Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 950
- 1,050
Viongozi wa CDM,
Wiki chache zilizopita niliwaletea ufunuo juu ya chama hiki. Nashukuru mmesikia sauti ya Mungu!
Angalizo:-
Mambo mengi na dhoruba kali itatokea wakati huu kama ambavyo mmeona watu wanavyojitoa.
Kwanza mtambue Mungu anayateketeza makapi yote na yote yatateketea kwa moto mkali, msifadhaike wala kusikitika, SIMAMENI MKAUONE MKONO WA BWANA.Maana kamwe hamtapita na magugu katika mashine ya kuchuja ngano na magugu wakati huu.
Mwisho Mungu anawasisitiza sasa ni wakati WA KUMTAZAMA NYOKA WA SHABA aliyewekwa juu yenu, hata kama hawa nyoka watawauma mara ngapi.hamtakufa, mwangalieni huyo nyoka wa shaba peke yake mkauone mkono wa Bwana!
Bado mnatakiwa kumalizia maamuzi yenu!
Mbarikiwe.