figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
haya twende sasa..
Umeshataka asbh au bado kidogowewe ndo bangi .......silly
Furaha yenu ni kuona CHADEMA inakufa, mmeshindwa kabisa kumdhibiti MBOWE asifanye chama kuwa mali yake badala yake mnaendelea kutumika tu, kamati kuu gani mlio na imani nayo? MBOWE, SLAA na LISSU ndo kamati kuu?
KNCU Mnajifanya mmewasimamisha akina KITILA kana kwamba ni wasaliti kumbe sababu ni itikadi za kidini na ukabila unaoitafuna CHADEMA.
Vijana Mbeya tunaandaa maandamano ya kuunga mkono maamuzi ya kamati kuu, CDM ndo mkombozi wetu sisi vijana hatutakubali kife kwa tamaa za watu wachache kama zitto
Dada mkumbusha kamanda Zito ile kesi ya kuwashitaki kwa kishindo waliotoa waraka wa siri imeishia wapi jamani? Bado tunaisubiri. Msisitizieni lazima tuwatie adabu hawa jamaa au unaonaje dada?Uzi kama gazeti ndani hamna kitu. Habari zitapatikana hata bila huyo uliyemtaja.
Acha kutusemea wewe umekuwa msemaji wetu hayo ni mawazo yako
Wakuu JF Amani iwe nanyi.
Nipende ku sema tu kwa kifupi kuwa Maamuzi ya kamati kuu kuwavua Madaraka yote akina MM and team ni ushindi tosha na ni kilio Magambani.
Ushahidi wa hili ni utitiri wa wana Magamba ambao kimsingi walikuwa wananufaika sana na nafasi ya MM ndani ya chama kuja hapa JF na kwenye media nyingine kumtetea MM and Team
Ni vigumu sana kwa MM na team yake kwa sasa kutetekeleza mipango yao michafu dhidi ya CHADEMA wakiwa bench.
Tuwapuuze wale wana Magamba wote wanaokuja na hoja za kumtukuza MM.
Kama kwao ni hero basi na wamsajili kwenye team yao sisi hatumtaki.
Yaani wanavyofanya ni sawa na Waislam kushinikiza kuwachagulia wakatoliki Papa.
CHADEMA ni mpango wa Mungu.
CHADEMA ni kama Bahari...haikai na uchafu hata siku moja.