Kwa Zitto kuhama CDM ni ngumu bali atakachokifanya ni kujitetea ili acfukuzwe uanachama ila Maisha yake kichama hayatakua na ushirikiano kabisa atafanya yake na jimbo lake mpk kukaribia 2015,,
Kwa nini hatahama Chama kwa kipindi hiki?
1. Anatambua unafiki wa vyama vingi ikiwemo ccm, cuf na nccr(vngne bado sana vinanuka mikojo) ambao kwa sasa wanafurahia kufukuzwa kwa Zitto nakujfanya wanahuzunika nae kumbe wazandiki wanafiki2 wa kisiasa akishavuka mlango2 raasmi wamtazame2 km tambara la deki.
2. kuna dalili akapumzika siasa 2015 acgombee mpk badae sana
3.kwa hoja yakuhamia vyama vingne hofu kubwa kwa (ccm) anaogopa kutelekezwa km akuna Shonza na Mwampamba kwa vile ------ hatakua na shida nae tena kutokana na wakat wke kuisha na pia kuna foleni kubwa sana ya waliohuzunika pa1 miaka dahari wakisubiri kufarijika pa1 pia 2015,
kuhusu kuhamiA NCCR ngumu kwa vile haziivi na mwenyekiti wao,,kwenye CUF nako uliberali ushakiozesha chama hcho mpk zenji2 wapo pia wanaongoja saana,,,, kwa hayo ndo yanamfanya Zitto atulie2 cdm ila kwA kiburi hatashiriki shughuri za chama,;karibuni kwa mengneyo
zitto tiisss wanamtaka sana kwa kazi maalum kwa hiyo bado hajamaliza kazi rasmi ila kashtukiwa tu