Hii maswala ya kuogopa kukosoa watumishi wa serikali wakikosea ni tabia ya kipuuzi na inalea uozo.Lack of education , lack of integrity . Diamond Platnum has to be more prudent concerning mambo ya serikali, I have been watching lately , amekua akijifanya mdomo mdomo simply because of his tittle . He has to watch out , he is too young n soft to battle with Jmagufuli
Even though he has encountered such problem at the airport , he was supposed to send the complaints kwa wahusika by writing emails , wangempuuza ndo angekua na haki ya kuongea in public , hyo management yake fucken stupid .
Walichofanya hao wafanyakazi wa ATCL hakikubaliki na ni makosa makubwa.
Na hapo Diamond kapambanaje na JPM?
Una maana JPM ndio anawatuma wafanye huo upuuzi wa hapo airport?
Au una lako jingine nyuma ya pazia ndugu yangu?