Ufafanuzi wa mda wa Pambano la Mayweather Jr Vs Manny Pac

Ufafanuzi wa mda wa Pambano la Mayweather Jr Vs Manny Pac

kwa mujibu wa supersport 2 na supersport 6,wameonyesha pambano litakuwa saa tisa na nusu usiku kuamkia Jumapili,sasa kama kuakuwa na mapambano ya utangulizi toka saa tisa na nusu hadi saa kumi na mbili asubuhi ndo pambano kuu lipigwe hapo sina hakika na hilo.kwamba kutakuwpo na mapambano ya utangulizi,hilo ni lazima,ambacho siwezi kuwaambia ni yatachukua muda gani
 
Naamka saa 11 alfajir ila nimeshidwa kupata luku na hapa mita imebaki.na uniti 2.tu

Maanina tanesco
 
Weka simu yako alam au vipi ni pm number yako nikutwangie
 
Mpambano huu utakuwa na mapambano ya utangulizi kama matatu au mawili sina hakika. Wanaweza kuanza kuonyesha tangia saa 9,10 au 11 alfajiri ya Bongo. Sasa kutegemea hayo mapambano ya utangulizi yatakavyochukua muda, yaani kama kuna KO ya mapema pambano litaisha mapema au kama round zote pambano litachelewa. Muda utayochukua mapambano ya utangulizi ndio yata-determine muda wa 'fight of the century'. Inaweza ikawa saa 12 au 12 na nusu au hata kumi na moja na nusu etc. Kama unataka kuona mpambano nakushauri uwe karibu na TV tangu saa 11 alfajiri.

Yaani majority ya wapenzi wa hili pambano tutaangalia marudio..mda huo wa kumi na moja au kumi na mbili baa za uswazi zimefungwa.....ingekuwa saa saba usiku baa zote zingekesha....
 
Kuondoa utata kaa kwenye Luninga kuanzia saa tisa usiku.....kama unataka kuangalia LIVE......kama kweli ni mshabiki kukesha mpaka saa moja haisumbui, vinginevyo lala mwaya tutakuamsha...wengine ndio tushaamua hakuna kulala.....
 
Kuondoa utata kaa kwenye Luninga kuanzia saa tisa usiku.....kama unataka kuangalia LIVE......kama kweli ni mshabiki kukesha mpaka saa moja haisumbui, vinginevyo lala mwaya tutakuamsha...wengine ndio tushaamua hakuna kulala.....

Mweeeeh mi lazima niangalie SAA Tisa naamka sikubali kusimuliwa pambano.
 
Back
Top Bottom