Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Walid Aman Kabourou alikuwa makamu mwenyekiti wa Chadema na siyo Nccr. Mada yako irudie au ifutwe, haistahihili kuchangiwa!!!!

Nafikiri ujumbe imefika na umegundua ujumbe ilikuwa na nn. Asante kwa kuisoma
 
Atakayempinga Mbowe na wala ruzuku ndie atakuwa mtuhumiwa ambaye hajajulikana.
 
Kawaida ya taasisi au umoja inatakiwa isiwe milki ya mtu mmoja au kiongozi mmoja kutoka ktk safu ikajenga hofu ya maendeleo ni maajabu!
Sioni sababu ya watu kushadidia kuwa chama kimemeguka, ni maamuzi mazuri tunayapongeza kwa uongozi wa Taasisi imara isiyomtegemea mtu mmoja, endeleeni kuondoa samaki waliooza.
 
Mtaweweseka sana hadi kufika 2015 watabaki Mbowe na Slaa tu
 
Watu wanaweweseka kweli sijui CCM kwa nini isiwachukue hawa kina Zitto

Dr. measkron hakuna kosa kubwa kisiasa kama Zitto kuhamia CCM, kwa kuwa atadhihirisha speculations kuwa ni kweli alikuwa anatumiwa na CCM.
 
Last edited by a moderator:
Msukosuko wa ngalawa ndio mwendo wake..kajisemea ndugu yangu Mbwiga wa Mwiguke!
 
Kuvuliwa vyeo kwa ZITO ni pigo kwa mafisadi wa CCM, wamekereka kwelikweli! Swali je kama kweli ZZK ni nguzo ya CDM kwanini leo ccm wamenywea kama wamemwagiwa maji baridi badala ya kushangilia? TAHADHALI kama nilivyotahadhalisha siku za nyuma naomba tuwe macho sana na tuzidi kuimalisha kamati ya usalama wa chama ili tuwabaini mapandikizi ya kina NCHEMBA mapema.
 
Ni maamuzi ya busara katika harakati za kuipeleka Tanzania kule kunako asili yake kusiko kuoneana haya.,Haya ya Zito wengine tuliyasema kabla ya 2009 tukaonekana waongo na tusioitakia mema CHADEMA.>>>VIVA CHADEMA pamoja na kuwa maamuzi yamechelewa wengine tunaelewa sababu.'ALUTA CONTINUA'.
 
CCM mbona mnasikitika hivi? nilidhani huu ni muda muafaka kwenu kusheherekea kwamba walau mtapumua kwamba mpinzani wenu aliyekuwa anawaumiza kichwa ameondolewa kumbe mnahuzunika? Embu tuambieni mlikuwa mnafaidi nini wakati Zitto ni kiongozi wa chadema na mkawa mnamuunga mkono na sasa hamtafaidi nini wakati yuko nje ya uongozi na baada ya siku 14 nje ya chama!!
 
haya...natangulia na kibwagizo, af na wewe unaitikia: haya twende sasa....

"tuna imaaaaaani, na kamaaaaati kuuuu, oya, oya oyaaaaaaa..............."

haya, twendeeee.....
 
Nimeipongeza sana kamati imefanya kilichiishinda CCM katika kuvuana magamba. na ukisikia CCM imefukuza mwanachama ujue ni Mzanzibar.
 
haya...natangulia na kibwagizo, af na wewe unaitikia: haya twende sasa....

"tuna imaaaaaani, na kamaaaaati kuuuu, oya, oya oyaaaaaaa..............."

haya, twendeeee.....

Furaha yenu ni kuona CHADEMA inakufa, mmeshindwa kabisa kumdhibiti MBOWE asifanye chama kuwa mali yake badala yake mnaendelea kutumika tu, kamati kuu gani mlio na imani nayo? MBOWE, SLAA na LISSU ndo kamati kuu?
 
Nimeipongeza sana kamati imefanya kilichiishinda CCM katika kuvuana magamba. na ukisikia CCM imefukuza mwanachama ujue ni Mzanzibar.

Kwani kamati kuu imewafukuza au imewavua madaraka?
 
Nimeipongeza sana kamati imefanya kilichiishinda CCM katika kuvuana magamba. na ukisikia CCM imefukuza mwanachama ujue ni Mzanzibar.

ccm inawaogopa sana wazanzibari mkuu. wanawastahi sana wakileta mauzi wanafukuzwa tu. mwanaccm wa bara akileta za kuleta dawa huwa si kufukuzwa; huwa wanachukua tahazari tofauti.

ulizia hatma za hawa Mbunge na Waziri wa Vijana Kinyondo? Unamkumbuka yule na kitambaa cha sumu kilichomtoa roho? Edward Sokoine unamkumbuka? Horace Kolimba unamkumbuka? Nasita kumweka Malima kwenye list lakini sina hakika kama kifo chake kilikuwa cha Mungu au cha binadamu. Na ile kesi ya Imrani Kombe unaikukmbuka vizuri ile? Yaani ukiwa mtu kutoka bara af CCM wakaamua hawakutaki hama mji au nchi kabisa!
 
Furaha yenu ni kuona CHADEMA inakufa, mmeshindwa kabisa kumdhibiti MBOWE asifanye chama kuwa mali yake badala yake mnaendelea kutumika tu, kamati kuu gani mlio na imani nayo? MBOWE, SLAA na LISSU ndo kamati kuu?


tuna imaaaaani naye mboooowe, oya oya oyaaaaa. mbowe kweliii, kweli, kweli, kweeeeli, kweli, kweli, kweli kibokoooooo!
 
Furaha yenu ni kuona CHADEMA inakufa, mmeshindwa kabisa kumdhibiti MBOWE asifanye chama kuwa mali yake badala yake mnaendelea kutumika tu, kamati kuu gani mlio na imani nayo? MBOWE, SLAA na LISSU ndo kamati kuu?

mbona roho zinawauma sana....... .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom