Ufafanuzi wa Diamond kuhusu kilichotokea jana uwanja wa ndege Mwanza

Ufafanuzi wa Diamond kuhusu kilichotokea jana uwanja wa ndege Mwanza

Lack of education , lack of integrity . Diamond Platnum has to be more prudent concerning mambo ya serikali, I have been watching lately , amekua akijifanya mdomo mdomo simply because of his tittle . He has to watch out , he is too young n soft to battle with Jmagufuli

Even though he has encountered such problem at the airport , he was supposed to send the complaints kwa wahusika by writing emails , wangempuuza ndo angekua na haki ya kuongea in public , hyo management yake fucken stupid .
Mbona umeandika kichuki chuki Mkuu? Mimi nadhani alichofanya ni sahihi hasa kwa kuzingatia tabia ya baadhi ya watendaji wa taasisi zetu za uma.
 
Afrika hakuna changes za maana zitakazotokea,fastjet imedondoka watu wanachekelea bila kufahamu madhara yake makubwa,upigaji wa tiketi utakua kiwango cha juu. All in all dai alikosea,kwenye ukweli aambiwe
Hata mimi nimefurahi ili wote tupande punda awamu hii
 
He should address the issue kwa wahusika, kuja kwenye mitandao and start public shaming kampuni kubwa na changa kama ile , it's an insult kwa government, before opening his dirty mouth , inatakiwa aangalie who is he and the impact he has on society .

Do you know kwa kiasi gan amechafua image ya kampuni? , mi nataka tu aseme sehemu kuwa alishatuma complaints but wakampuuza ndo akaamua ku publicize his complaints .

No matter how much you have , if you are intellectually dumb , I rate you 0%, diamond is one of those stupid ass nigga , he is trying to battle with government while his emotionally intelligence is fucked up

Aangalie wenzie akina joh makin hoja zao wanavyojielezea, akina fid Q to mention the few . Sio yeye akili hana
@warumi you are definitely wrong, mara ngapi shirika hilo limepewa malalamiko, kuhusu nidhamu mbovu ya wahudumu. Kama ingekuwa walalamikaji wanachukulia hatua hayo matatizo, basi yasingeliendelea.

Hii inaonesha ni namna gani malalamiko yanawafikia hao wenye kuyafanya ndiyo maana hakuna suluhu yeyote inayochukuliwa. Yaani kesi ya nyani, imeshtakiwa kwa Nyani mwingine mara kadhaa bila kutatuliwa.

Hii ni risk kwao na akili zitawakaa sawa, watambue wapo kisa uwepo wa mteja. Hivyo nidhamu kwa mteja ndiyo kila kitu
 
Ok.
Kama walichelewa hazikutakiwa kuuzwa bali ndege ingeondoka na empty seats ambazo zilishalipiwa.
Unapoona kuna Watanzania wanaishi Ulaya na Marekani wana sababu nyingi za msingi za kuichukia nchi hii.

Nchi za wenzetu hakuna ubabaishaji kama huu.
 
In the country where the level of smartness and civilization among public workers is “less”, you don’t have to be too nice and soft....use another alternative to make things move. What he did is massive and changes will come in this company....kama umewahi kutumia Airports za bongo na kuona wanavyofanya kazi compared na nchi zingine it’s obvious these guys are less serious
I agree with you... sometimes barbarous actions need barbarous reactions but in this case simply NO! What was the point of shouting while recording the video! Angeweza kukaa kimya halafu baade akapost kwenye Internet issue nzima ilivyokuwa. Kwa namana hii angeonekana ni mtu anayejijua zaidi kuliko alivyofanya kama yuko kwenye vilabu vya wanzuki.
 
He should address the issue kwa wahusika, kuja kwenye mitandao and start public shaming kampuni kubwa na changa kama ile , it's an insult kwa government, before opening his dirty mouth , inatakiwa aangalie who is he and the impact he has on society .

Do you know kwa kiasi gan amechafua image ya kampuni? , mi nataka tu aseme sehemu kuwa alishatuma complaints but wakampuuza ndo akaamua ku publicize his complaints .

No matter how much you have , if you are intellectually dumb , I rate you 0%, diamond is one of those stupid ass nigga , he is trying to battle with government while his emotionally intelligence is fucked up

Aangalie wenzie akina joh makin hoja zao wanavyojielezea, akina fid Q to mention the few . Sio yeye akili hana
konki masta anakutafuta habari zako anazo.
 
Mshambuliaji Mbwana Samatta na klabu yake ya Genk wapangwa na Slavia Prague wakati Arsenal akipewa BATE Borisov na Chelsea ikitupwa kwa Malmo katika hatua ya 32 bora ya Europa Ligi.

Samatta aliiongoza Genk kumaliza wakiwa vinara wa kundi lake hivyo mechi hiyo ya mtoano wataanzia ugenini kati ya Februari 14-21, 2019.

Katika msimu huu Samatta amecheza mechi 23 za mashindano yote na kufunga mabao 15, kati hayo magoli matatu amefunga katika Europa Ligi.
Draw ya Uefa umeiona?
 
Ok.
Kama walichelewa hazikutakiwa kuuzwa bali ndege ingeondoka na empty seats ambazo zilishalipiwa.
Bwana almasi ameeleza vizuri tu kwamba hawakuchelewa ila ticket zao ziliuzwa kinyume na taratibu labda kutokana na usafiri wa ndege kuwa issue baada ya fastjet kula kona
 
Kuna sehemu hapo inasema kapiga simu?
Kwa jinsi ulivyosifia kwamba wenye Iphone X mmetulia ila wenye Tecno wanapiga piga sana picha, ni kiasi kwamba hio Iphone X ina u special sana kuliko simu zingine ndipo nikapata uliza swali hilo...
 
He should address the issue kwa wahusika, kuja kwenye mitandao and start public shaming kampuni kubwa na changa kama ile , it's an insult kwa government, before opening his dirty mouth , inatakiwa aangalie who is he and the impact he has on society .

Do you know kwa kiasi gan amechafua image ya kampuni? , mi nataka tu aseme sehemu kuwa alishatuma complaints but wakampuuza ndo akaamua ku publicize his complaints .

No matter how much you have , if you are intellectually dumb , I rate you 0%, diamond is one of those stupid ass nigga , he is trying to battle with government while his emotionally intelligence is fucked up

Aangalie wenzie akina joh makin hoja zao wanavyojielezea, akina fid Q to mention the few . Sio yeye akili hana
kwamba kampuni KUBWA na CHANGA kama ile!!!
 
Kumbe una tecno pole,ila dont panic ee simu ni simu
Kwa jinsi ulivyosifia kwamba wenye Iphone X mmetulia ila wenye Tecno wanapiga piga sana picha, ni kiasi kwamba hio Iphone X ina u special sana kuliko simu zingine ndipo nikapata uliza swali hilo...
 
Kumbe una tecno pole,ila dont panic ee simu ni simu
Wewe unayo hio iphone X mkuu? Mimi situmii Tecno kama u mzoefu na simu unaweza ona hio UI ni ya simu ya aina gani
 
Attachments

  • Screenshot_20181217-204523_Samsung Experience Home.jpg
    Screenshot_20181217-204523_Samsung Experience Home.jpg
    63.5 KB · Views: 19
Huyo dogo bado uchokoraa ha haujamuisha. Mashamba japo anaweza dhani ni mjanja.
 
Hawajui kama unaeza kutumia gitaa lako kuharibu au kutengeneza shirika hili.. wanamziki ni sumu anachosema kinaaminika sana
Hawezi, badala yake serikali inaweza kumshusha to zero ndani ya sekunde. Ni mjinga tu anayeweza kupambana na serikali
 
Oi rudisha simu ya watu dah kisa tecno umeenda azima uje uringishie
Wewe unayo hio iphone X mkuu? Mimi situmii Tecno kama u mzoefu na simu unaweza ona hio UI ni ya simu ya aina gani
 
Back
Top Bottom