Kwa gharama zipi, na pia uliowataja hapo hawakuwahi kuambatana na wazazi wao katika ziara za kiserikali unatoa mifano mfu yenye mihemko ndani yake.Ndugu zangu Watanzania,
Najua Kila Mtanzania anafahamu ,kuelewa na kutambua Ya kuwa Ndugu Abdul Ni Mtoto Wa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Wa Taifa Letu. Rais Samia Ni Pamoja na Familia yake ikiwa pamoja na Mume wake na watoto wake.
Hakuna msitari unaomtenganisha Rais Samia na watoto wake akiwepo Abdul Mwenyewe. Rais Samia anabakia kuwa Mama katika Familia yake ,Mlezi na mfano wa Kuigwa kwa Familia Yake. Rais Samia anayo Haki ya Kiasili kabisa kama ilivyo kwa Mtoto wake ambaye naye anayo haki ya kiasili kabisa kuwa na Mama yake karibu.
Hakuna sheria yoyote ile ndani ya katiba yetu na sheria yoyote ile ndani ya Ardhi ya Taifa letu inayomzuia Rais Wa Nchi kuambatana na Watoto wake sehemu yoyote ile Aendayo. Ni katika muktadha huo Tumekuwa sote tukiona Viongozi kama Donald Trump akiambatana na watoto wake hadi wakwe zake maeneo mbalimbali Duniani. Tena siyo tu kuambatana bali hadi kuwapa nafasi ndani ya serikali na ndani Ya Ikulu ya Whitehouse House.
Nikatika muktadha huu ndio maana watoto wengi sana Duniani kote hujikuta wakipita njia walizopitia wazazi wao na kuingia katika kazi walizofanya wazazi wao. Kwa sababu kila mtoto hujikuta akivutiwa na kazi afanyazo mzazi wake .
Ndio Maana Dunia ilishuhudia George Bush akiwa Rais wa Marekani kama ilivyokuwa kwa Baba yake . uhuru Kenyatta akiwa Rais wa Kenya kama ilivyokuwa kwa Baba yake,. Hussein Mwinyi akiwa Rais wa Zanzibar kama ilivyokuwa kwa Baba yake. Kuna pia watoto wa wanajeshi ambao nao wamejikuta wamekuwa wanajeshi baada ya kupenda kazi za wazazi wao.
Vivyo hivyo utaenda kwa madaktari utakuta na watoto wao nao ni madaktari,kama ilivyo kwa walimu kuona na kukuta watoto wao nao ni walimu ,kama ilivyo kwa wazazi madereva kukuta watoto wao nao wakirithi kazi za baba zao ,kama ilivyo kwa wavuvi kukuta watoto wao nao wakiwa wavuvi . Kama ilivyo kwa polisi kukuta watoto wao ni askari.
Kwa Hiyo Ndugu Abduli anayo haki ya kiasili kabisa kuambatana na Mama yake popote pale Duniani na hata kutambulishwa kwa heshima zote. Kwa Hiyo Mlitaka akiambatana Naye amuache mtoto wake uchochoroni? Mlitaka afungiwe kwenye Mabegi? Obama alipokuja hapa Nchini Hamkuwaona watoto wake? Je hamkumuona Binti wa William Rutto akiwa kule Uganda pamoja na Mkuu wa Majeshi wa Nchi hiyo?
Acheni wivu na chuki binafsi, acheni roho za kwanini. Umasikini wako hautaondoka kwa kumuonea mtu wivu ama kumchukia mtu. Hivi kwa akili za kawaida unafikiri Rais Wetu anaweza kushindwa kumlipia nauli mtoto wake?
Nani kakuambia kuwa Rais Samia kuwa Rais kumemuengua na kumuondolea haki ya kuwa karibu ma Famia yake na wajibu wake kwa Familia kama Mzazi? MnataKa watoto wake Waishi kama Yatima angali Hai?
Nakuja kuendelea
Wewe achana na mambo rahisi kama haya, kuna mambo mazito sana ya ku deal nayo kuliko hilo la mtoto, ambalo halina athari ya moja kwa moja kwako wala kwangu. Watanzania tuhamishwa kwa mambo madogo madogo sanaa kama haya na huku tunaacha mambo mazito kabisaSawa aseme wazi basi mwanae ni mwajiriwa wa timu ya usalama iwe wazi kuliko kuzua taharuki.
Kusafiri na mtoto sawa ila mtoto kuwa kwenye line ya delegation sio sawa bila kujua anahusika na nini,
au hujui hao wengine wapo hapo kwa ajili gani?
sawa mkuu nimekuelewa sana, off course hii ziara yote ni utopolo mtupu.Wewe achana na mambo rahisi kama haya, kuna mambo mazito sana ya ku deal nayo kuliko hilo la mtoto, ambalo halina athari ya moja kwa moja kwako wala kwangu. Watanzania tuhamishwa kwa mambo madogo madogo sanaa kama haya na huku tunaacha mambo mazito kabisa
Wamepiga picha na Putinsawa mkuu nimekuelewa sana, off course hii ziara yote ni utopolo mtupu.
Umekuwa msemaji wa Samia?Ndugu zangu Watanzania,
Najua Kila Mtanzania anafahamu ,kuelewa na kutambua Ya kuwa Ndugu Abdul Ni Mtoto Wa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Wa Taifa Letu. Rais Samia Ni Pamoja na Familia yake ikiwa pamoja na Mume wake na watoto wake.
Hakuna msitari unaomtenganisha Rais Samia na watoto wake akiwepo Abdul Mwenyewe. Rais Samia anabakia kuwa Mama katika Familia yake ,Mlezi na mfano wa Kuigwa kwa Familia Yake. Rais Samia anayo Haki ya Kiasili kabisa kama ilivyo kwa Mtoto wake ambaye naye anayo haki ya kiasili kabisa kuwa na Mama yake karibu.
Hakuna sheria yoyote ile ndani ya katiba yetu na sheria yoyote ile ndani ya Ardhi ya Taifa letu inayomzuia Rais Wa Nchi kuambatana na Watoto wake sehemu yoyote ile Aendayo. Ni katika muktadha huo Tumekuwa sote tukiona Viongozi kama Donald Trump akiambatana na watoto wake hadi wakwe zake maeneo mbalimbali Duniani. Tena siyo tu kuambatana bali hadi kuwapa nafasi ndani ya serikali na ndani Ya Ikulu ya Whitehouse House.
Nikatika muktadha huu ndio maana watoto wengi sana Duniani kote hujikuta wakipita njia walizopitia wazazi wao na kuingia katika kazi walizofanya wazazi wao. Kwa sababu kila mtoto hujikuta akivutiwa na kazi afanyazo mzazi wake .
Ndio Maana Dunia ilishuhudia George Bush akiwa Rais wa Marekani kama ilivyokuwa kwa Baba yake . uhuru Kenyatta akiwa Rais wa Kenya kama ilivyokuwa kwa Baba yake,. Hussein Mwinyi akiwa Rais wa Zanzibar kama ilivyokuwa kwa Baba yake. Kuna pia watoto wa wanajeshi ambao nao wamejikuta wamekuwa wanajeshi baada ya kupenda kazi za wazazi wao.
Vivyo hivyo utaenda kwa madaktari utakuta na watoto wao nao ni madaktari,kama ilivyo kwa walimu kuona na kukuta watoto wao nao ni walimu ,kama ilivyo kwa wazazi madereva kukuta watoto wao nao wakirithi kazi za baba zao ,kama ilivyo kwa wavuvi kukuta watoto wao nao wakiwa wavuvi . Kama ilivyo kwa polisi kukuta watoto wao ni askari.
Kwa Hiyo Ndugu Abduli anayo haki ya kiasili kabisa kuambatana na Mama yake popote pale Duniani na hata kutambulishwa kwa heshima zote. Kwa Hiyo Mlitaka akiambatana Naye amuache mtoto wake uchochoroni? Mlitaka afungiwe kwenye Mabegi? Obama alipokuja hapa Nchini Hamkuwaona watoto wake? Je hamkumuona Binti wa William Rutto akiwa kule Uganda pamoja na Mkuu wa Majeshi wa Nchi hiyo?
Acheni wivu na chuki binafsi, acheni roho za kwanini. Umasikini wako hautaondoka kwa kumuonea mtu wivu ama kumchukia mtu. Hivi kwa akili za kawaida unafikiri Rais Wetu anaweza kushindwa kumlipia nauli mtoto wake?
Nani kakuambia kuwa Rais Samia kuwa Rais kumemuengua na kumuondolea haki ya kuwa karibu ma Famia yake na wajibu wake kwa Familia kama Mzazi? MnataKa watoto wake Waishi kama Yatima angali Hai?
Nakuja kuendelea
Ulitaka akae Kwenye Buti la gariSawa aseme wazi basi mwanae ni mwajiriwa wa timu ya usalama iwe wazi kuliko kuzua taharuki.
Kusafiri na mtoto sawa ila mtoto kuwa kwenye line ya delegation sio sawa bila kujua anahusika na nini,
au hujui hao wengine wapo hapo kwa ajili gani?
Ungeacha wenye akili Timamu na wanaojitambua wajadili hojaUmekuwa msemaji wa Samia?
Mimi sitafuti UteuziSawa mwashambwa,pata teuzi;
Marekani mbali huko, nitajie rais yeyote mtangulizi ktk taifa letu ambaye amewahi kufanya ujinga huu wa kusafiri na mwanae??.Trump anatembea na watoto wake
Embu tuondolee kelele zako humu. Watu tunawaza mambo ya maana,wewe unatuletea mambo ya kipumbavu!Ndugu zangu Watanzania,
Najua Kila Mtanzania anafahamu ,kuelewa na kutambua Ya kuwa Ndugu Abdul Ni Mtoto Wa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Wa Taifa Letu. Rais Samia Ni Pamoja na Familia yake ikiwa pamoja na Mume wake na watoto wake.
Hakuna msitari unaomtenganisha Rais Samia na watoto wake akiwepo Abdul Mwenyewe. Rais Samia anabakia kuwa Mama katika Familia yake ,Mlezi na mfano wa Kuigwa kwa Familia Yake. Rais Samia anayo Haki ya Kiasili kabisa kama ilivyo kwa Mtoto wake ambaye naye anayo haki ya kiasili kabisa kuwa na Mama yake karibu.
Hakuna sheria yoyote ile ndani ya katiba yetu na sheria yoyote ile ndani ya Ardhi ya Taifa letu inayomzuia Rais Wa Nchi kuambatana na Watoto wake sehemu yoyote ile Aendayo. Ni katika muktadha huo Tumekuwa sote tukiona Viongozi kama Donald Trump akiambatana na watoto wake hadi wakwe zake maeneo mbalimbali Duniani. Tena siyo tu kuambatana bali hadi kuwapa nafasi ndani ya serikali na ndani Ya Ikulu ya Whitehouse House.
Nikatika muktadha huu ndio maana watoto wengi sana Duniani kote hujikuta wakipita njia walizopitia wazazi wao na kuingia katika kazi walizofanya wazazi wao. Kwa sababu kila mtoto hujikuta akivutiwa na kazi afanyazo mzazi wake .
Ndio Maana Dunia ilishuhudia George Bush akiwa Rais wa Marekani kama ilivyokuwa kwa Baba yake . uhuru Kenyatta akiwa Rais wa Kenya kama ilivyokuwa kwa Baba yake,. Hussein Mwinyi akiwa Rais wa Zanzibar kama ilivyokuwa kwa Baba yake. Kuna pia watoto wa wanajeshi ambao nao wamejikuta wamekuwa wanajeshi baada ya kupenda kazi za wazazi wao.
Vivyo hivyo utaenda kwa madaktari utakuta na watoto wao nao ni madaktari,kama ilivyo kwa walimu kuona na kukuta watoto wao nao ni walimu ,kama ilivyo kwa wazazi madereva kukuta watoto wao nao wakirithi kazi za baba zao ,kama ilivyo kwa wavuvi kukuta watoto wao nao wakiwa wavuvi . Kama ilivyo kwa polisi kukuta watoto wao ni askari.
Kwa Hiyo Ndugu Abduli anayo haki ya kiasili kabisa kuambatana na Mama yake popote pale Duniani na hata kutambulishwa kwa heshima zote. Kwa Hiyo Mlitaka akiambatana Naye amuache mtoto wake uchochoroni? Mlitaka afungiwe kwenye Mabegi? Obama alipokuja hapa Nchini Hamkuwaona watoto wake? Je hamkumuona Binti wa William Rutto akiwa kule Uganda pamoja na Mkuu wa Majeshi wa Nchi hiyo?
Acheni wivu na chuki binafsi, acheni roho za kwanini. Umasikini wako hautaondoka kwa kumuonea mtu wivu ama kumchukia mtu. Hivi kwa akili za kawaida unafikiri Rais Wetu anaweza kushindwa kumlipia nauli mtoto wake?
Nani kakuambia kuwa Rais Samia kuwa Rais kumemuengua na kumuondolea haki ya kuwa karibu ma Famia yake na wajibu wake kwa Familia kama Mzazi? MnataKa watoto wake Waishi kama Yatima angali Hai?
Nakuja kuendelea
Msemaji wa familia ya Samia na serikali ya Samia.Ndugu zangu Watanzania,

Sasa kama sio kutafuta utezi, mbona unaelezea mpaka unabubujikwa na machozi ya furaha!Mimi sitafuti Uteuzi
Sio ujinga, kila jambo lina mwanzo. Ndio kaanzia Samia sasa na wengine watafataMarekani mbali huko, nitajie rais yeyote mtangulizi ktk taifa letu ambaye amewahi kufanya ujinga huu wa kusafiri na mwanae??.
Au kumpa cheo mwanae.
Ukiondoa uchawa, aisee huyu mama hatoshi kabisa kuwa kiongozi mkuu wa nchi, hajui kujiongeza hata kdg matokeo yake anakosolewa (kwa hoja) kila leo!!.
Na akikosolewa, solution (kwa akili yake ndg) ni kuteka, kubambikia watu kesi nk nk ili kunyamazisha ukosoaji.
Taifa letu lina hasara sana kupata awamu hii ya 6!!!.
Amesafiri kwa pesa za walipa kodi au pesa za mama yake? Yeye si sehemu ya utawala na safari ni ya kiserikali si safari binafsi, huo ni ufujaji wa mali na rasilimali za umma.Ndugu zangu Watanzania,
Najua Kila Mtanzania anafahamu ,kuelewa na kutambua Ya kuwa Ndugu Abdul Ni Mtoto Wa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Wa Taifa Letu. Rais Samia Ni Pamoja na Familia yake ikiwa pamoja na Mume wake na watoto wake.
Hakuna msitari unaomtenganisha Rais Samia na watoto wake akiwepo Abdul Mwenyewe. Rais Samia anabakia kuwa Mama katika Familia yake ,Mlezi na mfano wa Kuigwa kwa Familia Yake. Rais Samia anayo Haki ya Kiasili kabisa kama ilivyo kwa Mtoto wake ambaye naye anayo haki ya kiasili kabisa kuwa na Mama yake karibu.
Hakuna sheria yoyote ile ndani ya katiba yetu na sheria yoyote ile ndani ya Ardhi ya Taifa letu inayomzuia Rais Wa Nchi kuambatana na Watoto wake sehemu yoyote ile Aendayo. Ni katika muktadha huo Tumekuwa sote tukiona Viongozi kama Donald Trump akiambatana na watoto wake hadi wakwe zake maeneo mbalimbali Duniani. Tena siyo tu kuambatana bali hadi kuwapa nafasi ndani ya serikali na ndani Ya Ikulu ya Whitehouse House.
Nikatika muktadha huu ndio maana watoto wengi sana Duniani kote hujikuta wakipita njia walizopitia wazazi wao na kuingia katika kazi walizofanya wazazi wao. Kwa sababu kila mtoto hujikuta akivutiwa na kazi afanyazo mzazi wake .
Ndio Maana Dunia ilishuhudia George Bush akiwa Rais wa Marekani kama ilivyokuwa kwa Baba yake . uhuru Kenyatta akiwa Rais wa Kenya kama ilivyokuwa kwa Baba yake,. Hussein Mwinyi akiwa Rais wa Zanzibar kama ilivyokuwa kwa Baba yake. Kuna pia watoto wa wanajeshi ambao nao wamejikuta wamekuwa wanajeshi baada ya kupenda kazi za wazazi wao.
Vivyo hivyo utaenda kwa madaktari utakuta na watoto wao nao ni madaktari,kama ilivyo kwa walimu kuona na kukuta watoto wao nao ni walimu ,kama ilivyo kwa wazazi madereva kukuta watoto wao nao wakirithi kazi za baba zao ,kama ilivyo kwa wavuvi kukuta watoto wao nao wakiwa wavuvi . Kama ilivyo kwa polisi kukuta watoto wao ni askari.
Kwa Hiyo Ndugu Abduli anayo haki ya kiasili kabisa kuambatana na Mama yake popote pale Duniani na hata kutambulishwa kwa heshima zote. Kwa Hiyo Mlitaka akiambatana Naye amuache mtoto wake uchochoroni? Mlitaka afungiwe kwenye Mabegi? Obama alipokuja hapa Nchini Hamkuwaona watoto wake? Je hamkumuona Binti wa William Rutto akiwa kule Uganda pamoja na Mkuu wa Majeshi wa Nchi hiyo?
Acheni wivu na chuki binafsi, acheni roho za kwanini. Umasikini wako hautaondoka kwa kumuonea mtu wivu ama kumchukia mtu. Hivi kwa akili za kawaida unafikiri Rais Wetu anaweza kushindwa kumlipia nauli mtoto wake?
Nani kakuambia kuwa Rais Samia kuwa Rais kumemuengua na kumuondolea haki ya kuwa karibu ma Famia yake na wajibu wake kwa Familia kama Mzazi? MnataKa watoto wake Waishi kama Yatima angali Hai?
Nakuja kuendelea
Hivi kwa akili yako unafikiri Rais Samia anaweza kushindwa Kumlipia Mwanae Nauli? Abduli ni Sehemu ya Rais Samia . Amani ya Taifa ni pamoja na Rais kuwa na Utulivu wa akili na Amani ya Moyo . Ambapo amani na utulivu wa Rais ni pamoja na kuona Familia yake ikiwa katika hali ya amani na usalama na yenye afya njemaAmesafiri kwa pesa za walipa kodi au pesa za mama yake? Yeye si sehemu ya utawala na safari ni ya kiserikali si safari binafsi, huo ni ufujaji wa mali na rasilimali za umma.
Justifying the sabotaging of country's finances eti kwa kuwa Trump huwa naye sometimes anasafiri na family members ni upunguani uliokithiri, katiba, sheria na miongozo yao na yetu havifanani kabisa. Mbona hatuwaigi kuhusu gays' rights kama kila jambo wao ndiyo reference.
Wewe huna akili hata kidogo una mamakasi tu humo kichwani mwako.Ungeacha wenye akili Timamu na wanaojitambua wajadili hoja
Umesamehewa bure kabisa maana hujui ulitendaloWewe huna akili hata kidogo una mamakasi tu humo kichwani mwako.
Msemaji wa kujitegemea kwa malipo ya buku 7Unatoa ufafanuzi kama msemaji wa hiyo familia au msemaji wa serikali?