Ngaramtoni
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 430
- 61
SAA kumi alfajiri ambayo ni tarehe Tatu.
mimi na ww tutapigana mda gani
Mpambano huu utakuwa na mapambano ya utangulizi kama matatu au mawili sina hakika. Wanaweza kuanza kuonyesha tangia saa 9,10 au 11 alfajiri ya Bongo. Sasa kutegemea hayo mapambano ya utangulizi yatakavyochukua muda, yaani kama kuna KO ya mapema pambano litaisha mapema au kama round zote pambano litachelewa. Muda utayochukua mapambano ya utangulizi ndio yata-determine muda wa 'fight of the century'. Inaweza ikawa saa 12 au 12 na nusu au hata kumi na moja na nusu etc. Kama unataka kuona mpambano nakushauri uwe karibu na TV tangu saa 11 alfajiri.
Kuondoa utata kaa kwenye Luninga kuanzia saa tisa usiku.....kama unataka kuangalia LIVE......kama kweli ni mshabiki kukesha mpaka saa moja haisumbui, vinginevyo lala mwaya tutakuamsha...wengine ndio tushaamua hakuna kulala.....
Endeleeni na ubishi wa ajabu wakati pambano lemeahilishwa
Pambano la utangulizi ndio atapigana Matumla?
Huku Rwanda sijui itakuwa ni saangapi!.
Saa 1 asubuhi
Wadau hili pambano litakua muda gan wa hapa bongo na ni tv station gan watarusha live