Technology haikusubiri wewe na umburura wako ikiwa watu wanaweza kuiba fedha kwenye a/c yako na kadi unayomwenyewe sembuse ki spy e-mail? Acha ushamba kima wewe ,mateka wa Ccm
Sasa hio ndio ushahidi? Umewezaje kuingia email ya zito au mchemba? Ujinga kutaka kuhalalisha uovu
Hizo email fake nikueekre za kutoka kwa slaa? Si una edit tu email ya kwako unaweka kutoka kwa slaa kwenda kwa mboe na kuiweka hapa ! Cheap propaganda .
Unafikiri rahisi kusoma email za watu? Hao fbi wanatumia billions pamoja na kuwalazimisha yahoo na gmails kutoa paaswrd za watumiaji .itakuwa wewe utuletee upuuzi hapa ?
Kwa ufupi ujumbe na ushauri kwq zitto ni huu
Ushauri .kama zito unaamini uko sahihi usikubali kufanywa kafara kirahisi kwa kujivua uanachama.
Umetumia muda wako na nguvu zako nyingi kukitetea na kukijenga chama chako.
Uwepo wako na umakini na weledi ulionao wa mambo ya siasa umekijenga na kusaidia mwenekano wa chadema usiwe ule wa fujo fujo kwa kuwa mbali na wenye muelekeo hio.
Wengine tunaamini kuwa ni mmoja kati ya viongozi watarajiwa ww nchi hii .
Simama imara kupigana na wale wanaofanya vyama mali yao na familia zao.utaratibu huu ndio unarudisha nyuma democrasia hii ya vyama vingi kumefanya watu wengi kutoamini opposition na kuendelea kwa nguvu za ccm .
Umekua ukipinga mara nyingi chadema kuhusishwa na udini na ukabila lakini kama hilo halipo kama unavo amini basi kunaa tazizo la Udugunazation ambao lazima lipigwe vita.
Simama imara usikubali kuanguka kirahisi .
Kujitoa kutakidhoofisha chadema sana na itakua pigo kubwa kwa siasa za upinzani nchi hii .ulisema umetoka kigoma na hukukimbia ila uliaga hivo tunajua hutakua goi goi kukubali chadema kipotelee kwenye lindi la udini ukabila au udugu dugu
Technology haikusubiri wewe na umburura wako ikiwa watu wanaweza kuiba fedha kwenye a/c yako na kadi unayomwenyewe sembuse ki spy e-mail? Acha ushamba kima wewe ,mateka wa Ccm
Acha hizo zzk amejipambanua, amechangia sana kukua kwa cdm, ndio maana tukio hili limeibua mjadala kitaifa
Acha hizo zzk amejipambanua, amechangia sana kukua kwa cdm, ndio maana tukio hili limeibua mjadala kitaifa
Kitendo cha kuanzisha makundi kutokea kwa akina Kafulila, then akina Mchange, Nyakarungu, Mtela Shonza, then Mwigamba, na Kitila nk yaliyogeuka watukanaji wa viongozi wakubwa ndani ya chama, huku yakitoa siri za chama, Zitto Kabwe afukuzwe, tena mara moja maana hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi. Huwezi kuniambia kwa haya yote alikuwa hajui anlichokuwa anafanya. Ameonywa mara kibao, si tu mtandaoni hapa lakini hata ndani ya chama chake ikiwamo kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye kutoka kwa wabunge wenzake. Huyu mtu amechangia sana kuharibu future ya vijana tena wengi kisiasa badala ya kuwa mentor.
Kwa haya tu naunga mkono kutimuliwa regardless ya utetezi
Acha hizo zzk amejipambanua, amechangia sana kukua kwa cdm, ndio maana tukio hili limeibua mjadala kitaifa
The rise and fall of zitto kabwe, kuna watu wamemwaga damu kwa ajili ya ukombozi, mizimu yao inakesha nyumbani kwa zitto kabwe, ofisini, katika gari,mpaka kieleweke na haki ionekane
Hahahahahaa! Mkuu umezamisha kisu kwenye mfupa, sidhani kama atarudi tena!
we nae wawapi? kuhack email ya mtu sasa hivi kunataka bilions of money? we nae wawapi michezo hyo sasa hivi ni kitu cha kawaida, tena gmail ni rahc zaid weka account yako ya gmail hapa tukumwagie yaliyopo, nasisitza gmail ni rahis sana.
Hahahahahaa! Mkuu umezamisha kisu kwenye mfupa, sidhani kama atarudi tena!
Technology haikusubiri wewe na umburura wako ikiwa watu wanaweza kuiba fedha kwenye a/c yako na kadi unayomwenyewe sembuse ki spy e-mail? Acha ushamba kima wewe ,mateka wa Ccm
SIO SUALA LA TECHNOLOGY BALI NI TATIZO LA KUCHAKACHUA MANDIKO ILI KUHALALISHA JAMBO LAKO,,Hahahahahaa! Mkuu umezamisha kisu kwenye mfupa, sidhani kama atarudi tena!
hebu taja hayo mambo aliyofanya tuyajue!Acha hizo zzk amejipambanua, amechangia sana kukua kwa cdm, ndio maana tukio hili limeibua mjadala kitaifa
Mkuu dont get distracted watu hawa document vitu vya hatari... Wanavifanya kwa verbal face to face communication ila kujilinda documentation inafanywa ku distract the second party kutumia luga ya third party kama ilivyo hiyo document!
Ukiona watu wana document strategies za hatari uelewe tu hao siyo smart maana risks ni very high kufanya hivyo! Siyo the kind ya hao they should be smarter than this! Wakifanya hivyo hata a secondary school student atawacheka!
ccm inawaogopa sana wazanzibari mkuu. wanawastahi sana wakileta mauzi wanafukuzwa tu. mwanaccm wa bara akileta za kuleta dawa huwa si kufukuzwa; huwa wanachukua tahazari tofauti.
ulizia hatma za hawa Mbunge na Waziri wa Vijana Kinyondo? Unamkumbuka yule na kitambaa cha sumu kilichomtoa roho? Edward Sokoine unamkumbuka? Horace Kolimba unamkumbuka? Nasita kumweka Malima kwenye list lakini sina hakika kama kifo chake kilikuwa cha Mungu au cha binadamu. Na ile kesi ya Imrani Kombe unaikukmbuka vizuri ile? Yaani ukiwa mtu kutoka bara af CCM wakaamua hawakutaki hama mji au nchi kabisa!
subject:
Fw: Kazi nzuri
date:
Sunday, november 17, 2013 20:28
from:
" mwigulu nchemba " <shimbi85@ gmail.com> >
to:
Emmanuel nchimbi < [email protected]>
on sunday, november 17, 2013 6:15:44 pm, mwigulu nchemba <shimbi85@ gmail.com> wrote:
Sawa boss,,jumatano saa moja imekaa safi kabisa. Tuchape kazi. Ntakupa update nikitoka kuonana na zzk. Mh. Lukuvi namtafuta punde
mn
2013/11/17 emmanuel nchimbi < [email protected]>
bila shaka vijana wamefanya kazi nzuri sana. Mapambano yanaendelea, hakuna kulala, hapa sasa tume lote livunjwe na huyo waryoba apumzishwe. Mtafute mh. Lukuvi ana mazuri ya kuongea na wewe. Kuna mapya pale ufipa, nimeshaongea na mh. Zitto na amenipa brifieing .. Tukutane jumatano basi jioni ya saa1 pale pale cheer,, emma
sent from my ipad
on sunday, november 17, 2013 5:55:02 pm, mwigulu nchemba <shimbi85@ gmail.com> wrote:
Naona vijana wametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe, sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti. Alafu upande wa pili (cdm) inabidi tuongeze dau ili shujaa zzk abakie ndani, nasikia kuna mkakati wa kumtoa kwenye kinyang'anyiro. Tujitahidi sana sana kumsaidia kujenga mtandao wa ndani apate u wenyekiti. Taarifa zaidi za ndani zinasema wkamba wanajaribu kumfukuza kabla ya mwisho wa mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee, naona kundi ndani ya bavicha hasa hiyo mitoto inafanya sana mashambulizi lakini hawataweza. Inabidi wadhibitiwe. Rockup wiki mbili itawasambaratisha. Tuongeze kasi kwa wajumbe wa kamati kuu. Wengi wao ni njaa sana nazani 5mil kila moja inatosha kabisa.wananifata sana kuomba hela ili wasaidie nakutana na zzk baadae plae pa siku ile, unaweza kufika saa 1 jioni
mn
Acha hizo zzk amejipambanua, amechangia sana kukua kwa cdm, ndio maana tukio hili limeibua mjadala kitaifa