Ufafanuzi wa mda wa Pambano la Mayweather Jr Vs Manny Pac

Ufafanuzi wa mda wa Pambano la Mayweather Jr Vs Manny Pac

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
6,780
Reaction score
5,305
Habari wadau,

Kumekuwa na kujichanganya sana kuhusu muda wa pambano la "The Fight of The Century".Ukweli ni kwamba kwa huku kwetu Pambano sio Tarehe 2 bali ni Tarehe 3 saa kumi na mbili asubuhi ndio pambano linaanza ila milango itafunguliwa kwa huku kwetu saa saba(1:00 AM) usiku wa kuamkia tarehe 3.
 
SS6 wataonesha kwa muda tajwa hapo juu

Wengine wanajua ni tarehe mbili asubuhi,wakumbuke kwamba sie(TZ) na Las Vegas,Nevada Tumewazidi Masaa 10...Yaani tupo Mbele Masaa 10.
 
asante mkuu kwanza mi niliskia ni saa 10 alfajir nikajua ni yaleyele ya upopo kumbe12

Milango inafunguliwa kwa kwao ni Jumamosi saa nane mchana(2PM Kwa Nevada,Huku kwetu ni Saa 7 Usiku),Pambano lao linaanza saa mbili usiku(8PM) kwa Nevada May 2 kwa huku kwetu ni May 3 saa Kumi na mbili Asubuhi.
 
Habari wadau,

Kumekuwa na kujichanganya sana kuhusu muda wa pambano la "The Fight of The Century".Ukweli ni kwamba kwa huku kwetu Pambano sio Tarehe 2 bali ni Tarehe 3 saa kumi na mbili asubuhi ndio pambano linaanza ila milango itafunguliwa kwa huku kwetu saa saba(1:00 AM) usiku wa kuamkia tarehe 3.

kuna uzi nimeupitia wanasema ni saa 9 usiku ambayo kwa masaa 24 itakua ni jumapili tar 2 hii imekaaje
 
Super sport Tanzania na Afrika inabidi waelimishe watu kuhusu muda maana .....
 
kuna uzi nimeupitia wanasema ni saa 9 usiku ambayo kwa masaa 24 itakua ni jumapili tar 2 hii imekaaje

Jumapili kwa Huku kwetu ni Tarehe 3 na si mbili,hata kwao USA tarehe mbili ni Jumamosi,Pambano linaanza Usiku wa Kuamkia Tarehe 3(Kuamkia J2) kuanzia saa 7 usiku milango inapoanza kufunguliwa ila kama hautaki kuhamsha popo unaweza ukaamka saa kumi na mbili asubuhi J2 na kucheck pambano la PAC vs TMT.
 
huo muda itakuwa mi live, usicheze mbali na supersport wataonesha.
 
Iyo imekaa vizuri mno,na ni mda poa sana kama itakuwa live na cyo recorded.
 
acha kudanganya watu pambano litaanza SAA 10 Alfajiri

Ndio maana nimefungua thread kuwaelimisha watu kama Nyinyi....Hayo unayoyazungumzia yanaanza saa kumi ni ya utangulizi,Milango inaanza kufunguliwa saa 7 usiku,nimesema kabisa mwanzo wa thread,mie nazungumzia pambano la PAC MAN vs TMT lenyewe linaanza saa 12 Asubuhi.
 
Back
Top Bottom