Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Haah haaa nyie wehu sana.Zito mwenyewe kakubali mpaka kuomba ajiuzuru.Leo unataka nani mwingine.

kwa taarifa tuu zitto na kitila waliomba kujiuzulu baada ya kuona chama kiko kimya baada ya hule uzushi na baadae chama kika kanusha kumbe walishajipanga kuhakikisha ZITO NA KITILA WANAONDOKA.

HIVI NI NANI ATAVUMILIA KUONA HELA YA KUMKOPESHA DR SLAA HIPO LAKINI YA KUJENGA OFISI ZA CHAMA HAIPO?

NI NANI ATAVUMILIA KUONA Godbless J Lema ANA WARUSHIA WATU MATOFARI?

NI NANI ATAVUMILIA KUONA KATIBA YA CHAMA INA KIUKWA NA VIONGOZI?

NI NANI ATAVUMILIA KUONA RUZUKU ZA WANANCHI ZINATUMIWA NDIVYO SIVYO.
 
Last edited by a moderator:
Malengo ya Lema div 5 hayawezi kutimia huu ni mwanzo wa mchezo tu na karata ndo zinalambwa ila mwisho wa siku lazima Zitto amalize akiwa mshindi.Ukweli utakuwa wazi tu na hata wafanyeje Zitto amewazidi akili sana tu na kwenye changamoto hii atapita kama alivyop[ita zote zilizomtangulia
Naona malengo ya Lema yametimia.
 
One thing is for sure.

CHADEMA wamejipunguzia imani ya kuongoza nchi.

Kama hivi hawajapewa nchi migogoro kibao, wakipewa nchi je?

Not that the incumbents are any better, but I expected to see something new in CHADEMA.

Instead tunaona yaleyale tu.

hii ni kwako wewe na maoni yako nayaheshimu mkuu,lakini mie kwangu heshima yao imeongezeka.Tusisahau kuwa haya ni mashambulizi toka nje ya chama ambayo hawa akina Zitto walitakiwa kuyashinda kwa kukataa kununuliwa lakini wakaingia mtegoni.kwa hiyo tatizo ni lile lile kansa ya CCM na sasa wanataka na vyama vingine kuwa kama wao that's why wamecorrupt hao jamaa.CHADEMA haikuwaonea haya imewatimua na hili ni onyo kwa wasaliti wote ndani ya chama hawatavumiliwa.Ni kawaida kwa msafara wa mamba kuwa na kenge cha msingi ni kumtimua kenge mkishamjua.Ukitaka chama chenye "watakatifu" kaishi mbinguni mkuu.Mungu mwenyewe ni victim wa uasi wa viumbe wake sembuse chama kinachoongozwa na wanadamu?Cha msingi ni zile hatua zinazochukuliwa kurekebisha makosa yanayotokea na CHADEMA wame-react perfectly!wamenipa imani sana.Congrats CHADEMA!
 
Kurugenzi ya habari ingetuwekea waraka moja kwa moja kwani naamini tayari inao. Hii habarii ya kusema utasambazwa kwenye vyombo vya habari inaleta mashaka. After all, vyombo vya habari vilikuwepo wakati haya maazimio ya kamati kuu yakitolewa kwa hiyo kusingekuwa na sababu ya kusema waraka utasambazwa kwenye vyombo vya habar. Vipi, lini, nk
Ni kweli Mkuu kila kitu kiwekwe, Mchuzi hulkwa ungali moto!
 
Vyombo vya habari waliokuwa kwenye press conference wamepewa...wewe shida yako nini? uwe na subira bhanaaaa...alaaaaaa
Asante kwa kunitakia subira. Ila Kwa nini kurugenzi ya habari haikuuweka moja kwa moja?
 
Mimi sio mwanasiasa ila comment yako imenishtua kidogo! Kwanini Mwampamba na Shonza wapokelewe kwa mbwembwe na ccm lakini zitto mwenye ushawishi mkubwa hawataki kumpokea wanataka apiganie haki yake?
Katumwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
 
na kuhakishia kuwa chadema ni kikundi cha watu na ndio maaana hawa walivyo tuhumiwa walikaa kimya kumbe wao ndio wali watuma.

Chadema waliogopa kuikubali hile report ya siri maana ilikuja vibaya na kumbe walikua wana andaa njia za kuwafukuza watu wanao hoji yafuatayo.

.matumizi ya ruzuku.
.uongozi ndani ya chama.
.kukopeshana ndani ya chama.
.kuvunjwa kwa katiba ya chama.
.chama kuendelea kupangisha ofisi wakati dr slaa alikopa ndani ya chama na akajenga.

Chama hichi cha kina lema na akina kilewo+joshua nassary.

utakuwa na mimba ama ya Lema, kileo au Nasary..
 
sijakaa kusubili mapinduz ila ambao tunawatanguliza na kuwapa saport wanatugeuka ndo maana nimesema hvyo sato ahhaaa samahani Sangara!! Usibishe tuuh ila angalia na fikiria huyu mtu anamaanisha nini !!
 
nasubiria hatua za kinidhamu alizochukuliwa GODBLESS Lema mana juu ya aliyofanya kwenye vyombo vya habari kama hakuna basi kweli hiki chama ni cha kanda
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom