Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Zitto alitengeneza mtandao wake wa siri unaoelezwa hapa. Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo huu hapa

Lengo la mtandao huo ni Zitto KUWA MWENYEKITI WA CHADEMA.

Lengo hilo si baya, lakini namna ya kulifikia, ilikuwa ni kwa gharama yoyote hata kama CHAMA kitavurugika.

Zitto alipata support kubwa toka CCM na hata hapa JF CHAMVIGA, ZeMarcopolo, FaizaFoxy, Chabruma, Simiyu Yetu, Shelui, Mwigulu Nchemba, Taswira, MwanaDiwani, Ritz, TandaleOne n.k. walikuwa wanashambulia CHADEMA huku wakimlinda Zitto kwa nguvu zao zote. Baadhi ya dhihaka waliyokuwa wakiitupia Chadema.


  1. Chadema hawana ubavu wa kumgusa Zitto, wakimgusa tu wamekwisha!
  2. Chadema wanawashughulikia tu vidagaa, hebu kama wana ujasiri wamguse Zitto!
  3. Viongozi wa Chadema hawana ubavu wa kumfukuza Zitto au Shibuda.
  4. Zitto ndiye nguzo ndani ya Chadema wakimgusa tu chama kinasambaratika.
  5. Vijana wengi wanaokiunga mkono Chadema ni kwa sababu ya Zitto.
  6. Sasa hawa Chadema kama hawampendi Zitto si wamfukuze waone kitakachofuata.
  7. Umaarufu wa Chadema umetokana na jitihada za Zitto.
  8. Mbowe na Slaa si chochote, si lolote kwa kijana Zitto.
  9. Siku Zitto akiondoka Chadema tu na Chadema inakufa.
  10. Zitto ni zaidi ya Chadema.

Sasa Zitto kavuliwa uongozi CHADEMA, na ndani ya siku 14 atafukuzwa CHADEMA.

Zitto akihamia CCM atasaidia sana kuimarisha CCM Kigoma, ambapo kati ya majimbo 8 CCM iliambulia majimbo matatu tu tena kwa mbinde sana. Bila shaka CCM watampokea kwa kuwa wanapenda kurudisha viti hivyo vitano mkoani Kigoma.

Zitto ni kiongozi mwenye karama kubwa na mvuto kwa jamii, na akihamia CCM atapenda, kama ambavyo alipenda akiwa CHADEMA, karama hiyo yake aitumie kufikia kwenye nafasi za UONGOZI WA JUU KABISA. Uenyekiti wa CCM.

Wanaounga mkono CCM humu jamvini CHAMVIGA, ZeMarcopolo, FaizaFoxy, Chabruma, Simiyu Yetu, Shelui, Mwigulu Nchemba,Taswira, [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=132973"]MwanaDiwani[/URL], [B][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=34266"]Ritz[/URL], [B][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=25971"]TandaleOne[/URL] [/B][/B]waliamini kuwa Zitto alikuwa sahihi kufanya aliyoyafanya kwa namna alivyofanya akiwa CHADEMA.

Bila shaka watampa ushirikiano kuyafanya hayo hayo, ndani ya CCM kwa kutumia namna hizo hizo.
CCM,[B][B] [B][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=1681"]Zitto[/URL] [/B][/B][/B]yuko mlangoni anabisha hodi, anataka kuingia, mkaribisheni. Lakini hataki kufikia sebuleni tu, anataka mpaka ndani kabisa, kwenye KITI cha Mwenyekiti wa CCM. Anaomba mumpe ushirikiano na mvumilie mbinu zote atakazotumia kufikia azma yake.
 
Walid Aman Kabourou alikuwa makamu mwenyekiti wa Chadema na siyo Nccr. Mada yako irudie au ifutwe, haistahihili kuchangiwa!!!!

Sidhani kama ni lazima uchangie. Bibi yangu(r.i.p) aliwahi kuniambia kuwa wenye uelewa mdogo hutoa hukumu kali sana, ila wenye uelewa mkubwa hukumu yao ni ya kawaida sana! ..........kwann useme uzi wake haustahili kuchangiwa??? ina maana huoni thamani ya muda na nguvu na akili aliotumia kuandika hicho alichoandika???? jifunze kuheshimu biashara za wengine!
 
Napata bia baad aya kuacha siku nyingi sana....Baada ya siku 14 ,nitakuwa mtu mpya zaidi.Ahsante sana CDM.Zitto awe huru kujitafutia sifa zake mwenyewe zisizo na direction wala,malengo makuu yasiyokinzana na democrasia na uhuru wa binadamu.


Aje an sizitaki mbivu hivi km kawaida yake huyu kijana irresponsible..akaue panya na mende.
 
CDM noma..jama wa michezo wanasema hwapepesi macho...wewe chama mtu anabaka watu wanlipwa kumtetea mitandaoni
 
For sure CDM safari mnayo sana kufika huko juu ngumu
 
Maamuzi ya Chadema leo hii ni maamuzi ya kijasiri na yanayoakisi msimamo wa chama dhidi ya mafisadi,wezi,wazembe,wanafiki,waoga,waroho,wenyewivu,wakatili,wabinafsi,vigeugeu,wadini,wakabila,wachawi,ndumilakwili, wavivu,wachoyo,majuha,wenye viburi,wadhihaki,malimbukeni,mamluki, wajivuni,wasiojali,mabwanyenye,wajuaji na WASALITI.

Nitashangaa sana watu wa namna hii wakiachwa kuendelea kukaa chamani na kufubaza harakati za ukombozi!

Kuna wanaotakiwa kuheshimiwa na kuenziwa kama yayi katika chama lakini si hawa waliopewa siku 14....rejea watoto waliokufa soweto -Arusha.

Siku 14 za hukumu ni nyingi mno kwani madhila waliofanya dhidi ya chama,wazalendo na wananchi ni makubwa mno.....hawastahili siku 14 bali bakora 14 wakahadithie vizazi vyao!

Siku 14 zisitumike kumeza matapishi bali zitumike kupeleka taarifa kwa yule yoyote awaye msaliti...kwamba hatujali jina,umri,dini,cheo,elimu,umaarufu,ukwasi au jinsia .....ukichezea mafuriko ya mabadiliko basi utasombwa tu!

Siku 14 za kupeleka ujumbe kwa Wassira na wenzi wake kwamba we are here to stay!

Ni SIKU 14 ZA HITIMISHO LA MAAMUZI!!

Ni siku 14 za kubaki na sisi wananchi au zitto.....Naam ni siku 14 za mwisho wa hili zimwi litujualo..,.!

Cc: Mungi LiverpoolFC Crashwise meningitis Mzeewarula Ritz et al
Ni siku 14

ziro tu wewe unafiki tu, mtaona mtakavyokufa na Chadema yenu
 
Last edited by a moderator:
Nape kwa kujitafutia sifa za kijinga....sasa hapa unashabikia nini? Kuwa kijana achana kuwapigia watu makofi na kujifanya mjinga.
 
Kwa Muda mrefu tumekuwa tukisikia kuwa Zitto ni Man alone na chama kinamuegemea yeye.tumesikia sna hadi imekuwa kelele ktk masikio yetu, na kuwa ushawishi hadi kwa Zitto mwenyewe.Zitto mwenyewe akafikia kuamini hilo na kuamua ishi kyk self delusions.Zitto akajiona na kuamini kuwa yeye ni Brand, wafuasi wake na waamtumiao nao wakalazimisha hadi nao kujikuta wakiamini uongo ambao walikusudia kuutumia kwa wengine.


Sasa ni wakati wa kuangalia km kwlei ZITTO ni BRAND na km ni Brand basi atasimama mwenyewe ktk uzalendo na jamii pana ya wazalendo ili aweze fikia malenzo na misisimko yake iliyopew ajina la uzalendo km ile ya mwigulu.Wote ni wachumi, wanasiasa weny kuchanganya na wasioleweka wala jielewa wenyewe,wanaojiona wana mission fulani waliyutumwa na ulimwengu wa roho waziaminizo kuwa ni supreme.


Brand Zitto sasa ni wakati wkauonyesha kwa vitendo kuwa ni effective kihivyo, kuonyesha kuwa CDM iatshindwa ishi bila yeye, na wala bila yeye kuihujumu chadema tena au kushinda mahakamani km Ahmad Rashid ili abaki madarakani pale anapoondolewa.NItafurahi km JK atamrudisha bungeni kupitia viti maalumu akaendelee na story za mabilioni kuliko kusikia akiwa busy ihujumu CDM..au kuweka mapingamizi ya mahakama.Kwani hapo atadhihirisha kuwa hakuna brand ZITTO.

Mods:Naomba muipe hii thread for sometimes hata kwa mwezi mmoja ili tuone km BRAND Zitto ina exist ktk nchi hii.Wakati nami nikimshauri aishukuru CDM kwa kumfikisha hapo ktk ulimwengu wa siasa.
 
Hivi tofauti na Zitto ama Mbowe hakuna kabisa anayeweza kuongoza taasisi ? waraka unatakiwa ufanyiwe kazi na maamuzi yaliyochukuliwa nakubakiana nayo safi kabisa however siamini pia kama mbowe ni msafi pia kama muda wake wakuongoza umekwisha ni vyema na haki apishe mwingine nakuwa na wasi wasi sana wanapohubiri kitu ambacho wao wenyewe bado hawawezi kukisimamia na kuheshimu katiba ya taasisi Zitto anamakosa pia Mbowe na sishawishiki kabisa kwamba hawa pekee ndio wanamiujiza ya kuongoza naamini kuna watu wengine wanaoweza kuwa wazuri zaidi.
 
Hii nyumba iitwayo CHADEMA. Ni dhahiri sasa inaungua na iko katika moto mkali.
Jamaa zetu hawa ambao ni watani zetu wa kisiasa, inaelekea wataingia 2015 wakiwa na majivu ya mbao za nyumba yao.

Kisa, mwenye nyumbahawataki wapangaji toka kwingineko nchini, na sasa kiberiti ndo kisha tupwa ndani ya nyumba na mwenye nyumba, watoke au watoswe.

Jamani ploti hiyo!!

Too shallow as it does not explore the facts to support your malicious wishes. Yesu alisema vizuri kwa watu kama nyie kuwa jililie nyie na watoto wenu. Mlilie zito and his compatriots as there is no more glory without cdm
 
Hii nyumba iitwayo CHADEMA. Ni dhahiri sasa inaungua na iko katika moto mkali.
Jamaa zetu hawa ambao ni watani zetu wa kisiasa, inaelekea wataingia 2015 wakiwa na majivu ya mbao za nyumba yao.

Kisa, mwenye nyumbahawataki wapangaji toka kwingineko nchini, na sasa kiberiti ndo kisha tupwa ndani ya nyumba na mwenye nyumba, watoke au watoswe.

Jamani ploti hiyo!!

Nyumba si yako, roho yakuumia nini? acha unafki
 
Akamwulize Oscar Kambona, Naye alijitapa akaishia kuishi ukimbizoni kwa gharama ya kushinda loto.Sintomshangaa Prezo akiwa ujerumani anasaka digrii. Only time will tell.
 
CCM wamemtumia Zitto kama Kondomu tu! Sasa kondomu haina kazi!

Km Zitto si Brand basi anayo kazi kubwa sana,kwani muda si mrefu atahitajika kufunga mdomo chini ya mikono ya CCM na sas a hataruhusiwa rasmi kupiga kelele za mabilioni wala ufisadi.Otherwise wanaomtishia akiwa mikononi na nje ya mikono ya polisi atamezwa kwa gloves za rangi ya CDM.
 
zito nw anaona :A S-confused1: bora akavute :bange: ili kupunguza :A S-frusty:ili awezekulala, la sivyo anaweza :frusty:
 
Wanaolia lia nawashangaa sana why azidi kuwa mwiba ndani ya chama? si aondolewe ili chama kifanye kazi kwa nia moja kuliko una mtu katika group anatengeneza vigroup vingine na kuvihonga. Hafai na aende huko kwa wenzake akina shonza
 
Kwa jinsi mambo ya CCM yanavyokwenda mramba,Ni wazi by 2015, CCM wanaweza kuwa hawapo tena ikulu(Watakuwa wameitelekeza ).

CCM sasa hivi hakuna mipango ya siri wala ya hadharani ambayo haipo mitaani.Mbaya yote ni miovu.Wizi na sifa mbaya za viongozi wao zinawakeep busy sana kuliko hata ktk maofisi.

hadi sasa CCM wamekuwa offesnsive sa na ktk upinzani na kila awapingao ila mwisho wa siku wanakuwa wao ndio loosers.NI wazi wapinzani nao wakianza kuwa offensive CCM watakuwa hoi kabisa.

Tamaa na mishemishe haramu za wana CCM kwa staili ya kuhcukua haraka inaweza wafikisha wote nje ya maofisi yao na kwenda kabana makoo ktk nyara na rasilimali za nchi.Wengine watakuwa wakipiga udalali kwa wawekezaji madalali wa nje ambao wanatangazwa kuwa si madalali,ila wazawa ndio madalali.

Pia Mungu hajawa sana upande wao, sasa hivi wanajianika vibaya ktk matatizo na sifa mbaya, uku chama kikizidi potez auwezo hata wa kukabiliana na vitu vidogo kabisa vya kila siku ktk chama.Sasa haya makubwa nayo ynakuwa ya kila siku ktk uwezo mdogo.

Kwa mwendo huu Chadema hawatakuta mtu ikulu,ikulu itakuwa imetelekezwa km si gofu wanaloishi walebanon.Yetu macho km Mungu atatupa siku ya nyingine tuyashuhudie hayo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom