Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.

haez ongea chochote yeyendie mastermind
 

huna lolote wewe, chadema chumbani aka family ........uhaini/usaliti wa zzk ni upi kama sio porojo?! tuoneshe chadema halisi huo usaliti kwenye yale mashtaka 11 ya kamati kuu kwenda kwa zzk................
 
Mkuu wangu Shardcole,
Take a like brother, pending reputation power!

Nipo na wewe kamanda, chadema tupa nyoka kule!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Siku Mwigulu akigoma kula tiGO zenu hayo maneno huna mahali pa kuyasemea shauri yako

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Ulitakiwa kurudisha kadi kipindi chama kilipo geuzwa tawi la Pride-Tanzania.

Unatakiwa kurudisha kadi kama uhaini wa mtei utaachwa uendelee wa kuwaandaa wenye viti.

HIVI BAVICHA MBONA MNA CHUKI HIVI? MBONA MBOWE,MTEI,LEMA NA SLAA HAMWASEMI?f
 
Zitto, ni mchanga katika siasa. Ikiwezekana asamehewe, hajui anachofanya.
 
unamwita zitto mnafiki kwa sababu anapinga mfumo wa kikabila na kidini ndani ya saccos ya wachaga!!! au unamwita zitto mnafiki kwa sababu anataka saccos ikaguliwe mahesabu!!!

Mtela Mwampamba hapa ndipo anapojitofautisha na mimi.

Sina tatizo na wachagga kuwepo ndani ya chadema pengine ni ukweli, historia ya wao kawahishiwa elimu ndio inawafanya watake kuwa huru "ukielimika ndio unazidi kuwa huru"

Issue ya Dini ni propaganda ambayo pengine kwa sababu huwa sitizami mtu kwa dini, na zimeletwa kwa meli waliozileta hata hawana mpango nzao naona ni point wanazozitumia cowards. Udini ni silaha wanayotumia waliopoteza matumaini.

Ninachokipinga chadema ni uongozi ambao kwa upuuzi na ujinga wao inaleta inaruhusu hata propaganda kuingia na kukifanya hiki chama kionekane cha kijinga.

Nimeondoka chadema kwa kuwa sitaki kuwa sehemu ya ujinga.
 
Last edited by a moderator:
Zitto, ni mchanga katika siasa. Ikiwezekana asamehewe, hajui anachofanya.

kumsamehe ni kumtwisha mzigo asioweza kuubeba, kumfuta uanachama ndio atamudu, wafariji wake si mmewaona kule chigoma!!!!

Zito akwendeeeeeeee
 

Mbona we tayari ni mjinga mwili mzima, your 0655 is very much concerned.
 
Last edited by a moderator:

Ndio maana tangu jana nimekwambia kuwa bado unatafuta njia ya kurejea cdm, lakini bado unabaniwa.Kaombe radhi watakusamehe kama utatoa sababu za juridhisha, badala ya kila siku kupost mambo ya kijingajinga
 
Unafiki 2 wa CDM kutaka kujisafisha kwa wananchi baada ya kuona kimesha nuka...!!!!!!
 
Hakuna sabbu ya kuhama kwa sababu ya Zitto mi nadhani kwa sasa hata akibaki amemalizwa nguvu sana itakuwa ngumu kuendelea na usaliti
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…