Ufafanuzi wa hii number plate WWD 83320

Mko makini sana kufuatilia Mambo ya kijingajinga. Laiti mngekuwa hodari kama hivi kufuatilia kanuni/policies gani za kiuchumi zitaboresha maisha ya watanzania tungekuwa mbali Sana .
Nashangaa umekuja fanya nini huku. Nenda kwenye majukwaa ya uchumi huko. Ukiwa kwenye policies za uchumi wewe unatosha.
 

Ndio maana nikasema, kama taratibu zimebadilika, hapo sawa. Na mie naongelea wakati huo ukaguzi ulikua unafanyika Japan ( gari ilikotoka). Gari iliruhusiwa kuwepo barabarani mchana.

Nimeshakutana nao mara mbili walichoomba ni makaratari ya uhalali wa kuonyesha imeingia lini na mambo ya TRA.

Wengibe waliomba tu pesa ya maji kama chenji imebaji baada ya kujiridhisha na makaratasi.

Lakini kwa maelezo yako inaleta tija, gari inatakuwa iwe kamili kwenye usajili ndio ianze misele barabarani.
 
Kaka kuna mahala unapotosha..!! Chasis number unaruhusiwa kutembea nayo kuanzia Saa 12 asubuhi mpaka Saa 12 jioni. Na unaruhusiwa kutembea na Chasis number kwa muda usiozidi siku 7 tangu gari itoke bandarini au Show room. Na siyo gari zote za Yard / Showroom zimeshasajiliwa TRA
 
Hio najua ila sheria hairuhusu kutembea na kibao chenye chasis mzeee ndomana police wakikudaka hawakuachi hvhv
Ukiwa unatumia chasis hautakiwi kuendesha zaidi ya saa 12 jioni tofauti na hapo polisi wanakukamata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…