Ufafanuzi wa kisheria watolewa kufuatia kujiondoa kwa Jaji Elinaza Luvanda kesi ya uhujumu uchumi na ugaidi wa Freeman Mbowe na wenzake..

Haya ni maoni ya mtu aliyevimbiwa kiporo cha makande yaliyochacha
 
Amina. Haki huinua Taifa.
 
Kaka tatizo tunakuwa wanaharakati zaidi bila kujua namna ya kutafsiri haki za kikatiba, naomba usome ibara ya 30 ya katiba utaelewa vizuri andiko langu.kikubwa ni kuwa haki,uhuru haviko absolute, kwamba kwakuwa una haki ya mikutano ama maandamano sasa ukaonyesha na viashiria vya kuvunja amani/utulivu kwa mwamvuli wa katiba, uzuri sasa katiba yenyewe imetoa exceptions to the general rule and that is article 30... na ndio maana kuna vyombo na taasisi za serikali ambazo zimepewa jukumu la kuweka law and order in case ya viashiria vyovyote. be so informed
 
Sioni kama marehemu atafufuka hapa mnachelewesha mazishi , kurefusha matanga na kuwachosa walala matanga
 
Is not about vijana wa CHADEMA. It's about mtu yeyote ukiwemo wewe "mtu wa CCM" kujua na kuelewa inapotokea hivi ktk kesi yoyote kisheria inakuwa na maana gani...

Ni bahati mbaya sana kwako unayejinasibu kama Mwanasheria na mshauri wa kisheria unatoa argument inayonukia itikadi za kisiasa badala ya kutumia ufahamu wako wa sheria kuelimisha wasio na basics za kisheria...
 
Taaluma ya sheria inatumika vibaya tanzania na mawakili wa hovyo kama Mh.Kibatala
 
Hii kesi serikali haina ujanja. Kwa tukio hili, sasa imethibitika bila shaka kuwa hii kesi ni ya kubumba...

Lolote litakalotokea, WATU WOTE DUNIANI KOTE NA WAJUE HIVYO...!

By the way, kila mtu alishangaa sana kwa Jaji huyu kujitoa kirahisi kwa namna ile kwa hoja za mshtakiwa jambo ambalo huwa ni gumu sana kwa mahakimu/majaji wengi unless kuwe na debate ili kuthibitisha sababu ya kumtaka Jaji/hakimu kukaa pembeni....

Ni wazi serikali inawapa wakati mgumu sana majaji/mahakimu pale inapowatengenezea mazingira ya kuwalazimisha kupindisha sheria na haki ktk mahakama zetu kwa maslahi ya watawala...

Hii Mungu haipendi na haitaki asilani. Lazima wapigwe upofu na wapoteane kabisa...
 
Kwa hyo...?akili za kichattle hizi.
 
Hiyo ni aibu kubwa sn kwa mahakama kama hujui
 
Kuanzia yule bibi katili apate hata ajali
 
Taaluma ya sheria inatumika vibaya tanzania na mawakili wa hovyo kama Mh.Kibatala

Really..?

Uko timamu kweli wewe katika ufahamu wako..?

Wakati mwingine ujifunze kusikiliza wenzako wanapozungumza ili uelewe ili uchangie hoja kama mtu mwenye akili timamu...!

Hapa hujasoma wala kumsikiliza wakili Peter Madeleka na Fatima Karume. Umejibu kwa msikumo yako binafsi tu...

Pole sana..
 
Maoni yako siyo, hayaendani na sheria (PPA #5/1992 RE 2019).
 
Wanajilisha tu ujinga ambao unamgharimu Mbowe. Ataozea rumande
Pamoja na fikra zako dhaifu kama hizi, hebu jibu swali hili kwa ufasaha kama una akili huru na timamu kweli;

Kwamba, unadhani ni kwa nini serikali ilipeleka hati mbovu mahakamani..?
 
Wanasheria wa hovyo kama Lissu wanachafua nafasi ya sheria katika jamii
 
Fatuma kasema kujitoa ka jaji si sawa na kusema jaji kakiri kuwa yeye ana upendeleo.
 
mnapewa kamba ndefu lakini ndo yuko ndani hivyo huyo gaidi
 
Wanamuonea bure Mbowe sababu wana Dola...m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…