asante mkuu kwanza mi niliskia ni saa 10 alfajir nikajua ni yaleyele ya upopo kumbe12
Habari wadau,
Kumekuwa na kujichanganya sana kuhusu muda wa pambano la "The Fight of The Century".Ukweli ni kwamba kwa huku kwetu Pambano sio Tarehe 2 bali ni Tarehe 3 saa kumi na mbili asubuhi ndio pambano linaanza ila milango itafunguliwa kwa huku kwetu saa saba(1:00 AM) usiku wa kuamkia tarehe 3.
kuna uzi nimeupitia wanasema ni saa 9 usiku ambayo kwa masaa 24 itakua ni jumapili tar 2 hii imekaaje
huo muda itakuwa mi live, usicheze mbali na supersport wataonesha.
acha kudanganya watu pambano litaanza SAA 10 Alfajiri
King'amuzi cha star times hakionyeshi?
Mkuu mbona nishasema mda,rudia kusoma tena thread.....Ni [h=2]Tarehe 3 May saa 6:00 AM(Asubuhi).[/h]