Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,516
- 9,809
Kama kweli Zitto anaipenda Chadema na hizi vutugu wanazomganyia katibu mkuu wake kama angekuwa mzalendo angeshatoa tamko la kulaani vurugu hizo.
Si rahisi kuona boss wako anafanyiwa vurugu kwa jina lako na kama unamprnda lazima utaingilia kati, ukikaa kimya basi we ni muhusika wa vurugu hizo moja kwa moja.
Basi ikiwa ni Kweli kuwa Zitto kwa Chama baadae, basi atoke chadema akaanzishe chama chake na awe mwenyekiti wa hao wanaofanya vurugu wajipatie vyeo vyovyote watakavyo.
Kwanini anayaka kubaki chadema??
Mbulula wewe, unayasema hayo ukiwa umekula tumbaku au ugolo. CDM tatizo ni ubinafsi na njaa ya madaraka kuanzia kwa MBOWE kushuka chini.
Kama kweli Zitto anaipenda Chadema na hizi vutugu wanazomganyia katibu mkuu wake kama angekuwa mzalendo angeshatoa tamko la kulaani vurugu hizo.
Si rahisi kuona boss wako anafanyiwa vurugu kwa jina lako na kama unamprnda lazima utaingilia kati, ukikaa kimya basi we ni muhusika wa vurugu hizo moja kwa moja.
Basi ikiwa ni Kweli kuwa Zitto kwa Chama baadae, basi atoke chadema akaanzishe chama chake na awe mwenyekiti wa hao wanaofanya vurugu wajipatie vyeo vyovyote watakavyo.
Kwanini anayaka kubaki chadema??
Return Of [/QUOTE said:Mkuu umeongeA ukweli mtupu,hapa ndo muda ambao alitakiwa aoneshe mapenzi yake ya dhati kwA chadema dhidi ya propaganda chafu za ccm ku capitalize kwenye mgogoro huu.zitto alitakiwa ajitokeze hadharani na kujitengA na matamko na maandamano ya wanaopinga ziara za dr slAa.alitakiwA ajitenge na hayo wAzi wazi na kuudhihirishia umma kuwa hahusiki na hayupo kabisa na harakati hizo bali yeye anaheshimu maamuzi ya cc ya chama.kwa kukaa kimya unajiAngAmiza kisiAsa.
Ha ha ha ha ha! Mkuu sixgates nimekushtukia unataka uje unipe deal ka kurusha mawe kwny mkutano wa Dr.Slaa! Hapo hunidanganyi mkuu mm sina njaa kama vijana wa lumumba buku7 project.
zitto lazima afukuzwe kwa manufaa ya chama na vijana wa nchi hii , hakuna namna yoyote ya zitto kuendelea kubaki cdm , hata yeye analijua hilo ! kwa hiyo kelele na mapovu yako havina msaada wowote .Mbulula wewe, unayasema hayo ukiwa umekula tumbaku au ugolo. CDM tatizo ni ubinafsi na njaa ya madaraka kuanzia kwa MBOWE kushuka chini.
JF.......!
Mimi ni mwanachadema mtiifu na mwaminifu kwa chama na viongozi wangu, nimekuwa mwanachama wa CHADEMA tangu mwaka 2009 baada ya kuvutiwa na siasa za Mhe.Zitto Kabwe hapo awali.
Hatimaye nimeona nitoe muono wangu huu kwa wanaCDM wenzagu kuwa najiandaa kurudisha kadi ya chama changu kipenzi CHADEMA endapo chama changu hakitachukua maamuzi magumu ya kumfukuza na kumtumlia mbali mnafiki, mzandiki na mhaini Zitto Zuberi Kabwe,
Imefika hatua mhe. Huyu kawa ana kiburi mithili ya shetani na kujiinua pasipo sababu kuwa "ZITTO NI CHADEMA NA CHADEMA NI ZITTO" haya ni matusi makubwa kwa wenzetu waliopoteza maisha kwa ajili ya chama, Zitto kaua ndoto za vijana wengi waliokuwa wema kama Juliana Shonza, Habib Mchange, Mtela, Nyakurungu Gwakisa, Burton, Kafulila kwa ulaghai wake. hivyo sitokuwa tayari kuendelea kuona Mrundi mmoja akizima ndoto za taifa langu Tanzania.
Lastly, sitokuwa tayari kuendelea kuishi na nyoka kwenye chumba kimoja.
Shardcole@Tabora1
kweli wewe ni msukule wa kichaga yaani wewe unajifananisha na sisi katika medani za kisiasa!!! yaani unamaanisha mtu yeyote anaekataa kuwa msukule wa kichaga ndio unakuwa mwisho wake wa kisiasa!!!!!!! hivi mtu kama mbowe au slaa anaweza kufanikisha ndoto za kisiasa za mwanasiasa yeyote hapa TZ!!!!!!!mbowe mwenye elimu ya division zero na slaa mwenye elimu ya divinity yaani dini ndio viongozi wa kuleta mabadiliko!!!!! tangu nilipojiunga na cdm sijawahi waunga mkono hao wajasiliamali wa kisiasa ndio maana mpaka mwisho niliondolewa cdm kwa kuwapinga maana siamini akili ndogo za zero na divinity zinaweza ongoza akili kubwa.
... Maana yake akiwemo ZZK !!Mbulula wewe, unayasema hayo ukiwa umekula tumbaku au ugolo. CDM tatizo ni ubinafsi na njaa ya madaraka kuanzia kwa MBOWE kushuka chini.
unamwita zitto mnafiki kwa sababu anapinga mfumo wa kikabila na kidini ndani ya saccos ya wachaga!!! au unamwita zitto mnafiki kwa sababu anataka saccos ikaguliwe mahesabu!!!
Zitto ana jasho lake chadema, labda chama kife sio kuondoka
HUNA LOLOTE DOGO , KAMA WEWE UNA AKILI UNGEKUBALI KURUBUNIWA NA ZITTO ? AU unadhani tumesahau mambo ya PM7 ? Utaendelea kuwa mbeba SPIKA katika maisha yako yote ya siasa yaliyosalia , hakuna jimbo watataka kuwakilishwa na upepo kama wewe , kuwa na adabu , huyo KINANA anamheshimu DR SLAA , dagaa kama wewe unapata wapi ujasiri huo , au ndiyo nguvu ya hivyo vilaki mbilimbili mnavyoingiziwa kwenye visimu vyenu ?kweli wewe ni msukule wa kichaga yaani wewe unajifananisha na sisi katika medani za kisiasa!!! yaani unamaanisha mtu yeyote anaekataa kuwa msukule wa kichaga ndio unakuwa mwisho wake wa kisiasa!!!!!!! hivi mtu kama mbowe au slaa anaweza kufanikisha ndoto za kisiasa za mwanasiasa yeyote hapa TZ!!!!!!!mbowe mwenye elimu ya division zero na slaa mwenye elimu ya divinity yaani dini ndio viongozi wa kuleta mabadiliko!!!!! tangu nilipojiunga na cdm sijawahi waunga mkono hao wajasiliamali wa kisiasa ndio maana mpaka mwisho niliondolewa cdm kwa kuwapinga maana siamini akili ndogo za zero na divinity zinaweza ongoza akili kubwa.