JF.......!
Mimi ni mwanachadema mtiifu na mwaminifu kwa chama na viongozi wangu, nimekuwa mwanachama wa CHADEMA tangu mwaka 2009 baada ya kuvutiwa na siasa za Mhe.Zitto Kabwe hapo awali.
Hatimaye nimeona nitoe muono wangu huu kwa wanaCDM wenzagu kuwa najiandaa kurudisha kadi ya chama changu kipenzi CHADEMA endapo chama changu hakitachukua maamuzi magumu ya kumfukuza na kumtumlia mbali mnafiki, mzandiki na mhaini Zitto Zuberi Kabwe,
Imefika hatua mhe. Huyu kawa ana kiburi mithili ya shetani na kujiinua pasipo sababu kuwa "ZITTO NI CHADEMA NA CHADEMA NI ZITTO" haya ni matusi makubwa kwa wenzetu waliopoteza maisha kwa ajili ya chama, Zitto kaua ndoto za vijana wengi waliokuwa wema kama Juliana Shonza, Habib Mchange, Mtela, Nyakurungu Gwakisa, Burton, Kafulila kwa ulaghai wake. hivyo sitokuwa tayari kuendelea kuona Mrundi mmoja akizima ndoto za taifa langu Tanzania.
Lastly, sitokuwa tayari kuendelea kuishi na nyoka kwenye chumba kimoja.
Shardcole@Tabora1