Hapa mkuu sijakuelewa labda ungenifafanulia tena vizuri kidogo uniweke sawa yaan ukisomea udereva wa pikipiki unapewa Class A tu ila ukisomea na Bajaj unapewa A1, A2 na A3 maana yake inabidi ukishasomea pikipiki usomee na Bajaj pia ndio ujaziwe madaraja yote kwenye leseni?