naumbu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 4,717
- 8,083
Hivi wewe na Mange mlichukuliana bwana na Domo?Sababu umeshaitaja hapo juu si ya bi mkubwa na umeme wa tanesco ee. Mond ana hela juzi tu kadisplay mabunda(mkaanza mlinganisha na bondia tajiri) si angekodi chopa kuondoa usumbufu jamani
Meneja hawajatimiza wajibu wao la sivyo jamaa asingelia lia mitandaoni