Gari mpaka inatoka bandarin inatakiwa iwe imepass kila kitu yani ukimalizana na tbs nenda tra ukapewe registration No, then bandika ingia road. Gari inayotoka yard inakua tayar imesajilwa kinachobaki ni wewe kwenda kubadili umiliki tu vibao vinakwepo ndomana ukinunua gari yard huwez kuwa na registration no mpya kama mtu anae import mwenyew coz yard wanaagiza then wanasajili kabisa.
Gari kma haijapass tbs maybe ubadilishe tair ndo wakupe certificate inatakiwa uipark sehem na sio kuzurura nayo mjin kinyume na hapo ni kosa kisheria ndugu zako wale weupe wakikudaka nayo mwenge sijui wapi lazma wakuzingue tu