Ufafanuzi wa Diamond kuhusu kilichotokea jana uwanja wa ndege Mwanza

Kumbe Warumi lugha ya malkia inapanda hivi au wamehack account yako??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna kitu kinakera kama. Mpo kwenye Tukio la maana alafu kuna Mtu ana ki TECNO.. Alafu ndio ana KIHEREHERE CHA KUPIGA PICHA KILA SAA.. Hapo wenye IPhone X unakuta tumekausha tu.
Sidhani kama ulishawahi kumiliki angalau simu ya 400K
 
Mtoto wa kike kuolewa sunna bibie,kama ulizan umenitukana basi umekosea njia pita kuleee bwana domo akakukaze
Mwambie huyo,tena tumfanyie ushenzi,nielekeze kwenu nije nikuoe mie af tunamualika harusi roho imuume
 
Msameheni bado hajakua
 
Fastjet ukichelewa pesa yako inaliwa no refund, check in yao wanafunga one hour before departure ukifika muda huo huingii na ndege unaiona.

Kwa mashirika mengine ukichelewa flight unatozwa penalty ili kusafiri na next available flight.
Sio one hour bali ni 40 min before departure kwa ndege za ndani ya nchi haijalishi ni ndege gani ni sheria hiyo ya aviation...!! Na kwa ndege za kimataifa kwa one hour ni sawa
 
Kapost wapi?
 
ELIMU ELIMU ELIMU lakini mkamfanyia figisu mzee wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…