATU MATOFARI?

NI NANI ATAVUMILIA KUONA KATIBA YA CHAMA INA KIUKWA NA VIONGOZI?

NI NANI ATAVUMILIA KUONA RUZUKU ZA WANANCHI ZINATUMIWA NDIVYO SIVYO.

Wewe shika adabu yako.usinifanye mi mtoto.sawa M2
 
Last edited by a moderator:
Da ukweli ni kwamba CDM mlichelewa sana kumchukulia hatua, mtu msaliti hatakiwi hata kwenye ndoa. Ilikuwa kheri akachezea kipondo cha grade O.
 
Tutumie hatua picha tuone wanavyoshangilia na kuchoma kadi,au cm yao ya tochi.
 
Hapo najua Mwigulu anachekelea kuwa hatakuwa na upinzani jimboni kwake.....huo mkenuo ni wa muda tu kaka. Chadema Singida si Kitila Mkumbo pekee yake, wapenda mabadiliko wapo wengi wanakuja.
 
Lini utawekwa huo waraka hadharani? Ila nawapongeza kwa maamuzi madhuri
 
Hivi hii intelijensia ya chadema ambayo imeshindwa kumgundua huyo wa nne imewezaje kuwa gundua wakina kitila,zitto na mwigamba?


Tundulisu anasema wameigiza sijui wameunda kamati ya kuchunguza na kugundua huyo wa nne. Ina maana hawakufanya uchunguzi toka mwanzo hila wameamua kukurupuka na kuwa husisha wakina kitila,zitto na mwigamba?

Ni wakina nani walio wabaini wao watatu na wakashindwa huyo mmoja?

Ni wazi zitto, mwigamba,kitila walipangiwa toka muda.
Hii dhambi ita watesa chadema.

Huyo wa nne wameweka reserve tu ili siku wakitaka kumfukuza Msigwa au Lissu wasikose sababu.
 
Toka tumenunua tv inayoonyesha black and white,majirani zetu hawakuwa na nongwa ila tulipo nunua flat creen coloured remote control yetu ilipotea,kuna mda tukiwa tumekaa sebuleni tunashangaa channel zinajibadilisha tu bila mpangilio mara channel 5mara channel10 mara nyingine Itv,ilifikia mda mzazi wetu akapanic sana,tulimshauri kununua remote malaya alikataa kata kata.

Hatimaye leo mwizi wa remote kajulikana kumbe ni jarani yetu mtani(mzee wa busara)kumbe tv yetu ilikuwa inaendeshwa toka nje ya nyumba na sasa remote imepatikana japo imechakaa na betry zake zimepondwa pondwa hovyo ili ziwe na nguvu bila mafanikio,kumbe alikuwa akiitumia remote ile kupitia dirishani kwake yani madirisha yetu yamepakana uso kwa uso,jirani amekuwa akitubadilishia channel hovyo hovyo kila wakati ngoja tuone baba kama ataitumia ama ataetelekeza mazima,tushukuru tu mwizi kajulikana na tahadhali tushachukua.


"Mwenye macho aambiwa tazama"
 
Hivi hii intelijensia ya chadema ambayo imeshindwa kumgundua huyo wa nne imewezaje kuwa gundua wakina kitila,zitto na mwigamba?


Tundulisu anasema wameigiza sijui wameunda kamati ya kuchunguza na kugundua huyo wa nne. Ina maana hawakufanya uchunguzi toka mwanzo hila wameamua kukurupuka na kuwa husisha wakina kitila,zitto na mwigamba?

Ni wakina nani walio wabaini wao watatu na wakashindwa huyo mmoja?

Ni wazi zitto, mwigamba,kitila walipangiwa toka muda.
Hii dhambi ita watesa chadema.

Pole sana mkuu...Kitila ,Zitto na Mwigamba wote wamekiri kuhusika...sasa wewe sijui unamtetea nani>? pole sana Gamba
 
Semeni ukweli, Kilichowaponza Kitila na Zitto ni;

1. Elimu zao. Kitila na Zito ni kati ya wasomi wachache ndani ya chadema wanaojitambua. Waliokataa kuburuzwa na vihio- Mbowe na Slaa.

2. Makabila na kanda zao. Zitto na Kitila hawatoki na ile kanda ya wamiliki wa chama, na pia hawatoki ktk lile kabila la wamiliki wa chama.

3.

Think out of the box if you can.
 
hawa ma MM wanafanana na wale waliokua wakifanya biashara kwenye nyumba ya ibada Yesu akapindua meza na kusafisha hekalu, Hongera kamati kuu kwa kusafisha uozo huu.
 
Ngoja niikaribishe wikiendi yangu kwa kulala mapemaaa hapa naona majungu yasio na kichwa wala miguu.
 
Huyo wa nne wameweka reserve tu ili siku wakitaka kumfukuza Msigwa au Lissu wasikose sababu.

Hhahahaah...Lumumba leo ch.u.p.i zinawabana sanaaaaaaa.....lakini nashangaa ..why hili linawauma hivo? mlitakiwa mfurahi kwa sababu CDM inaparanganyika......
 
acheni uongo si mseme mmetumia hule waraka wa report ya siri. na cha kushangaza zaidi hakuna aliye sikilizwa na tunaomba kujua huo waraka una husiana na nini? semeni kweli ndio hule waraka ulio wekwa humu.

Weka ukweli wako wewe.
 
Na kwa nini maamuzi mazito kama haya yafanyike bila uchunguzi kukamilika?

Timing ya kuchukua hatua! lakini pia kwa hao waliobainika uchunguzi wao umekamilika.Pia inawezekana huyo M2 ni kama alivyokuwa Ben Saanane!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom