Ufafanuzi wa leseni za Magari ya Barabarani

*Kwenye madaraJa "A
Ni madaraja ya pikipki ila ukiendq kusoma kuendesha pikipiki unapewa daraja "A plain ila ukisoma na Bajaj ynapewa madaraja yote ya "A
Hapa mkuu sijakuelewa labda ungenifafanulia tena vizuri kidogo uniweke sawa yaan ukisomea udereva wa pikipiki unapewa Class A tu ila ukisomea na Bajaj unapewa A1, A2 na A3 maana yake inabidi ukishasomea pikipiki usomee na Bajaj pia ndio ujaziwe madaraja yote kwenye leseni?
 
Ndiyo ivyo
Kwasababu daraja A ni pikipiki tu ila A2 ni bajaj ila ikiwa umesoma bajaj unaweza kupwa A zote lakini ukisoma pikipiki hupewi zote
 
Back
Top Bottom